Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hujui kiingereza ndio maana hujaelewa.
Au maana ya profitable na reliable hujui?!
Au umetoka kudanga akili zimekutoka?!
Tumia Kiswahili ueleweke. Huu ni ushuzi umeandika hapa [emoji23]
 
Juzi kati ililetwa thread kuwa SGR yenu ya diesel trains imekuwa ni kileta hasara na ww una support yenu ni reliable kam miandishi ya huyo jamaa yako.
Je kivipi iwe profitable "yenye kuleta faida" na reliable "yenye kuweza kutegemewa ktk kuleta faida " kama inaleta hasara ?!
Nimekuwa nikisoma quotes zako yani ww inaonekana ulikuwa mtorokaji shule sana ww.
Naona sindano umeingia sawasawa [emoji23][emoji23]. Natumai umesoma hizo comparison zote. SGR yenu huwezi linganisha na ya Kenya na Uganda
 
No it does not. Land compensation money is specifically from the Railway Development Levy which was first imposed in 2013.30 billion was given as compensation for land for the Mombasa-Nairobi stretch and all that came from the RDL.
As such, the compensation part DID Not come from the loan, but from a local tax.
 
I would advise you to read and understand question before criticising some one.
It shows that you Kenyan people were failures on attempting questions.
Because before understanding what question needs u want to answer it.
I would advise you to use Kiswahili in your writings.
 
I would advise you to use Kiswahili in your writings.
Let me make you clear.
Why is your SGR railway bringing loss now,if is more profitable and reliable more than any SGR in EA like the way your friend said?
I think utaelewa kwa kukuchanganulia hilo swali
 
Kenyans kama mngekuwa watu wa kujifunza mngechukua kitu kutoka kwenye financing model ya SGR Tz na mega projects nyingine.

Miradi mikubwa sana kama SGR ambayo inagharimu pesa nyingi lakini ni ngumu kuleta commercial viability kwenye shortrun ni vema ikawa financed kwa combination ya debt na own sources.

Hii ndiyo sababu WB wameipa kisogo miradi yote ya SGR EA. Hii miradi return yake kubwa zaidi ni indirect kupitia sector zingine hususan viwanda, kilimo, utalii, madini, etc.

Pia impact yake huanza kuonekana zaidi kwenye medium na long runs. Mbaya zaidi hata hizo economic returns zinaweza kutoonekana ikiwa service offered itakuwa expensive. Hivyo sometimes inaweza lazimu kuweka subsidy ili potential yake iwe realized.

Tumeona hapa TZ kwenye UDART kwa mfano. Bei halisi zilizopaswa kilipwa na wasafiri ili kupata commercial viability kwa wawekezaji ni kubwa kwa wasafiri. Ilibidi serikali kiingilia kati na kuzipunguza kwa 50%. Madhara yake yakawa contractor kushindwa kuleta idadi kamili ya mabasi. Pia imekuwa ngumu kupata permanent contractor kwa sababu ya gvt intervation hiyo.

Hivyo basi, kwa kuzingatia gharama kubwa za uendeshaji wa treni ya diesel ni vema GOK wakaichukulia refusal ya loan ya Wachina kama fursa ya kupitia upya financing model ya SGR yenu.
 
Waaah if this is legit then the Tz rail does not make sense at all! 72 hours vs 24 hours, 8,460 containers per day vs 216 containers. Why do we even waste time arguing with our southern neighbors. It’s clear as day and night. Only a mad man would use the Dar route over the MSA route to Kampala!!
 
You guys think you know it all. Raising your debt higher and higher with that garimoshi. Don't waste your time comparing your project with ours more especially in terms of quality.

Our slow but controlled speed is better than getting our economy into deeper troubles through debt.
 
Badala ya kukaa na kujibaragua na mi pics ya reli yenu,embu kaa mutafakari mtafanyaje gharama za uendeshaji wa reli yenu zisiwe kubwa kushinda faida.
Bandari ya Mombasa imeongeza faida kutoka $380m Hadi $450m mwaka jana... Hio ni sector moja Tu ya logistics hatujaongelea impact yake Kwa Uchumi... Yani last week nilifurahia kusoma vile meli ilifika Msa na contena kama 6,000 na kama bado hawajamaliza kushukisha mizigo yote, tayari ilikua contena zilishoshukishwa zishafikishwa Nairobi wakati meli bado iko bandarini!!!

Gharama ya uendeshaji SGR nyingi huenda Kwa maintenance, fuel ... Hii ni gharama ambayo Sana Sana itabaki constant au kupanda kwa kiasi kidogo Sana .... Wakati Kwa upande mwengine revenue ya mizigo huongezeka exponentially Yani baada ya miezi sita ya Kwanza revenue iliongezeka mara dufu, baada ya miezi sita miengine revenue ikapanda mara 2.5 Yani inazidi kuongezeka kila baada ya miezi sita... Sahii ni mwaka mmoja na nusu tangu tuanze kubeba mizigo.... Kadri mizigo zaidi inazidi kubebwa na SGR revenue itazidi kupanda wakati gharama ya kusafirisha itaendelea kubaki Kwa range ile ile ...

BTW hata nyinyi mtapatwa na changamoto hio hio hapo mwanzo mwanzo, mtafikiria mmetengeneza faida alafu baada ya kulipa watu mishahara. TANESCO watabisha mlango na kudai hela Yao ya stima ...mwishowe mtajikuta na loss ..... Itabidi muendelee kuongeza mizigo zaidi Hadi ule wakati itakua mnabeba kama 60% ya mizigo yote inayoshuka bandarini.... Jambo ambalo haliwezi kufanyika mwaka wa Kwanza... Labda JPM aamuru TRA isilipe TANESCO gharama ya umeme ndo mtatengeneza instant profit!!!

BTW naona Yepi Merkezi ako bussy akieka milingoti ya stima lakini sijaskia mkianzisha project ya ku stabilize umeme Tz na kupunguza blackouts ... Chungeni msiwe kama Ethiopia, umeme wanao kwa wingi kuwashinda lakini bado electric train hukwama Kwa masaa njiani sababu stima zimepotea... Kwahivyo badala ya kuangalia ya huku Kenya ambayo tayari inafanya kazi, chunga sije ukajisahau kwamba mna yenu ya kutafakari Kwa hio yenu ambayo haijaanza kufanya kazi.
 

Tanzania hakuna blackouts kwa miaka mingi sana sasa Tanesco walisha upgrade system zao kuondoa potential blackouts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…