Expensive ExpensiveExpensive
ExpensiveExpensive Expensive
ExpensiveExpensiveExpensiveExpensiveExpensiveExpensiveExpensive
ExpensiveExpensiveExpensiveExpensiveExpensiveExpensiveExpensive
ExpensiveExpensiveExpensiveExpensive
Wewe sio mswahili? Ni mchina wewe?Mbona waswahili hamjiamini?
MK254,suppose there is a crook who benefited in oneway or another from these 3.8b$,what of you? With all these bluts?[emoji15] [emoji15]Wapi taarifa za kuaminika, msilete viblog uchwara, nataka taarifa za kuaminika na kukubalika kwamba mlipiga deal ya Wachina chini kwa sababu ilikua ghali. Maana ninachojua ugomvi wenu na Wachina ni kwasababu wao walitaka mfanye single sourcing. Yaani watoe mkopo na wajenge wao, halafu mkandarasi Mchina akapewa kandarasi bila kufuatilia utaratibu.
Lakini hadi sasa sijaona gharama anayotoza Mturuki, hivyo sielewi mnachekacheka nini, maana humo ndani hamjui mahesabu yapi yanayofanywa. Hata wana Lumumba wamejaa humu JF bila taarifa ya kweli, wanatetea bila hata kujua nini wanachotetea.
Sisi reli yetu ipo tayari, umbali wa kilomita 609km, mabehewa, vichwa vya treni, madaraja ya kisasa, vituo vikubwa vilivyojengwa kwa teknolojia ya kisasa... yaani vitu vyote vipo tayari kwa gharama ya $3.8b
Halafu kumbuka yetu pia itaongezwa na kuwa ya umeme.
Nathani importance ya lugha ni kurelay information...sasa lugha yenye wanatumia mbona ikusumbue ...wacha upumbavu ...nathani huelewi kile wanchao kisemaMuda mwingine Wakenya muone aibu kutumia lugha ya Kiingereza sio lugha yenu ni ya Wazungu!.
Sie Waswahili tunapeta na ya Kwetu- Kiswahili kitukuzwe!
MK254,suppose there is a crook who benefited in oneway or another from these 3.8b$,what of you? With all these bluts?[emoji15] [emoji15]
Muda mwingine Wakenya muone aibu kutumia lugha ya Kiingereza sio lugha yenu ni ya Wazungu!.
Sie Waswahili tunapeta na ya Kwetu- Kiswahili kitukuzwe!
Mkuu kwenye bil 7.toa hizo bil 3.zitakazobakia zitakusaidia kulipa madaktari wako.Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km
Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b
Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
Wanakurupuka sana hawa, wakiona tuu wanabadika bila hata kujuwa kama wanataarifa sahihi.Mkuu kwenye bil 7.toa hizo bil 3.zitakazobakia zitakusaidia kulipa madaktari wako.
Mradi mzima ndio ulikuwa 7.6$ bn ambao ulikuwa zaidi ya 1600km, mradi wote wa zamani umepigwa chini na wameanza kwa vipande, kipande cha kwanza amepewa mturuki 400km, kwa bei gani bado hakuna taarifa zaidi. So hakuna uwezakano wa kusema Tz SGR ni ghali za Kenya SGR kwa kuwa hata hiyo ya zamani tu ya 7.6$ bn kwa 1600km was way cheaper zaidi ya Kenya ya 3.8$ bn for 600km tu.It is still more expensive than Kenyas Rail
Kenya
Mombasa Nairobi 609km
3.8bn$
Tanzania 400km
3.5bn$ mara 7bn$
Wea i geza at?
Hahaha aje hapa
Tumesema lets citation wacha nyenyenye mingi.....mnaleta ma figure mumekarangia hapo ....alafu za kenya mnaleta official figures leta sourceMradi mzima ndio ulikuwa 7.6$ bn ambao ulikuwa zaidi ya 1600km, mradi wote wa zamani umepigwa chini na wameanza kwa vipande, kipande cha kwanza amepewa mturuki 400km, kwa bei gani bado hakuna taarifa zaidi. So hakuna uwezakano wa kusema Tz SGR ni ghali za Kenya SGR kwa kuwa hata hiyo ya zamani tu ya 7.6$ bn kwa 1600km was way cheaper zaidi ya Kenya ya 3.8$ bn for 600km tu.
NENOThis is a very impressive thing, I like the way JPM handled this,
Siri ya Mafanikio ni Kujiamini tu, Usipojiamini hakuna atakaekuamini.
When it comes to our National interests, We must be the one to decide, African countries need to learn this.
Mmmh ngoja waje mainjiniaHaya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km
Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b
Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
Magufuli is neither an angel nor a creature from another planet. He has been in the government for about twenty years and experienced each and everything, why didn't he step down?!!!!!!. Mr President must be very careful when trying to give the country a way to go rightThe first thing Magufuli and his team did, was to go through each and every contract past and present, looking for anything which indicate corruption or unfavorable conditions. That's why, you saw Dangote been revisited, mining company paying more tax, revoke licenses and cancelling title deed from speculative land grabbers and so on.
Magufuli is neither an angel nor a creature from another planet. He has been in the government for about twenty years and experienced each and everything, why didn't he step down?!!!!!!. Mr President must be very careful when trying to give the country a way to go right