Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sio kosa lako
mkandarasi si mjinga a test reli kw kichwa ambacho hakiendani na reli yenyewe...yani hapo kachukua sample inayoendana na uwezo wa reli yenyewe...bwahahaaa....yani hapo mmeshapigwa tayari...rangi tu...bwahaaaa
 
Ila yenu ni mbovu kwa zote. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sgr4.jpg
We jamaa hua inakichwa kibovu sana
 
oh my!!!hv imekua kichwa cha yerpi ni kizuri.....mbna mmeanza kunyongonyea hvo...anyway..mtu kusifia cha kwake sio kosa jinai...bwahahaa
 
Gogo la Tazara liko poa sana, enzi zetu wakati tunasoma tulikuwa tunapanda bure, actually tulikuwa tunarejeshewa na GoT pesa za nauli.

Mby to Bongo overnight trip tulikuwa tunashinda kule behewa la restaurant tukizipiga Mosi barida za Zambia, Ilikuwa safi sana, vijana siku hizi mnakosa mengi, ngoja tusubiri SGR tuone itakuwaje.
 
oh my!!!hv imekua kichwa cha yerpi ni kizuri.....mbna mmeanza kunyongonyea hvo...anyway..mtu kusifia cha kwake sio kosa jinai...bwahahaa
we nawe upo dunia gani,,,

4th world apart nini.....[emoji3][emoji3]
 
Fala ww kama hujui pale ngerengere na hz pic nimezitoa reli tv blog na km haujui pale nilishawahi fika bcuz baba angu naye ana wadhifa flan railway km hujui
Naona mshaiba picha ya Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fala ww kama hujui pale ngerengere na hz pic nimezitoa reli tv blog na km haujui pale nilishawahi fika bcuz baba angu naye ana wadhifa flan railway km hujui
Hapa ni sehemu gani Tz? [emoji23][emoji23][emoji23]. You are not proud of your SGR mkaamua kuiba za kenya[emoji23][emoji23].
tapatalk_1558879517230.jpeg
 
Halafu watakwambia 'Zisi isi ze modan burretti turein ini Afrika' wakati ni picha za Kenya wanatumia hadi unashangaa sasa ni gani modern.
It's not the first time wameiba picha ya Kenya's SGR. Hawakoproud na nayo.
 
Back
Top Bottom