Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Reli yenu si ni Design and Build???
Anyway, Yepi ndo wanafanya ujenzi, na kulingana na hao, gharama ya Ujenzi ilikua hai include nyaya za usambazaji stima.... Kulingana na hao Tanesco ndo watafanya hayo....
 
Design and build ndiyo lakini mkandarasi mkuu anaweza kuwapa baadhi ya kazi kampuni nyingine. Angalia hapo kwenye link utaona kuwa mteja wa COWI ni Yapi Merkezi na siyo GoT.

Design and build ndiyo lakini mkandarasi mkuu anaweza kuwapa baadhi ya kazi kampuni nyingine. Angalia hapo kwenye link utaona kuwa mteja wa COWI ni Yapi Merkezi na siyo GoT.

View attachment 1264441
Kwahivyo ni Yepi ndo ilipewa kazi ya Design and Build lakini wakaamua ku sub-contact hio kazi kwa COWI ..... But haijalishi, hio haikuwa the main issue.
 
Kwahivyo ni Yepi ndo ilipewa kazi ya Design and Build lakini wakaamua ku sub-contact hio kazi kwa COWI ..... But haijalishi, hio haikuwa the main issue.
Wacha upumbavu procurement laws za nchi zisizo corrupt huzingatia hayo. Zinapotangaza tender huwa ni matakwa kwa yeyote anayewania tender a winning bidder kuwa na project designer n constructor. Unashangaa kwa vile Kenya utaratibu huo haupo!
 
Now I understand the reason for not meeting the deadline. I can see some bridge/culvert construction sites invaded with water. It's glad to see the whole thing taking shape. The stations, I salute the designer.
 
Wanaweza kuwa Sawa kuja ufadhili ulijitokeza kwa ajili ya phase 2 ambayo ni moro-makutupora, nakumbuka hata magufuli aliwahi kusema kuna wafadhili wameanza kuja ila hatutawasubiri tutaendelea kwa fedha zetu wakitoa tunahamishia phase zinazofuata.
Inaweza kuwa ni pesa ya phase 2 ila kwa sababu imekuja late itahamishiwa phases.

MAONI YANGU.
Ikipatikana pesa ya phase 3 makutupora-tabora nahisi serikali itafund phase 4 tbr-isaka
Then Afdb wanaweza release fund ya isaka mpaka mpakani mwa Rwanda.
 
Ni kweli aisee. Pesa ya phase II yawezekana haijakamilika au serikali yaweza switch resources pale itakapopata external financing. Hiyo phase tayari ina mkopo wa $85m toka AfDB.
 
Wacha upumbavu procurement laws za nchi zisizo corrupt huzingatia hayo. Zinapotangaza tender huwa ni matakwa kwa yeyote anayewania tender a winning bidder kuwa na project designer n constructor. Unashangaa kwa vile Kenya utaratibu huo haupo!
Mbona unaweweseka na non-issues??? Who cares! that was not the point! Alafu unajifanya hapa na Acacia iliwaibia $190B na hizo procurement laws zenu!!!!!,
Kwa corruption Kenya iko na 27/100, Tanzania iko na 36/100... basically if this was a test we would have the same grade! Inchi zisizo corrupt my foot!!!
 
Makonda says at Pugu there will be another bigger station built
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…