Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Mwendawazimu ni wewe unaefikiri vidole vyote vinafanana.Pitia Muhimbili wakupatie antidepressants alafu uje Hali yako ikiwa sawa. Sijawahi kusikia mwendawazimu akikiri kuwa Hana akili timam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendawazimu ni wewe unaefikiri vidole vyote vinafanana.Pitia Muhimbili wakupatie antidepressants alafu uje Hali yako ikiwa sawa. Sijawahi kusikia mwendawazimu akikiri kuwa Hana akili timam.
Siwezi bisha hata kidogo.Mwendawazimu ni mimi ninaefikiri vidole vyote vinafanana.
Una ulivyochizi mpaka unabadilisha comment za watu.Siwezi bisha hata kidogo.
Pesa za ndani ni propaganda. Mtalipa deni ya Standard chartered bankMimi nadhani kelele za ujenzi kuchelewa zingeanza baada ya Nov 2019. Mkataba unasema ujenzi utakamilika wakati huo. Kwa sasa siyo ishu kuendelea kupigs ramli zisizo na msingi.
Hiyo project ya Mombasa Nairobi ilikuwa na terms tofauti kabisa na hii ya kwetu.
Kwa mfano: Nyinyi mna-finance reli yenu kwa mkopo asilimia mia. Hivyo kufanya construction kwa muda mrefu say miaka mitatu tayari kunaanza kumomonyoa viability ya mradi.
Sisi kwa sehemu kubwa tunatumia pesa zetu wenyewe. Given our small economy hatuwezi ku-disburse pesa nyingi at par. Mambo mengine yatakwama.
So, rafiki zetu msubiri Novemba ndiyo muanze kuchonga kuhusu delays.
Geza na Joto, mbona hamtuonyeshi haya?
Carelessness and laziness of a Tzanzanian as usual, kwani dere alikuwa anadoze kwa janta?accident happens and that was btn a train and a truck! a reason the SGR will go over a viaduct at every town and city!
In Kenya trains derail themselvesCarelessness and laziness of a Tzanzanian as usual, kwani dere alikuwa anadoze kwa janta?
www.capitalfm.co.ke
In Tanzania trains fall down.In Kenya trains derail themselves
![]()
Kibarani-Makupa Causeway temporarily closed after train derails
MOMBASA, Kenya, Jul 19 - Police in Mombasa have been forced to close the Kibarani - Makupa Causeway after a train carrying super petrol derailed Thursday - Kenya breaking news | Kenya news today | Capitalfm.co.kewww.capitalfm.co.ke
Yes ya phase 2...1.46bn usd ..nioneshe sehemu ambapo phase 1tumechukua mkopoPesa za ndani ni propaganda. Mtalipa deni ya Standard chartered bank
Dar Moro Turkish Exim bank $1.2b. SGR yote ni loans, isiamini propaganda harala haraka. Fanya research. link hii hapaYes ya phase 2...1.46bn usd ..nioneshe sehemu ambapo phase 1tumechukua mkopo
..that means itafanyika haraka kuliko hta phase 1 myb
Hii habari imeandikwa na Mkenya kwenye gazeti la east Africa...nia yenu huwa inajulikana..kma ni goverment of Tz yenyewe walisema tumechukua mkopo kutoka Standard bank...kwann wasiseme kuhusu exim bank ya turkey....hii phase 1 hela yote ni goverment.phase 2 ya 1.9bn USD 1.46 ni standard na usd540mil zilizobaki goverment ya Tz ..siwez kuamini gazeti la kikenya bila hata hyo bank ya uturuki,govt ya tz au hata ya turkey kusema kituDar Moro Turkish Exim bank $1.2b. SGR yote ni loans, isiamini propaganda harala haraka. Fanya research. link hii hapa
Tanzania secures US $1.46bn loan for Standard Gauge Railway (SGR).
Tanzania secures US $1.46bn loan for Standard Gauge Railway (SGR).expogr.com
Bullet train speed is from 250kph, hii yenu ya 160max (will be less in operation) ni train ya kawaida. Bado hamjanunua locomotives, mtapata kama zile za Ethiopia tuu. Box shape.
Hawa jamaa ni mafala kinoma wako radhi ku-distort facts to just look good on their misachievements! BTW two phases r to be launched this year! Makutupora to Isaka and Isaka to Kigali. Let them sit back and watch as their budget has not allocate money for Naivasha-Kisumu after a turndown by the Chinese banks!Hii habari imeandikwa na Mkenya kwenye gazeti la east Africa...nia yenu huwa inajulikana..kma ni goverment of Tz yenyewe walisema tumechukua mkopo kutoka Standard bank...kwann wasiseme kuhusu exim bank ya turkey....hii phase 1 hela yote ni goverment.phase 2 ya 1.9bn USD 1.46 ni standard na usd540mil zilizobaki goverment ya Tz ..siwez kuamini gazeti la kikenya bila hata hyo bank ya uturuki,govt ya tz au hata ya turkey kusema kitu
![]()
Tanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart
Funds will enable Tanzania to build the 430km line between Morogoro and Makutupora.www.theeastafrican.co.ke
Mjinga kama wewe ndio ataamini propaganda za sisiem" pesa za ndani" manenosHii habari imeandikwa na Mkenya kwenye gazeti la east Africa...nia yenu huwa inajulikana..kma ni goverment of Tz yenyewe walisema tumechukua mkopo kutoka Standard bank...kwann wasiseme kuhusu exim bank ya turkey....hii phase 1 hela yote ni goverment.phase 2 ya 1.9bn USD 1.46 ni standard na usd540mil zilizobaki goverment ya Tz ..siwez kuamini gazeti la kikenya bila hata hyo bank ya uturuki,govt ya tz au hata ya turkey kusema kitu
![]()
Tanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart
Funds will enable Tanzania to build the 430km line between Morogoro and Makutupora.www.theeastafrican.co.ke
After accident!In Tanzania trains fall down.
Elewa kiswahili rafiki yangu. Tunatumia zaidi pesa ya ndani. Iko dhahili kuwa mkopo unahusika lakini ni kwa kiasi kidogo. Official information kuhusu mkopo ni ile $200m ya mwaka jana ambayo ilikuwa kwa ajili ya SGR, kinyerezi na project nyingine.Pesa za ndani ni propaganda. Mtalipa deni ya Standard chartered bank
Hiyo loan deal ya Exim ilipigwa chini pamoja na contractor wa kichina. Kwenye phase I Dar-Moro hakuna kitu kama mkopo. Na kwenye bajeti ijayo imetengwa pesa yote ya kukamilisha mradi. Tumia real info' achana na propagandists watakupotezea muda.Dar Moro Turkish Exim bank $1.2b. SGR yote ni loans, isiamini propaganda harala haraka. Fanya research. link hii hapa
Tanzania secures US $1.46bn loan for Standard Gauge Railway (SGR).
Tanzania secures US $1.46bn loan for Standard Gauge Railway (SGR).expogr.com
Bullet train speed is from 250kph, hii yenu ya 160max (will be less in operation) ni train ya kawaida. Bado hamjanunua locomotives, mtapata kama zile za Ethiopia tuu. Box shape.
Hawa jamaa ni mafala kinoma wako radhi ku-distort facts to just look good on their misachievements! BTW two phases r to be launched this year! Makutupora to Isaka and Isaka to Kigali. Let them sit back and watch as their budget has not allocate money for Naivasha-Kisumu after a turndown by the Chinese banks!