Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Hii mikusanyiko kama ya shuleni wanafunzi na waalimu... contamination itakuwa kubwa. Something must be done
 
Mwana wa kulitafuta mwana wa kulugeti. Inaelekea hakuna mtanzania atakanyaga ulaya na Marekani
Tanzania imekuwa kituko duniani. Ni kama ni nchi ya mahayawani hayakusoma. Passport yangu sasa haina maana. Naiweka kwenye sanduku la mbao ambalo huwa silifungui maana siweki vitu vya maana. Hizo ndege zetu zitafunikwa mablanketi hapo airport mpaka ziote kutu.
 
No way out haijalishi wako vibaya au vipi, tujiangalie sie,kwanza
Hatuna Budi Sasa all suspect kuanza kuwafanyia isolation,wakiwa chini ya watahalam ambao nao pia wamewezeshwa kwenye vifaa madhubuti vya kujikinga,
Ni wakati wa porojo kuziweka pembeni, na kuanza napambano ya kweli,
Serikali KWA Sasa Mambo mengine yasio na haraka yasitishwe, pesa Sasa ielekezwe kwenye mpambano huu, usiri uondoke Mara moja watu wapimwe majibu yatoke hata Kama yapo maambukizi ml 10 iwe wazi itasaidia kupatiwa misaada pia ,maana mziki huu Kama nchi hatuwezi pekee yetu,

What Tanzania's COVID-19 vaccine reluctance means for its citizens and the world​

Catherine Kyobutungi, African Population and Health Research Center

February 15, 2021 4.29pm SAST

Tanzania’s health minister said earlier this month that the country has no plans to procure COVID-19 vaccines. Moina Spooner, an editor with The Conversation Africa, asked Catherine Kyobutungi to explain Tanzania’s COVID-19 response and why it’s problematic.

Why has the decision been taken not to vaccinate?​

Tanzania has had a unique approach to controlling COVID-19. Only a few months into the pandemic last year, the president of the country, John Magufuli, declared Tanzania COVID-free following three days of national prayers.
He has since refused to impose a lockdown, re-opened schools, allowed large sporting events, continued religious gatherings, stopped testing and stopped public communications campaigns about the virus. The country also stopped reporting cases and deaths.
The argument was that people should stop living in fear and that they should trust in God and rely on traditional African remedies to prevent getting the virus. It may be the only country in the world that has taken this approach. It goes against everything that has been recommended by scientists, other national health agencies and the World Health Organisation (WHO).
It’s therefore not surprising that the authorities have said that they do not have plans to vaccinate the population against COVID-19, at least for now.

Will people still be able to access vaccines?​

No. And yes.
No, because a vaccine may not be used in the country without it being registered and licensed for use. The normal process is that experts in the country, together with regulatory bodies, review the data about the vaccine and approve its use if they are satisfied about its efficacy and safety.
For the COVID-19 vaccine, this is being done through the WHO Emergency Use Listing procedure. The review is done by an international team of experts with participation of experts from national authorities.
If Tanzania refuses to register the vaccine for use in the country, it will not be accessible to anyone.
The country could, however, register the vaccine but refuse to import it. This would allow the private sector to import some, but it won’t be enough. COVID-19 vaccination programmes of any country are a massive undertaking. If it’s driven by the private sector many may not be able to access or afford the vaccines.
In the meantime those that could get vaccinated are Tanzania’s elites (or those with means) who could fly out of the country and get vaccinated elsewhere.
Other Tanzanians that could access vaccines are border communities who, in the past, have crossed over to neighbouring countries and benefited from vaccination programmes. This may be the case if and when widespread vaccination starts happening in Kenya, Uganda, Rwanda and Malawi.
But that’s a couple of years from now.
There is still a chance that Tanzania could register and import the vaccines in the future. Magufuli has been sending mixed messages. On one hand, the government has said that it doesn’t plan to order vaccines through COVAX – a global initiative aimed at equitable access to COVID-19 vaccines – or any other mechanism. Indeed, the recently released COVAX allocation has zero doses for Tanzania.
On the other hand, he has said that Tanzanians should only trust those vaccines that have been reviewed by Tanzanian experts and found to be safe.

