Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ndugu zetu mmekosea sana kuuza haki zenu za msingi kwa hao wachina mkidhani mnaboresha kumbe mnauvaa mkenge
Huwezi nambia kwamba gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya tren ni kubwa kuliko barabara na bado hao wakoloni mmewapa rights za kisheria kusafirisha shehena zote zinazotia timu hapo bandarini kwenu
Yaaani ni uhuni usiokubalika
Ndo maana sie tulipiga chini limpango feki la bandari ya bagamoyo tuliwashtukia mapema sana na kama hamwamini ngojeni ikamilike SGR ya jembe letu muone
 
Watanzania wa JF vile mnapenda kueka tweets kama chanzo cha hoja, haya huyu hapa mwenzenu alishindwa kuona maana ya kujenga vi stesheni vidogo vidogo kwa reli ambayo inatarajiwa kutumika kwa miaka 100....





Alafu naona ni kama mlidanganywa kidogo... Hizi stesheni kwa mionekano zinakaa ndogo lakini angalau zinakaa simple but elegant and modern..







Lakini 'kwa ground vitu ni different!!!'......... Kumbe hio ilikua ni ndoto!!! Ukiangalia stesheni zenyewe zimejengwa na mabati ya kawaida!!! Yani kuna watu wana nyumba nzuri hata kuliko hizi zinazokaa kama banda la kuku 😂😂😂 Kama ingekua ni Kenya imejenga hivi vibanda mngetucheka hadi tukimbie JF. Hebu angalieni hii ni nini sasa kama si vituko vya majuto na kingwendu!!!???



 
Unakaa ni kama unasoma buku liliondikwa na CCM kueneza propaganda.... Hakuna sheria yeyote iliondikwa za kupatia SGR rights zozote za kusafirisha shehena...... Kuna changamoto zinazokumba SGR lakini hizo ni changamoto ambazo hata nyinyimtapitia, kwahivyo tulia hapo usubiri muanze kubeba mizigo alafu ndo uje ujifanye mwerevu hapa.

Alafu kuhusu hio bandari ya bagamoyo, mbona wapinzani wenu wanasema viongozi wenu wanahujumu nchi kwasababu za kijinga.
 
Nairobi - Naivasha -- Pole pole biashara ya abiria imenza kushika kasi huku tukingojea barabara zimalize kujengwa





 
Umemskia mfanyi biashara gani akilalamika km wanalazimishwa kutumia sgr ya ghali hku wakati ma lorry ni rahisi...

Basi ukiona wamenyamaza, ujue wameona faida nyingi kutumia sgr kulingana na factors mbali mbali...

So watu wa malori wangelipata support ya wafanya biashara, basi ingelikua rahisi kusikizwa...tatizo jamaa wapo solo, na kinachonishangaza kuna malori yanapiga kazi mpka sasa...

Conclusion:
Watu ni km wame preffer sgr kuliko lorry kw sasa
 
But sijui wana malorry wanateta nini. Ukishuka na Mombasa road huko Athi river Konza bado utayaona malori mengi sana sana njiani na mizigo. Tena kulingana na takwimu sidhani SGR inaweza kupakua mzigo wote wa Mombasa port ikiwa peke yake.
 
Hehe hizi nikama Choo za umma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha ata iyo stesheni ya dar iishe wanayo ichocha itakua nzuri kushinda ya Nairobi,tuendelee kucheka.
 
Tofauti ya hii kibanda na zile public toilets Machakos county tofauti ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi mwnywe nashangaa..lkn pia nashuku sai mtu akiacha sgr kwenda kw lorry basi huchagua kampuni za maana zenye services nzuri na uhaiki wa kuupata mzigo salama..

Nashuku hao wanaoandamana ni wale wenye vi lorry kimoja kimoja, si ajabu hta huduma zao si nzuri..
But sijui wana malorry wanateta nini. Ukishuka na Mombasa road huko Athi river Konza bado utayaona malori mengi sana sana njiani na mizigo. Tena kulingana na takwimu sidhani SGR inaweza kupakua mzigo wote wa Mombasa port ikiwa peke yake.
 
Ukweli. Efficiency ya SGR huezi compare na lori
 
Lovely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…