Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wapi taarifa za kuaminika, msilete viblog uchwara, nataka taarifa za kuaminika na kukubalika kwamba mlipiga deal ya Wachina chini kwa sababu ilikua ghali. Maana ninachojua ugomvi wenu na Wachina ni kwasababu wao walitaka mfanye single sourcing. Yaani watoe mkopo na wajenge wao, halafu mkandarasi Mchina akapewa kandarasi bila kufuatilia utaratibu.

Lakini hadi sasa sijaona gharama anayotoza Mturuki, hivyo sielewi mnachekacheka nini, maana humo ndani hamjui mahesabu yapi yanayofanywa. Hata wana Lumumba wamejaa humu JF bila taarifa ya kweli, wanatetea bila hata kujua nini wanachotetea.
Sisi reli yetu ipo tayari, umbali wa kilomita 609km, mabehewa, vichwa vya treni, madaraja ya kisasa, vituo vikubwa vilivyojengwa kwa teknolojia ya kisasa... yaani vitu vyote vipo tayari kwa gharama ya $3.8b

Halafu kumbuka yetu pia itaongezwa na kuwa ya umeme.
MK254,suppose there is a crook who benefited in oneway or another from these 3.8b$,what of you? With all these bluts?[emoji15] [emoji15]
 
Muda mwingine Wakenya muone aibu kutumia lugha ya Kiingereza sio lugha yenu ni ya Wazungu!.

Sie Waswahili tunapeta na ya Kwetu- Kiswahili kitukuzwe!
 
Muda mwingine Wakenya muone aibu kutumia lugha ya Kiingereza sio lugha yenu ni ya Wazungu!.

Sie Waswahili tunapeta na ya Kwetu- Kiswahili kitukuzwe!
Nathani importance ya lugha ni kurelay information...sasa lugha yenye wanatumia mbona ikusumbue ...wacha upumbavu ...nathani huelewi kile wanchao kisema
 
MK254,suppose there is a crook who benefited in oneway or another from these 3.8b$,what of you? With all these bluts?[emoji15] [emoji15]

Obviously, there must have been some crooks who beneffited in one way or another. Hamna jinsi hapa Afrika unaweza kufanya mradi wa $3.8b na usiliwe sehemu, hilo lipo na litakua hata Bongo. Hata Magufuli akiamua kukesha kwenye ujenzi na kuhesabu zege na kokoto. Pale pa tetemeko la ardhi juzi Kagera mumeliwa hadi hela hazikuwafikia walengwa, itakua kimradi kikubwa hivi.

Cha msingi ni kwamba, binafsi nikikokotoa na kudadavua gharama ya mradi wetu, nimeridhishwa na mahesabu, hata kama kuna sehemu tumetafunwa ni kidogo sana.
 
Muda mwingine Wakenya muone aibu kutumia lugha ya Kiingereza sio lugha yenu ni ya Wazungu!.

Sie Waswahili tunapeta na ya Kwetu- Kiswahili kitukuzwe!

Nyie wagumu wa kushika lugha, Wajerumani hata baada ya kuishi huko hamkushika kitu, wakaja waingereza hamkushika kitu! Walimu wenu wanataabu!

Hata Kiarabu lugha rahisi kimewashinda! Daah
 
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
Mkuu kwenye bil 7.toa hizo bil 3.zitakazobakia zitakusaidia kulipa madaktari wako.
 
Are we still comparing, or what happened..... usiige ndovu, utachana kule kule.
 
It is still more expensive than Kenyas Rail

Kenya
Mombasa Nairobi 609km
3.8bn$

Tanzania 400km
3.5bn$ mara 7bn$

Wea i geza at?

Hahaha aje hapa
Mradi mzima ndio ulikuwa 7.6$ bn ambao ulikuwa zaidi ya 1600km, mradi wote wa zamani umepigwa chini na wameanza kwa vipande, kipande cha kwanza amepewa mturuki 400km, kwa bei gani bado hakuna taarifa zaidi. So hakuna uwezakano wa kusema Tz SGR ni ghali za Kenya SGR kwa kuwa hata hiyo ya zamani tu ya 7.6$ bn kwa 1600km was way cheaper zaidi ya Kenya ya 3.8$ bn for 600km tu.
 
Tumesema lets citation wacha nyenyenye mingi.....mnaleta ma figure mumekarangia hapo ....alafu za kenya mnaleta official figures leta source
 
This is a very impressive thing, I like the way JPM handled this,
Siri ya Mafanikio ni Kujiamini tu, Usipojiamini hakuna atakaekuamini.

When it comes to our National interests, We must be the one to decide, African countries need to learn this.
NENO
 
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
Mmmh ngoja waje mainjinia
 
The first thing Magufuli and his team did, was to go through each and every contract past and present, looking for anything which indicate corruption or unfavorable conditions. That's why, you saw Dangote been revisited, mining company paying more tax, revoke licenses and cancelling title deed from speculative land grabbers and so on.
Magufuli is neither an angel nor a creature from another planet. He has been in the government for about twenty years and experienced each and everything, why didn't he step down?!!!!!!. Mr President must be very careful when trying to give the country a way to go right
 
But how do you link him with those phoney contracts. The people who where linked with those kind of contacts were Lowassa and Chenge, and they've already resigned. I'll agree with you on one thing, he isn't an angle, but at least his trying to clean up. When the last time we had any leader who was trying to deal with our domestic issues.
 
Mi nawaangalia jinsi Wakenya wanavyohangaika na ku-twist news hiyo 400km Magufuli aliyoomba si ile ya Dar-Isaka-Msongati
 
Kenyan elements at its best on distorting facts! What happened is Chinese companies lost a bidding to Turkish firms n Magu sensing a danger of losing the $7.6 bln loan from Exim bank China, had to accommodate both by asking funds from Erdogan n said the 400km r too little for Turkey! Mind u Tanga-Arusha-Mara section had not secured funds! The cancellation ur media makes noises about was carried out immediately when JPM got to power way before Exim bank loan.
 
..Reli ni Dar-Isaka-Keza-Kigali-Musongati.

..Dar to Isaka ni 970 km. Reli mpya itajengwa parallel na reli ya zamani.

..Toka Isaka mpaka Keza ni reli mpya kabisa. Umbali ni 407 km.

..Keza to Kigali, reli mpya, ni 123 km.

..Keza to Musongati, reli mpya, ni 172 km.

..Now, here is the QUESTION: Kwanini hivi karibuni serikali inazungumzia 400 km badala ya 1377 km?

..Je, serikali imeamua kujenga kipande cha Isaka to Keza na kuachana na kipande cha Dar to Isaka?

Cc MK254, Geza Ulole
 
Back
Top Bottom