Ndugu zetu mmekosea sana kuuza haki zenu za msingi kwa hao wachina mkidhani mnaboresha kumbe mnauvaa mkenge
Huwezi nambia kwamba gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya tren ni kubwa kuliko barabara na bado hao wakoloni mmewapa rights za kisheria kusafirisha shehena zote zinazotia timu hapo bandarini kwenu
Yaaani ni uhuni usiokubalika
Ndo maana sie tulipiga chini limpango feki la bandari ya bagamoyo tuliwashtukia mapema sana na kama hamwamini ngojeni ikamilike SGR ya jembe letu muone