Distant Relatives
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 415
- 731
hebu nisaidie Tanzania ni kikwazo kivipi?Mtazamo wangu..
Tz itaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na jumuia za kimataifa.
Viongozi wa kisiasa watatuletea shida sana raia wa Tz duniani kote.
Hata wao viongozi watapata shida sana katika tawala zao. Watabaki kuishi km mateka tena ndani ya nchi yao.
Hatupaswi kuwa kikwazo dhidi ya juhudi ya jumuia ya kimataifa katika kupambana na corona. Tukionekana sasa sisi ndiyo chanzo cha maambukizi yanayodhibitiwa huko duniani..tutarajie hukumu kali juu yetu.
Tusijidanganye kuwa tunajimudu,labda hao wa jumba jeupe. Lkn wengine tutalia na kulimia meno.