Does Tanzania have a history of vaccination resistance?​

Not that I am aware of.
Tanzania, like other countries, has implemented routine vaccination programmes. These mostly target children below the age of five against diseases like tuberculosis, polio, whooping cough, measles, rubella, and diphtheria. In recent years these expanded to include vaccines again bacterial pneumonia, diarrhoea and hepatitis B.
Vaccination coverage (the percentage of people who receive the vaccine out of the target population) in Tanzania is very high: around 80%-90%. This means that there isn’t a history of vaccine resistance.

What’s different in the country compared with neighbours like Kenya and Uganda​

Kenya, Uganda, Rwanda and Malawi have all frantically been trying to get their hands on COVID-19 vaccines for their citizens. They have all participated in the COVAX facility, and have developed vaccine rollout plans, costed them and submitted them. Rwanda has even gone ahead and obtained vaccines outside the COVAX facility.
All four countries have also started communicating to the public about these plans. For instance, they’ve said that the first round of allocations will be prioritised for healthcare workers and high risk members of the population.
The biggest problem African countries face right now is the lack of vaccines on the global market to vaccinate a significant part of the population. Many rich countries will have vaccinated everyone that needs to be vaccinated by the end of this year. But African countries will only have a widely available vaccine late next year or even in 2023.
If the countries which has been aggressively looking for vaccines are so far behind, imagine a country like Tanzania which at this time has not even started.

What’s the risk for the country and the region?​

The risk for the country is already evident. The approach taken by Tanzania has allowed the virus to spread unchecked in the population. All of a sudden, people are dying of what is being labelled as “pneumonia” and “breathing difficulties”.
People living in Tanzania aren’t sufficiently prepared or protected: there are no protocols for what lay people should do if someone falls sick to prevent the virus spreading. Most information is about steaming – to prevent COVID-19 – but that does not stop the virus spreading from person to person.
The second biggest problem is the impact on healthcare workers. Even in countries where stringent measures have been put in place, healthcare workers have fallen sick and many have died. Misinformation in Tanzania could mean health workers don’t take enough precautions in outpatient clinics, emergency rooms and even wards when taking care of patients. With healthcare workers falling sick, other health services are bound to be affected.
The biggest danger to the region and the world is two-fold.
First, as long as there are COVID-19 cases in Tanzania, it is impossible for neighbouring countries – with which it shares porous borders – to be COVID-free.
Second, and perhaps more importantly, is the risk of new variants developing in the country when no one is keeping track. New variants emerge because of uncontrolled spread.
If, down the line, a new variant emerges in Tanzania, the danger is that it could spread across the region and invalidate vaccinations that may have taken place if they’re not effective against that variant.
The pandemic will not end for anyone, anywhere until it is controlled in every country. Tanzania’s approach will make it that much harder for normality to return.
Comment on this article

Catherine Kyobutungi​

Executive Director, African Population and Health Research Center
Catherine Kyobutungi receives funding from Sida, BMGF, Carnegie Corporation in New York, African Academy of Sciences, and the Hewlett Foundation.
African Population and Health Research Center provides support as a hosting partner of The Conversation AFRICA.
 
Shangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Nyie pambanene na watu msipambane na corona, wapuuzi nyie na ipo siku Mungu atawaadhibu kwa ujinga huu, hakuna Mtu anashangilia nchi kuingia matatizoni ila wanafurahiya Mungu wenu wa uongo kuoyoka chato kushindwa na Mungu wetu wa kweli asiekula Wala kusinzia
 
Hii ndio Tweet yao:

"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."

=====

View attachment 1703060
"
Qurantine is worldwide at the moment. UK is in worse situation than Tanzania.

Sera za kijinga watu wamejifungia (lockdown)kwa mwaka. Ila wanakufa kwelikweli.

Huwezi kusimamisha uchumi kwa lengo lolote. Hasa hasa kwa nchi kama Tanzania.
Ukienda kununua nyanya, vitunguu inabidi upambane na Polisi.

Wasaidie old, sick, vulnerable people. Wengine chapa kazi. Ugonjwa kwa vijana na watoto ni maradhi kama mafua.
 
