Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Pitia Muhimbili wakupatie antidepressants alafu uje Hali yako ikiwa sawa. Sijawahi kusikia mwendawazimu akikiri kuwa Hana akili timam.
Mwendawazimu ni wewe unaefikiri vidole vyote vinafanana.
 
Mimi nadhani kelele za ujenzi kuchelewa zingeanza baada ya Nov 2019. Mkataba unasema ujenzi utakamilika wakati huo. Kwa sasa siyo ishu kuendelea kupigs ramli zisizo na msingi.

Hiyo project ya Mombasa Nairobi ilikuwa na terms tofauti kabisa na hii ya kwetu.

Kwa mfano: Nyinyi mna-finance reli yenu kwa mkopo asilimia mia. Hivyo kufanya construction kwa muda mrefu say miaka mitatu tayari kunaanza kumomonyoa viability ya mradi.

Sisi kwa sehemu kubwa tunatumia pesa zetu wenyewe. Given our small economy hatuwezi ku-disburse pesa nyingi at par. Mambo mengine yatakwama.

So, rafiki zetu msubiri Novemba ndiyo muanze kuchonga kuhusu delays.
 
Pesa za ndani ni propaganda. Mtalipa deni ya Standard chartered bank
 
accident happens and that was btn a train and a truck! a reason the SGR will go over a viaduct at every town and city!
Carelessness and laziness of a Tzanzanian as usual, kwani dere alikuwa anadoze kwa janta?
 
Yes ya phase 2...1.46bn usd ..nioneshe sehemu ambapo phase 1tumechukua mkopo
..that means itafanyika haraka kuliko hta phase 1 myb
Dar Moro Turkish Exim bank $1.2b. SGR yote ni loans, isiamini propaganda harala haraka. Fanya research. link hii hapa

Bullet train speed is from 250kph, hii yenu ya 160max (will be less in operation) ni train ya kawaida. Bado hamjanunua locomotives, mtapata kama zile za Ethiopia tuu. Box shape.
 
Hii habari imeandikwa na Mkenya kwenye gazeti la east Africa...nia yenu huwa inajulikana..kma ni goverment of Tz yenyewe walisema tumechukua mkopo kutoka Standard bank...kwann wasiseme kuhusu exim bank ya turkey....hii phase 1 hela yote ni goverment.phase 2 ya 1.9bn USD 1.46 ni standard na usd540mil zilizobaki goverment ya Tz ..siwez kuamini gazeti la kikenya bila hata hyo bank ya uturuki,govt ya tz au hata ya turkey kusema kitu
 
Hawa jamaa ni mafala kinoma wako radhi ku-distort facts to just look good on their misachievements! BTW two phases r to be launched this year! Makutupora to Isaka and Isaka to Kigali. Let them sit back and watch as their budget has not allocate money for Naivasha-Kisumu after a turndown by the Chinese banks!
 
Mjinga kama wewe ndio ataamini propaganda za sisiem" pesa za ndani" manenos
 
Pesa za ndani ni propaganda. Mtalipa deni ya Standard chartered bank
Elewa kiswahili rafiki yangu. Tunatumia zaidi pesa ya ndani. Iko dhahili kuwa mkopo unahusika lakini ni kwa kiasi kidogo. Official information kuhusu mkopo ni ile $200m ya mwaka jana ambayo ilikuwa kwa ajili ya SGR, kinyerezi na project nyingine.
 
Dar Moro Turkish Exim bank $1.2b. SGR yote ni loans, isiamini propaganda harala haraka. Fanya research. link hii hapa

Bullet train speed is from 250kph, hii yenu ya 160max (will be less in operation) ni train ya kawaida. Bado hamjanunua locomotives, mtapata kama zile za Ethiopia tuu. Box shape.
Hiyo loan deal ya Exim ilipigwa chini pamoja na contractor wa kichina. Kwenye phase I Dar-Moro hakuna kitu kama mkopo. Na kwenye bajeti ijayo imetengwa pesa yote ya kukamilisha mradi. Tumia real info' achana na propagandists watakupotezea muda.
 
Financing arrangements wanazotumia Kenyans kwenye miradi yao mingi inafanya hiyo miradi ku-offer expensive services ili irudishe mikopo. Wangejifunza namna TZ tunavyofanya wangeinusuru nchi yao kutokana na modern imperialism ya China. Sema hawawezi kubali hii kitu.

Back
Top Bottom