Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nchi maskini pekee ndio inaezajenga ujinga kama hizi in the name of Railway Station
Nchi maskini inajenga kitu cha kisasa zaidi kwa pesa zake, nchi tajiri inajenga vitu vya kizamani kwa mkopo ambao hata haijulikani kama wataweza lipa.
 
yaani mangazi ngazi utasema ni zilr stations zilizojengwa na mkoloni 1960s
Ushamba wa mambo tu, sasa hivi rail ina angaliwa speed kwanza. Halafu hizi station za yepi ni contemporary designs, na zinajengwa kutokana na mahitaji. Siyo mijengo inajengwa baada ya miaka mitano inakua kama majumba ya makumbusho. Halafu mchina naona amefanya ku copy na ku paste alichofanya TAZARA.
images-8.jpeg
DSC_0831.jpeg
images-7.jpeg
0dccfc4cf63c0d142d8e1299a82b3e1e.jpeg
Tazara%20Mbeya.JPG
 
Eti hii kitu ni ya kisasa[emoji23][emoji23]
Nchi maskini inajenga kitu cha kisasa zaidi kwa pesa zake, nchi tajiri inajenga vitu vya kizamani kwa mkopo ambao hata haijulikani kama wataweza lipa.
Pesa enyu gani na mmekopwa na
Standard Chartered Bank
Turkey Exim Bank
Africa Development bank
China.
tapatalk_1567921010958.jpeg
 
Nilikuwa naongelea treni ndio maana Nilikuambia "Kwani mlipewa bure"
Sisi tunaongelea stesheni wewe umeruka kwa sura ya treni.... mara sasa unataka kuingiza viwanja vya ndege !!!!

Kwa sasa hakuna nchi yoyote Africa ina stesheni nzuri nzuri kulikostesheni za Kenya,, ukubali ukatae hilo hauwezi kugeuza, hata hizo stesheni zimeanzakua vivutio vya watalii waafrika

Ushamba wa mambo tu, sasa hivi rail ina angaliwa speed kwanza. Halafu hizi station za yepi ni contemporary designs, na zinajengwa kutokana na mahitaji. Siyo mijengo inajengwa baada ya miaka mitano inakua kama majumba ya makumbusho. Halafu mchina naona amefanya ku copy na ku paste alichofanya TAZARA.View attachment 1201430View attachment 1201431View attachment 1201432View attachment 1201433View attachment 1201434
ni kweli mi sioni wanachojivunia wakenya maana vitu walivyo fanya huku kupitia rail yetu ya zamani tulishavifanya miaka hiyo hivyo tunachofanya sasa ni kisasa siyo kizamani kama wao
 
Without KCB and Sportpesa your Football Federation would be dead.
Sportpesa only sponsors clubs not TFF, KCB was dead in Tz, This deal with TFF brought life to it. Good thing with Tz football, sponsors are assured to get mileage unlike in Kenya. No wonder TFF, clubs and the preamier league have sponsorship deals worth more than Usd 600m annually.
 
What we know is that Kenyan companies are the backbone of your sports. Without them there will be no sports in Tz

Back
Top Bottom