Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

We have Railway Dev Levy - we tax I think 1-2% of all imports - that should take care of SGR if doesn't turn profitable.
Hahaa.. msee hujajibu swali, mimi nataka action plan kwenye operations ambayo itaondoa loss ya Usd 100m. Hiyo levy ata TZ tuna charge. BTW kwanini msitumie proceeds za hiyo levy kujenga reli kama mnazitegemea kulipa deni lenu lote la SGR au Uhuruto wanazitafuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RENDER TO REALITY
2019 will see completion of this phase and launch of Naivasha-Kisumu section
DxrIMQzW0AAhIpG.jpg

AqoZCvP.jpg

DxgQUJUXcAEwXoG.jpg
Dxie2CQXcAAjE1w.jpg
Dxv8LWNWsAA_i0f.jpg
eGb36ld.jpg

Hapa ni kenya ama uchina?
 
Mmesha tengeneza Loss ya Usd 100m mwaka wa kwanza!! hizo number zako za 50% ni upuuzi tu. Phase ambayo itaanza operations ya Dar-Moro-Dom haitokuja ku make hiyo loss kamwe. Kenya mnamatatizo yakujidanganya kuwa mpo juu! sasa jiandaeni kuja kuona faida itakavyo tengenezwa kwenye SGR ya Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mdau, hivi unajua makusanyo ya BRT dar ya Mwezi mmoja yamezidi mapato ya SGR Kenya Mwaka mzima?
 
Hivi unajua makusanyiko ya Matatu Nairobi kwa siku moja yamezidi mapato ya BRT ya Wiki nzima??? Comparing apples and oranges
 
Hivi unajua Dar BRT ndiyo kwanza ni phase 1 na inapita kwenye km 21 tu ya barabara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiivyo ndo nikufanyeje? hata mkajenga mpaka phase 10, Bado tutahesabu viti haijalishi ni ndani ya matatu, juu ya bajaji au kwenye BRT......
in any case, Kulinganisha BRT ambayo inafanya kazi ndani ya high density population na SGR inayofanya kazi kati ya miji miwili mikuu ni upuzi...... Population ya Nairobi during the day ni zaidi ya 4.1 Million, During the Night population ya Nairobi Hupungua hadi 3 Million kumaanisha kila siku zaidi ya watu millioni moja wanafika mjini na jioni wanarudi vitongojini...... Wakati SGR (Msa-Nairobi) inaabeba abiria 1 million ndani ya mwaka mmoja kati ya hio miji miwili sawa sawa na abiria wanaobebwa na matatu/magari kwa siku moja ndani ya Nairobi.

Tena isitoshe, Mombasa-Nairobi Highway is the busiest transport corridor in East and Central Africa! kwahivyo usijidananye eti Dar-Moro itabeba abiria wengi
 
Nilikua nakuonesha jinsi BRT inavyo cover sehemu ndogo ni hilo tu! Hilo la busy transport corridor kamwambie Uhuru. Narudia tena Dar-Moro-Dom haiwezi make loss ya Usd 100m!! Naona mna insist kuitoa Dom kwenye equation, kuna kitu hamkijui kuhusu wazo la Tz SGR ngoja muda utawaonyesha. Kwenye miradi hii ya reli ndiyo mtajua tofauti ya uchumi wa Kenya na Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiivyo ndo nikufanyeje? hata mkajenga mpaka phase 10, Bado tutahesabu viti haijalishi ni ndani ya matatu, juu ya bajaji au kwenye BRT......
in any case, Kulinganisha BRT ambayo inafanya kazi ndani ya high density population na SGR inayofanya kazi kati ya miji miwili mikuu ni upuzi...... Population ya Nairobi during the day ni zaidi ya 4.1 Million, During the Night population ya Nairobi Hupungua hadi 3 Million kumaanisha kila siku zaidi ya watu millioni moja wanafika mjini na jioni wanarudi vitongojini...... Wakati SGR (Msa-Nairobi) inaabeba abiria 1 million ndani ya mwaka mmoja kati ya hio miji miwili sawa sawa na abiria wanaobebwa na matatu/magari kwa siku moja ndani ya Nairobi.

Tena isitoshe, Mombasa-Nairobi Highway is the busiest transport corridor in East and Central Africa! kwahivyo usijidananye eti Dar-Moro itabeba abiria wengi
Leta official evidence ikionesha kua mombasa nairobi highway ndio busiest transport in east africa nasubiria
 
Back
Top Bottom