thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Nchi maskini inajenga kitu cha kisasa zaidi kwa pesa zake, nchi tajiri inajenga vitu vya kizamani kwa mkopo ambao hata haijulikani kama wataweza lipa.Nchi maskini pekee ndio inaezajenga ujinga kama hizi in the name of Railway Station