Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

KUNA NCHI 54 ZA KIAFRIKA, AMBAZO ZIKO LISTED KAMA RED LIST.

LAKINI NA SISI KWA UJUHA WETU HATUJIULIZI kati ya Tanzania na uingereza ni nchi gani iko ni VIFO vingi vya covid19??

Mtoa post unakimbilia kuleta hii post kwa kuipa uzito.
Je watanzania tunahitaji nini uingereza?
Ni asilimia ngapi wanaumia na hii BAN?
Sana sana inawaumiza wanaharakati na wanasiasa mliozowea kwenda kuomba ufadhili huko ulaya.
Sisi hatuna covid tuna ugonjwa wa kushindwa kupumua.na kuhusu vifo utajuaje Taz Ina vingi au vichache wakati si tu data hazitolewi bali hata kurekodiwa mahospital hakuna
 
But what should Magufuli do?

Magufuli hakuleta corona!

So?
 
Mibeberu katika ubora wao, hakuna kukanyaga ulaya wala America kwa checkup wala uduvi, wote mloganzila tu kudadadeki
 
Wewe ndo mjinga, Watalii wanao tupa Dolla ni unazania ni ukoo wako? Wewe unaweza hata kukaa nusu saa Serengeti National Park? ,
Sasahivi tunauza dhahabu na tanzanate wasitutishe, wambie wasije kutalii waone kama tutakufa njaa
 
Corona ni janga la kidunia lakini hapa kwetu wanasiasa wamelifanya kuwa mtaji wao........

Watawala wanalishughulikia kisiasa na wapinzani wanalitumia kisiasa matokeo yake wananchi wamebakia njia panda.........

Watawala wanaficha vifo na taarifa.....wapinzani wanafurahia vifo.....na kila habari mbaya kuhusu corona nchini kwetu.......

..unakumbuka Makonda alivyofurahia mtoto wa Mbowe kuugua korona?
 
Nimeondoka huko uingereza wiki tatu zilizopita kumeoza kunanuka,mambo yote ni TZ Corona free watuache na life letuuuu.
Ukweli ni kwamba wazungu wanatuonea wivu!! Wamesubiri maiti ziokotwe barabarani kama walivyodhani lakini hilo halijatokea!!
Kingine, Wana hasira na Tanzania kwa sababu wameona hakuna soko la kuuza chanjo zao za Corona! Sasa hivi chanjo ni dili! Dozi moja ya chanjo ni dola 100. (Tsh 230,000/= Tumekataa kuliwa!!
 
#Kuanzia sasa tusishabikie timu zao.
Wao wamemwaga ugali basi sisi tubebe mboga. Ugali tutaupata tu.
Au nasema uongo ndg zangu
 
Ubalozi wapewe ushuhuda wa matendo ya Bwana, tumeuona mkono wake.
Nachoshangaa nchi hizi kubwa zinaiangalia Tanzania tu. Nimetembelea nchi kadhaa katika pembe ya Africa. Hakuna social distance, mask ukitaka mwenyewe. Kwenye magari hasa daladala za huko mnarundikana. Hawajawahi kufanya lockdown. Kwanini hawasemwi? Kwanini hawako kwenye Red list country? Inaandamwa tu Tanzania?
 
Back
Top Bottom