NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
I took this photo of Suswa station while flying over the area yesterday.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 thread closedNi sawa station za katikati ni ndogo kwa sasa zitakidhi mahitaji ya maeneo husika,hatunaga show off za kijinga jinga tunaangalia economic viability,nyie mmejenga station kubwa porini zinaoza tu huku zikiwagharimu pesa nyingi za kuzimaintain pasipo na faida yoyote,stupid....sie mdogo mdogo tu ikifika wakati wa kujenga station kubwa kwny maeneo hayo tutajenga tu tena zakwetu zitakuwa bora na zakisasa kuliko hata hizo zakwenu,haya majengo ya sasa tutayapangia kazi zingine mbona simple tu. Ardhi tunayo uwezo tunao,we stay focused kurupu kurupu,shobo kama za kwenu hatunaga sie.
Ndio unaingia SAA nane usikuuu lazima uliwe na mbwa
Ndio unaingia SAA nane usikuuu lazima uliwe na mbwa
😂😂😂😂😂 mkubwa.😂 😂 😂 thread closed
By the time your incomplete stations will be rebuilt again you'll be long gone.😂😂😂😂😂 mkubwa.
Study inaonyesha hakuna haja ya SGR hadi mwaka wa 2030 ndo tutakua tumefikisha critical mass.... Alafu hapo hatuongelei faida za reli, tunaongelea kma reli mpya ya SGR inahitajika kwa sasa VS kukarabati reli ya kitambo na tuzitumie hadi 2030!!!!Ndugu akili ya kuambiwa changanya na yako,hivi umeshawahi fanya comparison kati ya Standard gauge na meter gauge kwa ujumla wake pros and cons, jikite tu kwny speed,study multiple effect yake kwny uchumi,sehemu ya masaa mawili unakwenda kwa dk 90 tu, hii itasaidia kuspeed shughuli za kiuchumi na movement ya watu pia,Zaidi ina uwezo wa kubeba mzigo mkubwa kwa mara moja, hapo utasave time, nishati....na n.k mzigo wa kubeba mara mbili utaubeba kwa mara moja na utafika kwa haraka zaidi,nyie majirani zetu ni mamaster sana wa manipulation,mbona nyie mliendelea na ya kwenu, poor you ndo maana mmeangukia pua.Afu study yenyewe mwisho 2030 are you serious?!!!
Watanzania kwa ushabiki hamna mpinzani.... Wapi imeandikwa au imesemekana kwamba mtajenga stesheni upya huko mbeleni na zitakua kubwa na nzuri zaidi?Ni sawa station za katikati ni ndogo kwa sasa zitakidhi mahitaji ya maeneo husika,hatunaga show off za kijinga jinga tunaangalia economic viability,nyie mmejenga station kubwa porini zinaoza tu huku zikiwagharimu pesa nyingi za kuzimaintain pasipo na faida yoyote,stupid....sie mdogo mdogo tu ikifika wakati wa kujenga station kubwa kwny maeneo hayo tutajenga tu tena zakwetu zitakuwa bora na zakisasa kuliko hata hizo zakwenu,haya majengo ya sasa tutayapangia kazi zingine mbona simple tu. Ardhi tunayo uwezo tunao,we stay focused kurupu kurupu,shobo kama za kwenu hatunaga sie.
Hatuhitaji ku-debate kuhusu hilo. Masharti ya mikopo ya China yanaeleweka. I repeat, we don't need that debate. Yawezekana mlifanya feasibility studies hata 100 prior, ila kwenye miradi ya hao watu wenye tumacho tudogo masharti yao ya msingi ndiyo hayo. Feasibility yao, contractor wao, na consultant wao pia. Hapo ndiyo wanamruhusu Exim au mnyonyaji mwingine akupe pesa.Nani alikudanganya mchina ndo alifanya feasibility study?
Hivi unajua SGR ya Kenya ilianza 1975 enzi za Moi? Unajua Kuna feasibility study ngapi zimefanywa kwa ujenzi wa SGR Kenya, ambapo feasibility ilikua inafanywa alafu pesa za ujenzi zinakosekana. Kaka, usilete ushabiki hapa, Watz niwajuavyo nikianza kukuletea ushahidi utakimbia hapa si kitambo.
