Bandari ya Mombasa imeongeza faida kutoka $380m Hadi $450m mwaka jana... Hio ni sector moja Tu ya logistics hatujaongelea impact yake Kwa Uchumi... Yani last week nilifurahia kusoma vile meli ilifika Msa na contena kama 6,000 na kama bado hawajamaliza kushukisha mizigo yote, tayari ilikua contena zilishoshukishwa zishafikishwa Nairobi wakati meli bado iko bandarini!!!
Gharama ya uendeshaji SGR nyingi huenda Kwa maintenance, fuel ... Hii ni gharama ambayo Sana Sana itabaki constant au kupanda kwa kiasi kidogo Sana .... Wakati Kwa upande mwengine revenue ya mizigo huongezeka exponentially Yani baada ya miezi sita ya Kwanza revenue iliongezeka mara dufu, baada ya miezi sita miengine revenue ikapanda mara 2.5 Yani inazidi kuongezeka kila baada ya miezi sita... Sahii ni mwaka mmoja na nusu tangu tuanze kubeba mizigo.... Kadri mizigo zaidi inazidi kubebwa na SGR revenue itazidi kupanda wakati gharama ya kusafirisha itaendelea kubaki Kwa range ile ile ...
BTW hata nyinyi mtapatwa na changamoto hio hio hapo mwanzo mwanzo, mtafikiria mmetengeneza faida alafu baada ya kulipa watu mishahara. TANESCO watabisha mlango na kudai hela Yao ya stima ...mwishowe mtajikuta na loss ..... Itabidi muendelee kuongeza mizigo zaidi Hadi ule wakati itakua mnabeba kama 60% ya mizigo yote inayoshuka bandarini.... Jambo ambalo haliwezi kufanyika mwaka wa Kwanza... Labda JPM aamuru TRA isilipe TANESCO gharama ya umeme ndo mtatengeneza instant profit!!!
BTW naona Yepi Merkezi ako bussy akieka milingoti ya stima lakini sijaskia mkianzisha project ya ku stabilize umeme Tz na kupunguza blackouts ... Chungeni msiwe kama Ethiopia, umeme wanao kwa wingi kuwashinda lakini bado electric train hukwama Kwa masaa njiani sababu stima zimepotea... Kwahivyo badala ya kuangalia ya huku Kenya ambayo tayari inafanya kazi, chunga sije ukajisahau kwamba mna yenu ya kutafakari Kwa hio yenu ambayo haijaanza kufanya kazi.