Projects kubwa kama hizi haujengi kwa sababu za leo, Unajenga kwa sababu za Kesho.... Hio reli iko na life span ya miaka mia moja!!!!! Leo hii hizo stesheni zetu zinakaa kubwa, by 2030 kutakua na msongamano kwa hizo stesheni!!! ... Nyinyi hivyo vibanda mlivyojenga nje ya Dar ni kama hamtarajii hivyo vitongoji vitawai panuka na kuwa miji mikubwa hapo mbeleni...
Angalia miji mikubwa huku Kenya, Mombasa, Voi, Nairobi, Nakuru, Eldoret, Kisumu.... etc, reli ya mkoloni iliojengwa 1901 inapitia hio miji yote.... Tafakari!