BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Ulitaka nani ajenge?Pia ICD ya Naivasha anajenga Mchina mbona jirani mtakua mmeolewa bila mahari😁😁😁
Iyo yote ilikuwa kwa contract ya Nairobi Naivasha lane....
Huku hatujengi vitu kimtumbatumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka nani ajenge?Pia ICD ya Naivasha anajenga Mchina mbona jirani mtakua mmeolewa bila mahari😁😁😁
Then smaller than Mbagala BRT terminalI almost believed you until you posted the renders, Its actually very small looking at the renders.... The only big thing is the open parking space..... Kama unabisha nipatie ukubwa wa hayo majengo in terms of Meters square
matokeochanya.co.tz
Unyang'au na ufisadingeli ni ile ile ....... Tu-Ta.
hivi ukitoa kichwa mkunduni mwa ccm na jpm, ni kipi ulichoandika hapo hakipatikani Kenya tena kwa ubora kuliko tanzagiza?
kabisa upo sawa mkuuUjue kuna kitu hauitaji kutumia akili nyingi kuelewa...Tanzania inaelekea kuwa Transport hub of East Africa.
Why??
1: Tanzania inafufua meli za usafirishaji kwa fujo sana katika maziwa yake yote na juzi hapa Raisi kupitia waziri kaomba Meli nyngne mpya itengenezwe iwe inafnya kazi baharini kwa nchi za comoro
2: Reli za kisasa yaan SGR inajengwa kwa kasi mno na ile ya zamani imeboreshwa na kufufuliwa sehemu nyingine.
3. Kwenye ndege ni balaa..zinanunuliwa kwa mpigo..safari ya kwenda mumbai abiria ni wengi hadi wanaongeza route
Tanzania inaenda kuwa Transport Hub of East Africa...hii inaenda kutokea very soon
sawa basi, kwa list angeongeza na wivu na ushirikina pia.Unyang'au na ufisadi
Yani hawa jamaa hawaelewi. The impact of this is more than they can ever imagine.Ujue kuna kitu hauitaji kutumia akili nyingi kuelewa...Tanzania inaelekea kuwa Transport hub of East Africa.
Why??
1: Tanzania inafufua meli za usafirishaji kwa fujo sana katika maziwa yake yote na juzi hapa Raisi kupitia waziri kaomba Meli nyngne mpya itengenezwe iwe inafnya kazi baharini kwa nchi za comoro
2: Reli za kisasa yaan SGR inajengwa kwa kasi mno na ile ya zamani imeboreshwa na kufufuliwa sehemu nyingine.
3. Kwenye ndege ni balaa..zinanunuliwa kwa mpigo..safari ya kwenda mumbai abiria ni wengi hadi wanaongeza route
Tanzania inaenda kuwa Transport Hub of East Africa...hii inaenda kutokea very soon
Eeeeh!!!! Kweli kwa zile pesa lazima mngepata tu vitu kama hivi!!!
More practical n futuristic design! An assurance of returns from investment! vp Suswa terminus imeanza kutumika ama wanakaa popo?Eeeeh!!!! Kweli kwa zile pesa lazima mngepata tu vitu kama hivi!!!
Hehehe looks like a toilet.
You have been played here, even the Dar station can`t come close to Voi station.
What the use of palaces as train stations n yet the train is mtambo wa chang'aa n moving at 110km/h passengers n 80km/h cargo? SGR Tanzania got an infrastructure for 120km/h cargo n 160km/h passenger electrical bullet trains at half Kenya SGR! Ask Rwanda, Burundi n DRC to tell u what they prefer!You have been played here, even the Dar station can`t come close to Voi station.