Kuwa mwelewa basi we jamaa. Siyo kuwa feasibility studies hazikufanywa before. The thing ni kuwa zinakuwa ignored kama reference kwenye negotiations na project implementation. Reference inakuwa kwa feasibility wanazofanya wao (wachina).Wacha tuanzee na hii hapa, Feasibility study iliofanywa na World bank... Hii hapa summary report
View attachment 1255835
Hebu sasa anza kuongea kuhusu hilo la kujifunza kutoka kwenu, WB ilishasema hakuna any economic sense ya kujenga SGR hapa EAC... Si unaelewa maana ya "Feasibility study"? ni kufanya utafiti kuangalia kama project iko viable na ita make economic sense... WB ilisema hadi tuwe na uwezo wa kubeba angalau 20-55 million tonnes kwa reli, hakuna haja ya kujenga SGR.... Tanzania mnajenga SGR ya capacity ya 19 Million tonnes, Bandari yenu ya DAR nayo mwaka jana ilishindwa kufikisha 20 million tonnes, Kumbuka mjiii wa Dar unachukua karibia 35%-50% ya hio mizigo kwahivyo haihitaji kusafirishwa na SGR... Alafu kumbuka si mizigo yote itabebwa na SGR, hata kule Europe, ni asilimia 21% pekee ya mizigo hubebwa na reli, hio nyengine bado hubebwa na malori...
---------------------------------------------------
Sasa twende kwa hii Feasibility Study iliolipiwa na Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda....
View attachment 1255837
Hio ripoti nayo ilionyesha , best case scenario, by 2030 Kenya inaweza kufikisha tani millioni tisa (9 million tonnes) kwa mwaka..... Best case ya Tanzania Central corridor ni 5 miliion tonnes..... Hii ni mizigo inaweza kubebwa na upgraded meter gauge railway, kwahivyo ilikua hakuna haja ya kujenga reli mpya .... Kumbuka hii ni feasibility iliofanywa kwa niaba ya EAC. lakini bado ilisema hakuna haja ya SGR.
View attachment 1255839
-------------------------------------
Alafu baadae mkatoa hela kivyenu na kulipa kampuni nyengine iwafanyie feasibility study na ikapata kwamba eti project ya SGR iko feasible sasa....... hio si ni kudanganyana tu au ni nini??? Iko wapi hio feasibility report yenu??? Si uiweke hapa tujisomee tuone walitumia hesabu gani hadi SGR ikakua feasible! Toa hio ripoti hapa nihame JF kwa miezi miwili!
Alafu wewe unakuja hapa na kuanza kutuhubiria kwamba eti tuna ya kujifunza kutoka kwenu! WTF!!!!! Tulia hapo reli yenu imalizwe ianze kufanya kazi tuone mkipata mafaida kupindukia... alafu hapo ndo uje utufundishe jinsi ya kuendesha bishara ya reli......

Duh naona unavyohangaika kupenya penya jirani angu okey ngoja nikupe somo kdg, Reli faida kubwa inapatikana kwa kubeba mizigo zaidi kuliko abiria na ndio lengo kuu katika miradi yetu hii ya SGR na ndio maana mnahaha sana hapo shida shida Mola awasaidie rail to nowhere, never mind,tuje huku kwny hilo swala la kuwa full booked ni gimmicks tu, unaweza ukakuta abiria wengi wanaojaza hiyo treni ni abiria wa Nairobi -Mombasa, though faida ni ndogo sana upande wa abiria,katikati huko station master anapewa seat 30 tu, kwa nini isiwe full booked, 30 seats?!! Station za katikati huwa zinaoparate ndani ya muda mchache sana baada ya hapo huwa tupu kbs manager anaweza enda hata shamba kulima,ni bora hata hizi station zenu za kati kubwa kubwa mngeziweka karibu na makazi ya watu at least mngezisapoti na shughuli nyingine ndogo ndogo za kiuchumi,njooni mjifunze kwetu like Dar es Salaam station haitakuwa tu kwa ajili ya kuhudumia train peke yake kuna mavitu kibao na iko mjini kbs probably lazima pakuche tu pabang noma sana the iconic!!!! bado nakwambia sisi hatujengi tu kurupu kurupu tunaangalia faida za kiuchumi kwny eneo husika kwa wkt huo eti full booked basi kesho itabidi mbomoe mjenge station mpya huko maporini maana zishaelemewa already!!!!!Anyway ushamba pia ni mzigo sishangai.Watanzania kwa ushabiki hamna mpinzani.... Wapi imeandikwa au imesemekana kwamba mtajenga stesheni upya huko mbeleni na zitakua kubwa na nzuri zaidi?
