Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Eneo la suswa ni eneo ambalo liko na continental fault line na mara kwa mara ardhi hupasuka na kuachana haswa kama kunanyesha, Ki ufupi bado the great rift valley inaendelea kugawanyika hilo eneo la suswa, Hio tectonic shift huendelea na mwishowe kunatokea milima ambayo inaitwa block mountains
Suswa block mountains
Suswa fault lines
Kuna uwezekano miaka 100-200 kuanzia sasa bara Africa likagawanyika na kua hivi
Anyway, hizo faul line ndo huchangia formation of block mountain
Hio station ya Suswa imekua inspired na Fault mountain - Haswa reverse fault mountain