Nimeondoka huko uingereza wiki tatu zilizopita kumeoza kunanuka,mambo yote ni TZ Corona free watuache na life letuuuu.
Wewe mwongo, Uingereza baada ya chanjo, wametangaza vifo kuoungua kwa 60%. Israel wametangaza vifo vimepungua kwa 94%. Wewe bakia na ujinga wako.
 
Itoshe tu kusema wewe ni mjinga
Wewe ni mwendawazimu ambaye uwezo wako unaishia mita 2.

Fuatilia takwimu za kitaalam za Dunia kuhusu mapambano dhidi ya corona. UK, chanjo imepunguza vifo kwa 60%. Israel chanjo imepungiza vifo kwa 94%.

Mpaka kufikia mwakani, corona kwa mataifa mengi itakuwa history. Na Dunia haitakubali kamwe Tanzania iendelee kuwa kiwanda cha kuzalisha wagonjwa na vifo.

Wajinga ambao uwezo wenu wa kuona unaishia mita 2, myakuja kuelewa baadaye.
 
Qurantine is worldwide at the moment. UK is in worse situation than Tanzania.

Sera za kijinga watu wamejifungia (lockdown)kwa mwaka. Ila wanakufa kwelikweli.

Huwezi kusimamisha uchumi kwa lengo lolote. Hasa hasa kwa nchi kama Tanzania.
Ukienda kununua nyanya, vitunguu inabidi upambane na Polisi.

Wasaidie old, sick, vulnerable people. Wengine chapa kazi. Ugonjwa kwa vijana na watoto ni maradhi kama mafua.
Wewe inaelekea unaishi kwenye shimo lenye giza la ujinga.

Report za karibuni ni kuwa baada ya chanjo, UK vifo vimepungua kwa 60%, Israel kwa 94%. Mpaka mwisho wa mwezi wajinga mtashangaa ugonjwa huu utakavyozidi kupotea kwenye mataifa yenye viongozi wenye akili.
 
Tutoe tu data za COVID19... kwani shida ipo wapi? Numbers zetu si ni chache mno na hazitaleta hofu yoyote kwa watanzania - kwa mujibu wa Rais!?
 
Wewe ni mwendawazimu ambaye uwezo wako unaishia mita 2.

Fuatilia takwimu za kitaalam za Dunia kuhusu mapambano dhidi ya corona. UK, chanjo imepunguza vifo kwa 60%. Israel chanjo imepungiza vifo kwa 94%.

Mpaka kufikia mwakani, corona kwa mataifa mengi itakuwa history. Na Dunia haitakubali kamwe Tanzania iendelee kuwa kiwanda cha kuzalisha wagonjwa na vifo.

Wajinga ambao uwezo wenu wa kuona unaishia mita 2, myakuja kuelewa baadaye.
Nakupuuza.
 
Shangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Kati ya aliyesababisha hilo kutokea na aliyeleta mada, nani anaitakia/iombea nchi mabaya? Tuanzie hapo
 
Utalii uko hatarini kuanguka kabisa nchi hii.
Tatizo kukarabati uharibifu huu itatuchukua muda sana.Utalii umeharibiwa na unaenda kuvurugika zaidi kwa sababu ya ubishi wa watawala wachache wenye ubinafsi.
Hii siyo habari njema kabisa,dunia inatuchukulia kama nchi ambayo baadaye itabaki kuwa chanzo cha masalia ya Corona hata itakapotokomezwa kwingine duniani.
 
Tatizo kukarabati uharibifu huu itatuchukua muda sana.Utalii umeharibiwa na unaenda kuvurugika zaidi kwa sababu ya ubishi wa watawala wachache kwenye ubinafsi wao.
Hii siyo habari njema kabisa,dunia inatuchukulia kama nchi ambayo baadaye itabaki kuwa chanzo cha masalia ya Corona hata itakapotokomezwa kwingine duniani.
Magu hakufaa kupewa nafasi aliyanayo na haya ndio matokeo yake.
 
Wajinga kweli Hawa, kwani lazima kwenda kwao!!!???, Kila mtu apambane na Hali yake.
Mzee uko mbali sana na Dunia inakoelekea. Hebu soma tena ulichoandika na fikiria ni Watanzania wangapi walio nje ya Tanzania either wakifanya kazi au kusoma.
 
Back
Top Bottom