Alafu, hata kama mtakuja kujenga stesheni kubwa huko mbeleni.....Unaelewa hio itakua ni gharama mara mbili? Zile stesheni mlizojenga kwa sasa hazijawekewa mitikadi yeyote for "future expansion" yani itabidi mbomoe stesheni, muondoe msingi wa stesheni kisha muanze upya kujenga tena.... hebu sasa niambie stupid ni nani kati ya sisi tulio na 'future proof' project yetu hata abiria waongezeke hakuna haja ya kubomoa stesheni.
alafu BTW, hizo stesheni zetu hujaa abiria kupindikia kwahivyo unkula huu manake zinatumika ipaswavyo , ya nini nikupigie story, wacha nikuonyeshe na mifano.....
Ukijaribu ku book SGR kutoka stesheni kadhaa hizo ambazomnasema "ziko porini " Kumbuka hio Train inayo simama kila stesheni ina uwezo wa kubeba abiria 1,200
SGR kutoka Voi hadi Nairobi Saturday November 2019 -- Fully booked!!
View attachment 1256717
Kutoka Emali hadi Nairobi Kesho, First class imejaa, Economy imebaki 25 seats ikue ffully booked
View attachment 1256727
Kutoka Mtito hadi emali kesho, 1st class bado watu watatu, Economy bado mtu mmoja ijae
View attachment 1256737
Kutoka Mariakani hadi Voi kesho, Fully booked!
View attachment 1256738
Kutoka Kibwezi hadi Maisenyi kesho kutwa - Saturday --- bado seat mbili pekee, Mwanzo hio ya maiseny ndo iko msituni kabisaa!
View attachment 1256739
![]()
-----------------------------------------------------
Kwahivyo msikue watu wa kupiga domodomo tu kana kwamba nyinyi pekee ndo mna uwezo wa kufikiria..... Tulipiga hesabu zetu , na tulipojenga hizo stesheni tulikua na sababu zake..... Lakini watanzania wakiona stesheni hizo wanaanza kuziingilia kwasababu zenu ni ndogo ndogo eti hamnaga show off za kijinga kijinga... Je mtasema nini mkianzisha reli yenu mwaka ujao alafu mwaka mmoja baadae mgundue vi stesheni vidogo havitoshi kitu hadi watu wanasongamana nje ya stesheni wakingojea treni??? Si mambo yatakua yamegeuka sasa ni sisi wakenya ndo tunawaambia mna ya kujifunza kutoka kwetu!!!??? Manake itakua mnahitaji upanuzi wa stesheni mwaka mmoja tu baada ya kuzindua reli! Ndio maana nimewaambia mara nyingi hapa JF, subirini reli yenu ianze kufanya kazi kabla muanze kukashifu reli za wenzenu ambazo tayari ziko kazini.!
Kwa upande wa abiria SGR Kenya imesha faulu, Stesheni ni kubwa lakini zinatumika vilivyo hapo hakuna shida. Shida ilioko ni kwa upanze wa mizigo ambako changamoto tele lakini kila siku tunajaribu kupiga hatua na kusonga mbele.... Kwasasa tuko 3 million tonnes, lakini kulingana na feasibility study tunafaa tufikishe 10-11 million tonnes by 2023-2024... kwahivyo kibarua kiko.... Ukilinganisha na huko kwenu ambako hakuna mwananchi wa kawaida anajua projections zozote za mnafaa kubeba mizigo mingapi mwaka wa kwanza au wa pili au miaka kumi kutoka sasa, kila siku mnapigiwa hadithi za vile "esgiara itapunguza gharama ya uchukuzi na kuboresha usafiri" lakini hakuna mtu anatoa takwimu zozote!!!
