Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Tanzania iko salama kuliko Ulaya! Waache kutufatafata

Watuache na mambo yetu!
Narudia tena kusema watuache na mambo yetu!

Kwanini wanataka tuchukue hatua waliochukua wao ilihali hawataki kuchukua hatua tulizochukua sisi?
Je, tumewalazimisha wafuate njia zetu?
Kwanini wao wanataka tufuate hatua zao ambazo mpaka sasa hazijasaidia chochote zaidi ya kuwakera wananchi wao?

Acheni kusikiliza serikali za mabeberu badala yake mjikite kusikiliza serikali yenu.

Acheni utumwa
 
Kwani lini ilitoka kwenye hiyo list? Nilidhani ilikua kwenye hiyo list toka huu mlipuko uanze

Hizo mbwembwe tu, watu bado wanasafiri back and forth na karantini sio ishu watu wanakarantini na kuendelea na shughuli zao.
 
Korona haina ubaguzi. Haina CCM wala CHADEMA. Uzuri ni kwamba wapiga mapambio wanateketea kwa wingi zaidi. Hata leo mmoja kasombwa na maji, lakini akili haziwarudi mkatambua kuwa huyu mtu mnayemuabudu anatupeleka kuzimu. Kilangila.
Habari ya uongo hii ipuuzeni ndugu zangu
 
Hii ndio Tweet yao:

"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."

=====

View attachment 1703060
"
KUNA NCHI 54 ZA KIAFRIKA, AMBAZO ZIKO LISTED KAMA RED LIST.

LAKINI NA SISI KWA UJUHA WETU HATUJIULIZI kati ya Tanzania na uingereza ni nchi gani iko ni VIFO vingi vya covid19??

Mtoa post unakimbilia kuleta hii post kwa kuipa uzito.
Je watanzania tunahitaji nini uingereza?
Ni asilimia ngapi wanaumia na hii BAN?
Sana sana inawaumiza wanaharakati na wanasiasa mliozowea kwenda kuomba ufadhili huko ulaya.
 
Ubalozi wapewe ushuhuda wa matendo ya Bwana, tumeuona mkono wake.
ISAIAH 26:20 Njoni, watu wangu, ingia wewe ndani ya vyumba vyako, ukafunge mlango nyuma yako ujifiche kitambo kidogo, mpaka ghadhabu hii itakapopita.
 
KUNA NCHI 54 ZA KIAFRIKA, AMBAZO ZIKO LISTED KAMA RED LIST.

LAKINI NA SISI KWA UJUHA WETU HATUJIULIZI kati ya Tanzania na uingereza ni nchi gani iko ni VIFO vingi vya covid19??

Mtoa post unakimbilia kuleta hii post kwa kuipa uzito.
Je watanzania tunahitaji nini uingereza?
Ni asilimia ngapi wanaumia na hii BAN?
Sana sana inawaumiza wanaharakati na wanasiasa mliozowea kwenda kuomba ufadhili huko ulaya.
oNA SASA MAWAZO YA WA TZ ...NDIO MMAANA MKO NYUMA
 
Back
Top Bottom