hiki ndicho nilichokuambia ila hapo tena na bado .....huyo boya wakizungu pesa yake hadi ikimfikia itakuwa robo maana tutaigawa gawa na lazima atufidie hasara...tuko tofsuti sana na nyie tuko far than kenya kuanzia siasa mpaka sheria
Si juzi June ndio watu waliondolewa pale Ngong,manyumba kubomolewa,,,enyewe Chinese are excellent.Oh, BTW, Ujenzi wa reli yenyewe Kutoka Nairobi haadi Naivasha ulikamilika tarehe moja mwei huu wa Septemba, Kilichobaki ni stesheni, fense na kupanda nyasi, tayari wameanza kufanya majaribio ya reli.
Bahati mbaya hii mkiizindua itazimishwa na uzinduzi wa electric train ya speed zaidi kutoka jirani yenu. Wakenya wenye akili ambao wapo twitter wataishia ku mock gari moshi lenu. Hii tutawa acha mtangulie kukata utepe then siku 3 mbele tunafanya yetu.Oh, BTW, Ujenzi wa reli yenyewe Kutoka Nairobi haadi Naivasha ulikamilika tarehe moja mwei huu wa Septemba, Kilichobaki ni stesheni, fense na kupanda nyasi, tayari wameanza kufanya majaribio ya reli.
Ku mock na ku troll kule Twitter ni right of passage. It will only last a day or two and maximum will be a week. Hata ya Ethiopia na Morocco walipo launch tuliwasifia na Pia tukacheka yetu, sahii hakuna mtu anakumbuka kama Ethiopia an Morocco ina reli hapo Twitter watu walishasahau na kuenda Kwa next topic.Bahati mbaya hii mkiizindua itazimishwa na uzinduzi wa electric train ya speed zaidi kutoka jirani yenu. Wakenya wenye akili ambao wapo twitter wataishia ku mock gari moshi lenu. Hii tutawa acha mtangulie kukata utepe then siku 3 mbele tunafanya yetu.
Hata mi nimeshangaa,Si juzi June ndio watu waliondolewa pale Ngong,manyumba kubomolewa,,,enyewe Chinese are excellent.
Speed yao ni ya level ingine
Hilo ondoa shaka, sema jingine..Ku mock na ku troll kule Twitter ni right of passage. It will only last a day or two and maximum will be a week. Hata ya Ethiopia na Morocco walipo launch tuliwasifia na Pia tukacheka yetu, sahii hakuna mtu anakumbuka kama Ethiopia an Morocco ina reli hapo Twitter watu walishasahau na kuenda Kwa next topic.
Baada ya kuzindua yenu itakua sasa mmetoka theory stage mmeingia practical stage, hapo ndo tutaona kweli kama yenu ni nzuri kuliko yetu! Tunataka ikifika mwakani tusikie yenu imebeba mizigo mingi na abiria wengi kuliko yetu, otherwise tutaisahau tu kama hizo zengine.
Ndi doesn't mock for a day! 😀Hilo ondoa shaka, sema jingine..
Only the Ngong section that had issues with land was not done. The rest of the stretch to Naivasha had already been constructed. Ngong area was the missing link.Hata mi nimeshangaa,
hao jamaa walikua wanajenga hio sehemu shift ya mchsna na shift ya hadi usiku saa nne..
Niondoe Shaka kama vile mlivyokua mnasema fastjet itateka soko la ukanda huu ? Haya Sawa, nimetoa shakaHilo ondoa shaka, sema jingine..
Hiyo sijawahi kukwambia..Niondoe Shaka kama vile mlivyokua mnasema fastjet itateka soko la ukanda huu ? Haya Sawa, nimetoa shaka