"katikati huko station master anapewa seat 30 tu, kwa nini isiwe full booked, 30 seats?!!"Duh naona unavyohangaika kupenya penya jirani angu okey ngoja nikupe somo kdg, Reli faida kubwa inapatikana kwa kubeba mizigo zaidi kuliko abiria na ndio lengo kuu katika miradi yetu hii ya SGR na ndio maana mnahaha sana hapo shida shida Mola awasaidie rail to nowhere, never mind,tuje huku kwny hilo swala la kuwa full booked ni gimmicks tu, unaweza ukakuta abiria wengi wanaojaza hiyo treni ni abiria wa Nairobi -Mombasa, though faida ni ndogo sana upande wa abiria,katikati huko station master anapewa seat 30 tu, kwa nini isiwe full booked, 30 seats?!! Station za katikati huwa zinaoparate ndani ya muda mchache sana baada ya hapo huwa tupu kbs manager anaweza enda hata shamba kulima,ni bora hata hizi station zenu za kati kubwa kubwa mngeziweka karibu na makazi ya watu at least mngezisapoti na shughuli nyingine ndogo ndogo za kiuchumi,njooni mjifunze kwetu like Dar es Salaam station haitakuwa tu kwa ajili ya kuhudumia train peke yake kuna mavitu kibao na iko mjini kbs probably lazima pakuche tu pabang noma sana the iconic!!!! bado nakwambia sisi hatujengi tu kurupu kurupu tunaangalia faida za kiuchumi kwny eneo husika kwa wkt huo eti full booked basi kesho itabidi mbomoe mjenge station mpya huko maporini maana zishaelemewa already!!!!!Anyway ushamba pia ni mzigo sishangai.
Duh naona unavyohangaika kupenya penya jirani angu okey ngoja nikupe somo kdg, Reli faida kubwa inapatikana kwa kubeba mizigo zaidi kuliko abiria na ndio lengo kuu katika miradi yetu hii ya SGR na ndio maana mnahaha sana hapo shida shida Mola awasaidie rail to nowhere, never mind,tuje huku kwny hilo swala la kuwa full booked ni gimmicks tu, unaweza ukakuta abiria wengi wanaojaza hiyo treni ni abiria wa Nairobi -Mombasa, though faida ni ndogo sana upande wa abiria,katikati huko station master anapewa seat 30 tu, kwa nini isiwe full booked, 30 seats?!! Station za katikati huwa zinaoparate ndani ya muda mchache sana baada ya hapo huwa tupu kbs manager anaweza enda hata shamba kulima,ni bora hata hizi station zenu za kati kubwa kubwa mngeziweka karibu na makazi ya watu at least mngezisapoti na shughuli nyingine ndogo ndogo za kiuchumi,njooni mjifunze kwetu like Dar es Salaam station haitakuwa tu kwa ajili ya kuhudumia train peke yake kuna mavitu kibao na iko mjini kbs probably lazima pakuche tu pabang noma sana the iconic!!!! bado nakwambia sisi hatujengi tu kurupu kurupu tunaangalia faida za kiuchumi kwny eneo husika kwa wkt huo eti full booked basi kesho itabidi mbomoe mjenge station mpya huko maporini maana zishaelemewa already!!!!!Anyway ushamba pia ni mzigo sishangai.
Its long since I read a comment on JF and felt satisfied. Thanks.Watanzania kwa ushabiki hamna mpinzani.... Wapi imeandikwa au imesemekana kwamba mtajenga stesheni upya huko mbeleni na zitakua kubwa na nzuri zaidi?
Alafu, hata kama mtakuja kujenga stesheni kubwa huko mbeleni.....Unaelewa hio itakua ni gharama mara mbili? Zile stesheni mlizojenga kwa sasa hazijawekewa mitikadi yeyote for "future expansion" yani itabidi mbomoe stesheni, muondoe msingi wa stesheni kisha muanze upya kujenga tena.... hebu sasa niambie stupid ni nani kati ya sisi tulio na 'future proof' project yetu hata abiria waongezeke hakuna haja ya kubomoa stesheni.
alafu BTW, hizo stesheni zetu hujaa abiria kupindikia kwahivyo unkula huu manake zinatumika ipaswavyo , ya nini nikupigie story, wacha nikuonyeshe na mifano.....
Ukijaribu ku book SGR kutoka stesheni kadhaa hizo ambazomnasema "ziko porini " Kumbuka hio Train inayo simama kila stesheni ina uwezo wa kubeba abiria 1,200
SGR kutoka Voi hadi Nairobi Saturday November 2019 -- Fully booked!!
View attachment 1256717
Kutoka Emali hadi Nairobi Kesho, First class imejaa, Economy imebaki 25 seats ikue ffully booked
View attachment 1256727
Kutoka Mtito hadi emali kesho, 1st class bado watu watatu, Economy bado mtu mmoja ijae
View attachment 1256737
Kutoka Mariakani hadi Voi kesho, Fully booked!
