mkandarasi si mjinga a test reli kw kichwa ambacho hakiendani na reli yenyewe...yani hapo kachukua sample inayoendana na uwezo wa reli yenyewe...bwahahaaa....yani hapo mmeshapigwa tayari...rangi tu...bwahaaaa
We jamaa hua inakichwa kibovu sanaIla yenu ni mbovu kwa zote. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na isitoshe hiko kichwa cha yerp merkez ni kizuri kuliko kichwa cha treni yaoWe jamaa hua inakichwa kibovu sana
[emoji75] [emoji75]na isitoshe hiko kichwa cha yerp merkez ni kizuri kuliko kichwa cha treni yao
Naona mshaiba picha ya Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]Ikikamilika haitaleta hasara km sgr ya kwenuView attachment 1107828View attachment 1107829
Assembled in Kenya.Wazito ndio hao.View attachment 1108628
You won't find such assembled in Tanzania.Assembled in Kenya.
You won't find such assembled in Tanzania.
we nawe upo dunia gani,,,oh my!!!hv imekua kichwa cha yerpi ni kizuri.....mbna mmeanza kunyongonyea hvo...anyway..mtu kusifia cha kwake sio kosa jinai...bwahahaa
Naona mshaiba picha ya Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mshaiba picha ya Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
You won't find such assembled in Tanzania.
Hapa ni sehemu gani Tz? [emoji23][emoji23][emoji23]. You are not proud of your SGR mkaamua kuiba za kenya[emoji23][emoji23].Fala ww kama hujui pale ngerengere na hz pic nimezitoa reli tv blog na km haujui pale nilishawahi fika bcuz baba angu naye ana wadhifa flan railway km hujui
Hapa ni sehemu gani Tz? [emoji23][emoji23][emoji23]. You are not proud of your SGR mkaamua kuiba za kenya[emoji23][emoji23].View attachment 1108747
Halafu watakwambia 'Zisi isi ze modan burretti turein ini Afrika' wakati ni picha za Kenya wanatumia hadi unashangaa sasa ni gani modern.Hapa ni sehemu gani Tz? [emoji23][emoji23][emoji23]. You are not proud of your SGR mkaamua kuiba za kenya[emoji23][emoji23].View attachment 1108747
Kijana acha ubishi, that's not your rail. Yerpi don't use machines like those in their construction work.Kenya siku hz kuna ngerengere kenya kuna morogoro cku hz duh
It's not the first time wameiba picha ya Kenya's SGR. Hawakoproud na nayo.Halafu watakwambia 'Zisi isi ze modan burretti turein ini Afrika' wakati ni picha za Kenya wanatumia hadi unashangaa sasa ni gani modern.