Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Shaolin Temple

Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo la suswa ni eneo ambalo liko na continental fault line na mara kwa mara ardhi hupasuka na kuachana haswa kama kunanyesha, Ki ufupi bado the great rift valley inaendelea kugawanyika hilo eneo la suswa, Hio tectonic shift huendelea na mwishowe kunatokea milima ambayo inaitwa block mountains

Suswa block mountains


Suswa fault lines










Kuna uwezekano miaka 100-200 kuanzia sasa bara Africa likagawanyika na kua hivi








Anyway, hizo faul line ndo huchangia formation of block mountain









Hio station ya Suswa imekua inspired na Fault mountain - Haswa reverse fault mountain












 
picts taken at different stages on construction..... phase 2a


this embankment is like 6m tall!






Huawei GSM-R mast
















 
Still.. that is the exact look of shaolin temples

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya Railway Training Institute, Ndani ya ile loan ya mchina, $100m ilikua ni ya mafunzo hapa Kenya, Alafu mbali na hivyo, kila mwaka kwa miaka 5 ijayo, wachina wanafaa ku sponsor wakenya 35 kwenda China kusomea masters ya technolojia tofauti za reli











 
Hio ya high quality Kenya ipo? Hadi Senegal wanawashinda hehehe

Sent using Jamii Forums mobile app

Ile ya Senegal inajengwa na Yapi Merkezi hawahawa wanaojenga SGR yetu ndio maana quality yake pia ni nzuri...

Kwa majirani zetu wasichoelewa, kuna mradi wa maji huko KE unaitwa "Mount Elgon - Bungoma - Busia Multipurpose Water Project Phase 1", nao pia unajengwa na hao hao Yapi Merkezi.....
 

Nothing special a total of 200 students r to be sent to Turkey, Ethiopia n South Korea for training in the first phase.
 
Mmesha tengeneza Loss ya Usd 100m mwaka wa kwanza!! hizo number zako za 50% ni upuuzi tu. Phase ambayo itaanza operations ya Dar-Moro-Dom haitokuja ku make hiyo loss kamwe. Kenya mnamatatizo yakujidanganya kuwa mpo juu! sasa jiandaeni kuja kuona faida itakavyo tengenezwa kwenye SGR ya Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nearly all business make losses n their initial years of operations. TZ business acumen is well known by it's absence. You have no cargo to transport from Dar to Morogoro. Passengers services don't make money for rails. It bulk cargo. Then containers next.
 
Uhuru is a sell out n your SGR deal is a scum! The fact that a world class bank with years of experience in business of lending imekubali kutoa pesa ukae ukijua kuwa numbers zina add up. Commercial banks hazitoi pesa kwa kuangalia collateral au maslahi ya kisiasa kama mchina anavyo fanya kupitia mgongo wa exim bank yake, wana angalia (principles of lending) mradi wenyewe. Wataalamu wamekaa London wamefanya mahesabu wakiwa informed wakaona watapata pesa yao wakaamua kutoa mkopo wewe umekaa hapo Kariobangi huna ata ka microfinance unasema mradi haulipi!!!
Kama SGR yenu inalipa kwanini kipindi hiki mchina anawazingua msitafute mkopo sehemu nyingine!! Hamna bank itaweka pesa kwenye mradi wa hovyo kama SGR yenu. Tutawapa shule ya bure ngoja mradi uanze kazi, mtamchukia Uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sababu ya hasara au unajibu ili mradi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show us the numbers. We don't need the entire feasibility study. Just the gist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…