Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

We unachekesha wakati huo ww wafanya hyo training.
Sio muda mrefu ukitaka kujenga phase three ya sgr yako utakuja kwangu kununua mataluma ya reli nimeshaanza kuyatengeneza pale soga asa hapo sijui nan kajiwekeza zaid
wewe naona ni wale ma CCM ufwata upepo ambao wanaamini kila kitu kinachoandikwa JF, hebu nionyeshe ushahidi wowote kwamba mataaluma au mchanga wa kujnga sgr kenya ulitoka nje???

Hapa ni uchina sio, ambapo haya madaraja hutngenezwa??

Naona siku hizi waafrica wanapatikana kule Uchina manake hapa si Kenya kulingana na wewe

Attachments

  • B7xXhJ5CIAAXIdX.jpeg
    134.1 KB · Views: 24
  • CYcuUKDWsAAbauD.jpeg
    35.6 KB · Views: 23
Kuku ww baba angu ni mmoja wapo wa railway engineers wa tz na yeye anashughulika na ubadilishaji wa metre gauge sasa hv unakataa.nn ndio maana serikali ilitoa watu kumi wakachukue ujuz wa kuendesha sgr kiujumla ili wajuz waongezeke ktk railway ya TRC
ushahidi???
 
Hivi ndio watu Tanzania ni wajinga kama KUKU?
 
ummayed mbna umeumwa sana..trc wanatumiaga picha za kenya kuwaliwaza watanzania..kw ujinga wako..ukakimbia mbio kutupia picha ya sgr ya kenya kusema ni ya tz...usitulaumu wakenya kw kukuumbua...nenda kawalaumu trc
 
ummayed...mbna umeacha kutuma picha za reli ya kenya...ama waogopa kuumbuliwa...anyway nenda kawalaumu hao TRC
 
We swahibul aswad aya Nambie huyo uhuru kenyatta basi.ilhali huyo magufuli
 
Nyie mbona mlipost pic za Nyerere bridge mkadanganya ya kwenu mitandaoni au hilo umelisahau
ummayed...mbna umeacha kutuma picha za reli ya kenya...ama waogopa kuumbuliwa...anyway nenda kawalaumu hao TRC
 
wuhuhuuuu...umayed hilo daraja unalodai km limepostiwa au huo mlima kilimanjaro mnaopiga nao kelele...hakuna kiongozi utaona kafanya huo upuuzi...bali tanzania tangu viongozi mpaka taasisi za serikali...noma sana..bwahahaa
 
Kuku ww baba angu ni mmoja wapo wa railway engineers wa tz na yeye anashughulika na ubadilishaji wa metre gauge sasa hv unakataa.nn ndio maana serikali ilitoa watu kumi wakachukue ujuz wa kuendesha sgr kiujumla ili wajuz waongezeke ktk railway ya TRC

Nina Swali, kama Tz hawajanunua treni bado, Dereva watafundishwa aje na hamjui gani model ya treni itanunuliwa?
Simulator are for specific models like for planes, so unless locomotives have been bought, this 10students stori siamini.
 
Treni zimeshanumuliwa kutoka Korea na training inafanywa na Turkey na Korea model inayokuja ni Hyundai Rotem ambazo hata Turkey wanazitumia huko kwao. Google Hyundai Rotem trains utaona zimekaaje.
 
Achaga ubishi ww train itaonunuliwa imeshajulikana na magufuli akawachagua watu kumi wapo chin ya yapi merkez yenyewe wakifundishwa uendeshaji sgr kiujumla si tu.kiudereva hadi utandikaj na utengenezaji.
Unabahat ile vid ndefu ningeipost humu uone alichoongea rais pamoja na mkurugenz wa TRC
Nina Swali, kama Tz hawajanunua treni bado, Dereva watafundishwa aje na hamjui gani model ya treni itanunuliwa?
Simulator are for specific models like for planes, so unless locomotives have been bought, this 10students stori siamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…