Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ni vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
Ndivyo mlivyo. Wakikyu kuwachukia waluo. Na waluo kuwachukia wakamba. Sio Watanzania Awana tabia mbaya Kama zako
 
kuhusu roho mbaya kwa hilo chief cooker umekosea njia ,,,,,labda huo mchsngo wako ukiwa unamaanisha kinyume sawaa....

yaani kwa watanzani iwe wakenya...
 
[emoji23] [emoji23]
 
Hawawezi kubishana na huyo sister yuko makini sana na anaongea facts tupu, very good Promo from her....
na ukienda katika jukwaa la siasa vile watanzania wana comment..na hawa ma refuge wa hapa kenyan news..ni total different...bwahahaaa
 
Wale ni wanasiasa
Ujue kutofautisha siasa na uhalisia
Hadi leo hujajua wanasiasa ni watu wa aina gani?
Trust none of the politicians because they are the problem of reality by che guevara
 
heheee...kwhyo anayemponda jiwe kule akija hapa kenyan news atamsifia...heheeee...wacha kujichanganya....kila mtu na maoni yake...
 
Again
Siasa
hhhhh!!ukwel mchungu...wakenya waki comment kuhusu ubaya wa nchi yao si siasa kwhyo...lkn watanzania ni siasa...bwahahaaa

we mwenywe uko hapa kenyan news kisiasa..je unapinga au unakataa...sasa nataka hyo akili yenu ya kwamba kila kitu ni siasa..mara hoo siasa haikwepeki...ukijibu hilo swali hapo juu..ndio nitajuwa uwezo wa akili zko
 
Wale ni wanasiasa
Ujue kutofautisha siasa na uhalisia
Hadi leo hujajua wanasiasa ni watu wa aina gani?
Trust none of the politicians because they are the problem of reality by che guevara
Huyu nae anafikiri kila kitu ni siasa tu, haelewi kwanini tumeweka majukwaa ya aina mbalimbali, udaku, michezo etc, etc...

Wakati ule nimeleta wazo la kuanzisha hili jukwaa la Kenya ni waKenya ndio walikua wakwanza kunipinga eti tunataka kuwatenga na waBongo ....haya ni miaka kadhaa imepita sasa, kuna watu hawajui historia ya jukwaa hili...
 
Hawana akili hawa wana ukabila ilhal nchi moja ndio maana wako palepale hawasogei kimaendeleo
Ndivyo mlivyo. Wakikyu kuwachukia waluo. Na waluo kuwachukia wakamba. Sio Watanzania Awana tabia mbaya Kama zako
 
Wakenya wana roho mbaya naskia hata mtu ukienda kwa mwenzio uwe na appointment nae km kazin
kuhusu roho mbaya kwa hilo chief cooker umekosea njia ,,,,,labda huo mchsngo wako ukiwa unamaanisha kinyume sawaa....

yaani kwa watanzani iwe wakenya...
 
Wakenya wana roho mbaya naskia hata mtu ukienda kwa mwenzio uwe na appointment nae km kazin
[emoji3][emoji3][emoji3] ila hiyo apointment ni kawaida ulimwengu huu lazima uende sehemu kwa taarifa japo inategemea na safari husika

ila kikubwa tuwashangae ni kwamba hata apointment yenyewe wanaitema na ukiipata utaambulia short story bila water kisha mtu anabuni safari wakati hakuwa na safari yeyote[emoji3][emoji3]
 
Hiyo kaka inatokana na budget kali kutokana na maisha magum mbona tz mgeni anakuja bila taarifa unga unaongezwa ugali unapikwa watu wala ni bcuz hakuna shida mahswus km kenya mpk kutembeleana waweke appointment

hilo nalo neno majirani njaa kali wanakimbia majukumu[emoji3][emoji3]
 
TAZARA
Maeneo ya Makambako, Njombe
010911-1803.jpeg
010911-1802(001).jpeg
 
Ni vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
Hivi Anko MTU anaweza kukuchukia bila sababu.. Maana tz watu hawana cha kumchukia MTU but ukifanya kitu kitachofanya MTU akuchukie utachukiwa tuuu...y wtz hawamchukii mganda au mmalawi au msomalia au mrwanda aje awachukie nyie
 
Wakenya wana ile chokochoko km kagame wakijambiwa wanalalamika
Hivi Anko MTU anaweza kukuchukia bila sababu.. Maana tz watu hawana cha kumchukia MTU but ukifanya kitu kitachofanya MTU akuchukie utachukiwa tuuu...y wtz hawamchukii mganda au mmalawi au msomalia au mrwanda aje awachukie nyie
 
Hivi Anko MTU anaweza kukuchukia bila sababu.. Maana tz watu hawana cha kumchukia MTU but ukifanya kitu kitachofanya MTU akuchukie utachukiwa tuuu...y wtz hawamchukii mganda au mmalawi au msomalia au mrwanda aje awachukie nyie
Na mbona Mganda, Mmalawi, Muethiopia, Msudan, Mrwanda na Msomalia hawachukii Mkenya yet Mtanzania anamchukia Mkenya?
 
Back
Top Bottom