Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

hiki ndicho nilichokuambia ila hapo tena na bado .....huyo boya wakizungu pesa yake hadi ikimfikia itakuwa robo maana tutaigawa gawa na lazima atufidie hasara...tuko tofsuti sana na nyie tuko far than kenya kuanzia siasa mpaka sheria
2019-09-04%2012.15.20.jpeg
 
New batch of Assistant Locomotive drivers and engineers

rmP3PXB.jpg

obsDSWH.jpg

czSk1h5.jpg

M8A4MqZ.jpg

2wedZOG.jpg

The new batch of assistant drivers begun training two months ago, after the then assistant drivers graduated to senior locomotive drivers.

When you graduate to senior driver it means you shoulder all the responsibilities and decision making , you no longer need supervision and are required to make all decisions independently.

Senior driver and her assitant
D7PA-5-UwAEUqo5
 
Oh, BTW, Ujenzi wa reli yenyewe Kutoka Nairobi haadi Naivasha ulikamilika tarehe moja mwei huu wa Septemba, Kilichobaki ni stesheni, fense na kupanda nyasi, tayari wameanza kufanya majaribio ya reli.

l4ACmrV.jpg

6rkYOBh.jpg
 
Si juzi June ndio watu waliondolewa pale Ngong,manyumba kubomolewa,,,enyewe Chinese are excellent.
Speed yao ni ya level ingine
 
Bahati mbaya hii mkiizindua itazimishwa na uzinduzi wa electric train ya speed zaidi kutoka jirani yenu. Wakenya wenye akili ambao wapo twitter wataishia ku mock gari moshi lenu. Hii tutawa acha mtangulie kukata utepe then siku 3 mbele tunafanya yetu.
 
Ku mock na ku troll kule Twitter ni right of passage. It will only last a day or two and maximum will be a week. Hata ya Ethiopia na Morocco walipo launch tuliwasifia na Pia tukacheka yetu, sahii hakuna mtu anakumbuka kama Ethiopia an Morocco ina reli hapo Twitter watu walishasahau na kuenda Kwa next topic.

Baada ya kuzindua yenu itakua sasa mmetoka theory stage mmeingia practical stage, hapo ndo tutaona kweli kama yenu ni nzuri kuliko yetu! Tunataka ikifika mwakani tusikie yenu imebeba mizigo mingi na abiria wengi kuliko yetu, otherwise tutaisahau tu kama hizo zengine.
 
Si juzi June ndio watu waliondolewa pale Ngong,manyumba kubomolewa,,,enyewe Chinese are excellent.
Speed yao ni ya level ingine
Hata mi nimeshangaa,
hao jamaa walikua wanajenga hio sehemu shift ya mchsna na shift ya hadi usiku saa nne..
 
Ku mock na ku troll kule Twitter ni right of passage. It will only last a day or two and maximum will be a week. Hata ya Ethiopia na Morocco walipo launch tuliwasifia na Pia tukacheka yetu, sahii hakuna mtu anakumbuka kama Ethiopia an Morocco ina reli hapo Twitter watu walishasahau na kuenda Kwa next topic.

Baada ya kuzindua yenu itakua sasa mmetoka theory stage mmeingia practical stage, hapo ndo tutaona kweli kama yenu ni nzuri kuliko yetu! Tunataka ikifika mwakani tusikie yenu imebeba mizigo mingi na abiria wengi kuliko yetu, otherwise tutaisahau tu kama hizo zengine.
Hilo ondoa shaka, sema jingine..
 
Hata mi nimeshangaa,
hao jamaa walikua wanajenga hio sehemu shift ya mchsna na shift ya hadi usiku saa nne..
Only the Ngong section that had issues with land was not done. The rest of the stretch to Naivasha had already been constructed. Ngong area was the missing link.
 
Back
Top Bottom