BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Ndivyo mlivyo. Wakikyu kuwachukia waluo. Na waluo kuwachukia wakamba. Sio Watanzania Awana tabia mbaya Kama zakoNi vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.