View attachment 1256738
Kutoka Kibwezi hadi Maisenyi kesho kutwa - Saturday --- bado seat mbili pekee, Mwanzo hio ya maiseny ndo iko msituni kabisaa!
View attachment 1256739
![]()
-----------------------------------------------------
Kwahivyo msikue watu wa kupiga domodomo tu kana kwamba nyinyi pekee ndo mna uwezo wa kufikiria..... Tulipiga hesabu zetu , na tulipojenga hizo stesheni tulikua na sababu zake..... Lakini watanzania wakiona stesheni hizo wanaanza kuziingilia kwasababu zenu ni ndogo ndogo eti hamnaga show off za kijinga kijinga... Je mtasema nini mkianzisha reli yenu mwaka ujao alafu mwaka mmoja baadae mgundue vi stesheni vidogo havitoshi kitu hadi watu wanasongamana nje ya stesheni wakingojea treni??? Si mambo yatakua yamegeuka sasa ni sisi wakenya ndo tunawaambia mna ya kujifunza kutoka kwetu!!!??? Manake itakua mnahitaji upanuzi wa stesheni mwaka mmoja tu baada ya kuzindua reli! Ndio maana nimewaambia mara nyingi hapa JF, subirini reli yenu ianze kufanya kazi kabla muanze kukashifu reli za wenzenu ambazo tayari ziko kazini.!
Kwa upande wa abiria SGR Kenya imesha faulu, Stesheni ni kubwa lakini zinatumika vilivyo hapo hakuna shida. Shida ilioko ni kwa upanze wa mizigo ambako changamoto tele lakini kila siku tunajaribu kupiga hatua na kusonga mbele.... Kwasasa tuko 3 million tonnes, lakini kulingana na feasibility study tunafaa tufikishe 10-11 million tonnes by 2023-2024... kwahivyo kibarua kiko.... Ukilinganisha na huko kwenu ambako hakuna mwananchi wa kawaida anajua projections zozote za mnafaa kubeba mizigo mingapi mwaka wa kwanza au wa pili au miaka kumi kutoka sasa, kila siku mnapigiwa hadithi za vile "esgiara itapunguza gharama ya uchukuzi na kuboresha usafiri" lakini hakuna mtu anatoa takwimu zozote!!!
Bado unahangaika,We unakaa hata hauelewe una sema nini...... Kuna treni moja ambayo ni express-train inasafiri kutoka Nrb-Mombasa pekeyake. Hii train sijaiongelea hapo.
Kuna train service nyengine inayo simama kwa kila stesheni inayoitwa inter-county train, hii train ndo nimekuonyesha hapo juu... Hakuna abiria anaye safiri kutoka Mombasa kwenda Nairobi anayeendanda hii treni unless anataka ashinde siku ndima akisafiri!!! hiini treni ya wanaosafiri kutoka kituo kimoja hadi chengine kati ya Nairobi na Mombasa, ndo maana hapo mwisho wa hizo screenshot nimekuwekea map inayoonyesha location ya hizo station ndo usichanganyikiwe
![]()
Hapo juu uliona nimekuwekea safari za kutoka stesheni hadi stesheni ikiwemo na umeona kuna zengine ni fully booked na zengine bado zina nafasi kidogo imebaki...... What this means is, (Angalia kwa map ndo uelewe) Train ikiwa fully booked na wateja wa Mombasa wanaoenda Voi, hii inamaanisha wateja wa Mairakani watapata train imejaa wakijaribu ku book from Mariakani, Lakini kwa vile system inajua kwamba kuna wateja 100 watashuka Voi, hio inamaanisha wateja wa Kuanzia Voi kwenda mbele wakijaribu ku book wataona kwamba kuna safasi 100 ziko empty.. Ndo maana hapo juu nilikuonyesha screenshopt za kutoka stesheni tofauti..... Sasa sijui unamaanisha nini ukisema ni gimmics kama treni mbili (moja express na nyengine inaenda ikisimama) zinapiga safari nne kwa siku na zote hua zimejaa!!!
