wenye nguvu gani sasa, kama corona imewabaka kuliko sisi, hiyo jeuri wanaitoa wapi!!!!Hapana ila kwa sababu ya ubishi na kejeli zenu hatuna budi kushangilia. Ninyi mna bunduki na rIsasi sisi mikono mitupu. Kwanini tusishangilie mnapokutana na wenye nguvu kuliko ninyi??
Na bado dikteta anataka kuongezewa miaka mingine tena.Tatizo kukarabati uharibifu huu itatuchukua muda sana.Utalii umeharibiwa na unaenda kuvurugika zaidi kwa sababu ya ubishi wa watawala wachache wenye ubinafsi.
Hii siyo habari njema kabisa,dunia inatuchukulia kama nchi ambayo baadaye itabaki kuwa chanzo cha masalia ya Corona hata itakapotokomezwa kwingine duniani.
umemtukana mwenzako bila sababu ya msingi.Huna akili
Waliompa walaaniwe kwa jina la YesuMagu hakufaa kupewa nafasi aliyanayo na haya ndio matokeo yake.
Yeye na CCM yake wamevuruga Kila kilichofanywa na watangulizi wake na kuwakejeli kwamba hawakufanya chochote.Mifumo yote ya siasa,kiuchumi,kijamii,ki socialogy kitaifa na kimataifa halafu wanataka tuwasifie.Huu ni Uhaini wa kimfumo?Magu hakufaa kupewa nafasi aliyanayo na haya ndio matokeo yake.
Mseveni ni Dikteta lakini kwenye corona hana ujanja anatii vibaya sn maelekezo ya WHORwanda wameanza kutoa chanjo kwa rai wao kama huna taarifa.
ni uonezi kwa wale wanyama.Aliewapa jina la nyumbu MUNGU ambariki kwa kweli
Changamoto naiona kwa hili kabisa halifai kupewa uongozi, Makonda, Mnyeti, Gwajima, Jiwe, Kigwa n.k ni aibu tupuYeye na CCM yake wamevuruga Kila kilichofanywa na watangulizi wake na kuwakejeli kwamba hawakufanya chochote.Mifumo yote ya siasa,kiuchumi,kijamii,ki socialogy kitaifa na kimataifa halafu wanataka tuwasifie.Huu ni Uhaini wa kimfumo?
Inambidi kushawishi,kwa kulazimisha ili alinde maovu yake kwa sababu hana uhakika kama watakomfuata watamlinda.Akijiridhisha kwamba hakuna hatari ya kuwajibishwa ataachia ila akishuku tu kinyume chake,sidhani kama ata risk.Ndiyo maana ukitaka kumchanganya mkumbushe kuhusu Katiba Mpya uone rangi zake zote.Na bado dikteta anataka kuongezewa miaka mingine tena.
Amechanganyikiwa haswa hana anachofanyaInambidi kushawishi,kwa kulazimisha ili alinde maovu yake kwa sababu hana uhakika kama watakomfuata watamlinda.Akijiridhisha kwamba hakuna hatari ya kuwajibishwa ataachia ila akishuku tu kinyume chake,sidhani kama ata risk.Ndiyo maana ukitaka kumchanganya mkumbushe kuhusu Katiba Mpya uone rangi zake zote.
Shangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo h
Ubongo wako umejaa makamasiNdiyo pekee unachokijua. Empty mind.
Usijiongelee wewe.umemtukana mwenzako bila sababu ya msingi.
namimi nakuuliza, unafata nini UK wakati huu, hawakutaki na kuna corona!!!
kwani tangazo la Uk linasemaje kuhusu raia wakazi wa UK??Usijiongelee wewe.
Kuna wengine tumeoa Uk. Familia zetu zipo Uk.
Kama wewe ulivyooa iringa.
Mke wako akatazwr kwenda kuona wqzazi wake utafurahi?
Si utanyimwa K.
Muwe mnapanua akili zenu msisubiri hadi tuje kuzipanua
Case closed.kwani tangazo la Uk linasemaje kuhusu raia wakazi wa UK??
kama una uraia wa huko, unatakiwa kupimwa uingie.
Dah inauma sana,huyu Mzee mlimtoa wapi lakini.Tanzania Kwisha kazi!