Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Haya matatizo yatawapata Chadema tuu,nyie Lumumba hamtayapata.Shangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya matatizo yatawapata Chadema tuu,nyie Lumumba hamtayapata.Shangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Tanzania imekuwa kituko duniani. Ni kama ni nchi ya mahayawani hayakusoma. Passport yangu sasa haina maana. Naiweka kwenye sanduku la mbao ambalo huwa silifungui maana siweki vitu vya maana. Hizo ndege zetu zitafunikwa mablanketi hapo airport mpaka ziote kutu.Mwana wa kulitafuta mwana wa kulugeti. Inaelekea hakuna mtanzania atakanyaga ulaya na Marekani
No way out haijalishi wako vibaya au vipi, tujiangalie sie,kwanza
Hatuna Budi Sasa all suspect kuanza kuwafanyia isolation,wakiwa chini ya watahalam ambao nao pia wamewezeshwa kwenye vifaa madhubuti vya kujikinga,
Ni wakati wa porojo kuziweka pembeni, na kuanza napambano ya kweli,
Serikali KWA Sasa Mambo mengine yasio na haraka yasitishwe, pesa Sasa ielekezwe kwenye mpambano huu, usiri uondoke Mara moja watu wapimwe majibu yatoke hata Kama yapo maambukizi ml 10 iwe wazi itasaidia kupatiwa misaada pia ,maana mziki huu Kama nchi hatuwezi pekee yetu,
Hawa wajinga kweliShangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Nyie pambanene na watu msipambane na corona, wapuuzi nyie na ipo siku Mungu atawaadhibu kwa ujinga huu, hakuna Mtu anashangilia nchi kuingia matatizoni ila wanafurahiya Mungu wenu wa uongo kuoyoka chato kushindwa na Mungu wetu wa kweli asiekula Wala kusinziaShangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Qurantine is worldwide at the moment. UK is in worse situation than Tanzania.Hii ndio Tweet yao:
"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."
=====
View attachment 1703060
"
Ndiyo pekee unachokijua. Empty mind.Wewe ni jinga sana
Wewe mwongo, Uingereza baada ya chanjo, wametangaza vifo kuoungua kwa 60%. Israel wametangaza vifo vimepungua kwa 94%. Wewe bakia na ujinga wako.Nimeondoka huko uingereza wiki tatu zilizopita kumeoza kunanuka,mambo yote ni TZ Corona free watuache na life letuuuu.
Mungu wabariki Wazungu
Wewe ni mwendawazimu ambaye uwezo wako unaishia mita 2.Itoshe tu kusema wewe ni mjinga
Wewe inaelekea unaishi kwenye shimo lenye giza la ujinga.Qurantine is worldwide at the moment. UK is in worse situation than Tanzania.
Sera za kijinga watu wamejifungia (lockdown)kwa mwaka. Ila wanakufa kwelikweli.
Huwezi kusimamisha uchumi kwa lengo lolote. Hasa hasa kwa nchi kama Tanzania.
Ukienda kununua nyanya, vitunguu inabidi upambane na Polisi.
Wasaidie old, sick, vulnerable people. Wengine chapa kazi. Ugonjwa kwa vijana na watoto ni maradhi kama mafua.
Kufurahia au kumtakia majanga mwanadamu mwenzako ni ushetani kama ushetani mwingine.......haijalishi umefanywa na nani........unakumbuka Makonda alivyofurahia mtoto wa Mbowe kuugua korona?
Nakupuuza.Wewe ni mwendawazimu ambaye uwezo wako unaishia mita 2.
Fuatilia takwimu za kitaalam za Dunia kuhusu mapambano dhidi ya corona. UK, chanjo imepunguza vifo kwa 60%. Israel chanjo imepungiza vifo kwa 94%.
Mpaka kufikia mwakani, corona kwa mataifa mengi itakuwa history. Na Dunia haitakubali kamwe Tanzania iendelee kuwa kiwanda cha kuzalisha wagonjwa na vifo.
Wajinga ambao uwezo wenu wa kuona unaishia mita 2, myakuja kuelewa baadaye.
Kati ya aliyesababisha hilo kutokea na aliyeleta mada, nani anaitakia/iombea nchi mabaya? Tuanzie hapoShangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Tatizo kukarabati uharibifu huu itatuchukua muda sana.Utalii umeharibiwa na unaenda kuvurugika zaidi kwa sababu ya ubishi wa watawala wachache wenye ubinafsi.Utalii uko hatarini kuanguka kabisa nchi hii.
Magu hakufaa kupewa nafasi aliyanayo na haya ndio matokeo yake.Tatizo kukarabati uharibifu huu itatuchukua muda sana.Utalii umeharibiwa na unaenda kuvurugika zaidi kwa sababu ya ubishi wa watawala wachache kwenye ubinafsi wao.
Hii siyo habari njema kabisa,dunia inatuchukulia kama nchi ambayo baadaye itabaki kuwa chanzo cha masalia ya Corona hata itakapotokomezwa kwingine duniani.
Tatizo linakuja anayehujumu ndiyo anaonekana shujaa na mzalendo lakini wanaosema ukweli ni maadui wa taifa. Hatari snTanzania ni nchi inayohujumu jitihada za dunia kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Mzee uko mbali sana na Dunia inakoelekea. Hebu soma tena ulichoandika na fikiria ni Watanzania wangapi walio nje ya Tanzania either wakifanya kazi au kusoma.Wajinga kweli Hawa, kwani lazima kwenda kwao!!!???, Kila mtu apambane na Hali yake.