Pambaneni na hilo la cargo maana huko ndo kwny faida kubwa,hakuna sababu ya kuvunja hizo station buda kama muda ukifika na kuona maeneo hayo husika yanahitaji stesheni kubwa kwa wkt huo,ni kuzibadilishia matumizi tu, zinaweza pia kuwa offices tu kwa ajili ya kusupport operations,huko katikati kuna plenty of land buda na uzuri wa huku kwetu ardhi ni mali ya serikali,hivi umeshapita kwny youtube au kusafiri?!,angalia station za wenzetu za katikati kwny miji midogo hawana mbwembwe kabisa na bado nyingine ziko krb na makazi ya watu kwny baadhi ya nchi structure zao unakuta ni steel na poles plus platform game over mfano mdogo tu angalia gautrain,hapo S.A pamoja na kuhodhi world cup, we unafikiri kwa population yao na volume ya uchumi wao hawakuwa na uwezo wa kujenga structures kubwa, simply waliangalia economic viability, abiria wanakaa labda maximum masaa mawili tu kwa siku tena abiria wenyewe wa kuhesabu baada ya hapo ni patupu kbs, cost ya ujenzi, maintainance mlima, ni wastage of resources tu maana msipofanya hivyo yataozea huko, kibaya zaidi ni pesa ya mkopo tena ni mkopo wenye masharti magumu kweli kweli,sifa za kijinga,mtapambana na hali yenu.I'm done.Endeleeni kutiana ujinga.We unakaa hata hauelewe una sema nini...... Kuna treni moja ambayo ni express-train inasafiri kutoka Nrb-Mombasa pekeyake. Hii train sijaiongelea hapo.
Kuna train service nyengine inayo simama kwa kila stesheni inayoitwa inter-county train, hii train ndo nimekuonyesha hapo juu... Hakuna abiria anaye safiri kutoka Mombasa kwenda Nairobi anayeendanda hii treni unless anataka ashinde siku ndima akisafiri!!! hiini treni ya wanaosafiri kutoka kituo kimoja hadi chengine kati ya Nairobi na Mombasa, ndo maana hapo mwisho wa hizo screenshot nimekuwekea map inayoonyesha location ya hizo station ndo usichanganyikiwe
![]()
Hapo juu uliona nimekuwekea safari za kutoka stesheni hadi stesheni ikiwemo na umeona kuna zengine ni fully booked na zengine bado zina nafasi kidogo imebaki...... What this means is, (Angalia kwa map ndo uelewe) Train ikiwa fully booked na wateja wa Mombasa wanaoenda Voi, hii inamaanisha wateja wa Mairakani watapata train imejaa wakijaribu ku book from Mariakani, Lakini kwa vile system inajua kwamba kuna wateja 100 watashuka Voi, hio inamaanisha wateja wa Kuanzia Voi kwenda mbele wakijaribu ku book wataona kwamba kuna safasi 100 ziko empty.. Ndo maana hapo juu nilikuonyesha screenshopt za kutoka stesheni tofauti..... Sasa sijui unamaanisha nini ukisema ni gimmics kama treni mbili (moja express na nyengine inaenda ikisimama) zinapiga safari nne kwa siku na zote hua zimejaa!!!
Za tazara mlijenga ngapi, ama bado mnatumia zile zile za kitamboBado unahangaika,
Pambaneni na hilo la cargo maana huko ndo kwny faida kubwa,hakuna sababu ya kuvunja hizo station buda kama muda ukifika na kuona maeneo hayo husika yanahitaji stesheni kubwa kwa wkt huo,ni kuzibadilishia matumizi tu, zinaweza pia kuwa offices tu kwa ajili ya kusupport operations,huko katikati kuna plenty of land buda na uzuri wa huku kwetu ardhi ni mali ya serikali,hivi umeshapita kwny youtube au kusafiri?!,angalia station za wenzetu za katikati kwny miji midogo hawana mbwembwe kabisa na bado nyingine ziko krb na makazi ya watu kwny baadhi ya nchi structure zao unakuta ni steel na poles plus platform game over mfano mdogo tu angalia gautrain,hapo S.A pamoja na kuhodhi world cup, we unafikiri kwa population yao na volume ya uchumi wao hawakuwa na uwezo wa kujenga structures kubwa, simply waliangalia economic viability, abiria wanakaa labda maximum masaa mawili tu kwa siku tena abiria wenyewe wa kuhesabu baada ya hapo ni patupu kbs, cost ya ujenzi, maintainance mlima, ni wastage of resources tu maana msipofanya hivyo yataozea huko, kibaya zaidi ni pesa ya mkopo tena ni mkopo wenye masharti magumu kweli kweli,sifa za kijinga,mtapambana na hali yenu.I'm done.Endeleeni kutiana ujinga.