Kwahiivyo ndo nikufanyeje? hata mkajenga mpaka phase 10, Bado tutahesabu viti haijalishi ni ndani ya matatu, juu ya bajaji au kwenye BRT......
in any case, Kulinganisha BRT ambayo inafanya kazi ndani ya high density population na SGR inayofanya kazi kati ya miji miwili mikuu ni upuzi...... Population ya Nairobi during the day ni zaidi ya 4.1 Million, During the Night population ya Nairobi Hupungua hadi 3 Million kumaanisha kila siku zaidi ya watu millioni moja wanafika mjini na jioni wanarudi vitongojini...... Wakati SGR (Msa-Nairobi) inaabeba abiria 1 million ndani ya mwaka mmoja kati ya hio miji miwili sawa sawa na abiria wanaobebwa na matatu/magari kwa siku moja ndani ya Nairobi.
Tena isitoshe, Mombasa-Nairobi Highway is the busiest transport corridor in East and Central Africa! kwahivyo usijidananye eti Dar-Moro itabeba abiria wengi