Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
wewe naona ni wale ma CCM ufwata upepo ambao wanaamini kila kitu kinachoandikwa JF, hebu nionyeshe ushahidi wowote kwamba mataaluma au mchanga wa kujnga sgr kenya ulitoka nje???We unachekesha wakati huo ww wafanya hyo training.
Sio muda mrefu ukitaka kujenga phase three ya sgr yako utakuja kwangu kununua mataluma ya reli nimeshaanza kuyatengeneza pale soga asa hapo sijui nan kajiwekeza zaid
Una akili timam wakat huo ujenzi wa sgr unafanywa na watz pia watz ndio wanatengeneza mataluma na kufanya ujenzi wa sgr na ma engineer wa yapi merkez ilahli ww hadi mchanganya kokoto ktk ujenz wa sgr yako alikua mchina.
Kwa hapo tushawapiga bao kwanza mataluma ya reli hatutoi nje tunatengeneza wenyewe soga ilhal ww ulikua unatoa nje.
Pili tuna watz ambao wanafanya kaz sambamba ktk ujenz wa hii reli it means kuna watu tunao wana ujuzi ktk utengenezaji wa sgr.
Na kuna watu kumi wameteuliwa na rais wakasomee kuhusu uendeshaji wa sgr kiujumla sio udereva tu km nyie mlivyofikiria pafupi
Hapa ni uchina sio, ambapo haya madaraja hutngenezwa??
Naona siku hizi waafrica wanapatikana kule Uchina manake hapa si Kenya kulingana na wewe