THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Mchina ana mbinu za kupiga!To be honest katika sgr ya Kenya navutiwa na station moja tu ambayo ni Mariakani
View attachment 1290492
Nyingine zote sio kiivyo, some looks like mini supermarket za huku uswahilini kwetu.I'm sorry to say that,nyingine unakuta li'kioo au liplastic limewekwa kwenye uso wa station unnecessarily limekuwa attached halina kazi yoyote lipo tu eti kumatch na theme, pia ukisoma theme na station zenyewe Hata hazimatch,magumashi tupu,sijawahi kupata connection labda Mimi tu, sijajua yale maduara yanasaidia nini kule Mombasa terminus,hovyo tu gharama zisizo za lazima.
Station zao hazina tofauti na baiskeli za watani zangu wasukuma.😂😂😂Mchina ana mbinu za kupiga!
To be honest katika sgr ya Kenya navutiwa na station moja tu ambayo ni Mariakani
View attachment 1290492
Nyingine zote sio kiivyo, some looks like mini supermarket za huku uswahilini kwetu.I'm sorry to say that,nyingine unakuta li'kioo au liplastic limewekwa kwenye uso wa station unnecessarily limekuwa attached halina kazi yoyote lipo tu eti kumatch na theme, pia ukisoma theme na station zenyewe Hata hazimatch,magumashi tupu,sijawahi kupata connection labda Mimi tu, sijajua yale maduara yanasaidia nini kule Mombasa terminus,hovyo tu gharama zisizo za lazima.
Explain to us why will this station not serve the same purpose to your fancy stations?
SGR station cladding work completed
By Simon
MY TAKE
Empty fancy Monuments achia SGR Kenya!
The towns called Soga, Ruvu, Ngerengere their populations r hardly 10,000!Our SGR is meant to be used for the next 100 years. Everything built including the stations are built to withstand this lifespan subject to regular maintainace.
Lets start with the capacity. How many people can that toilet looking station hold?
Sent using Jamii Forums mobile app
The towns called Soga, Ruvu, Ngerengere their population is hardly 50,000!
Kenya stations are not bigger, the only difference with Tz ones is finishing,Soga is barely 40km from Dar. Thats like us putting a mini station somewhere in Juja or Limuru.
Not unless you guys dont plan on expanding Dar.
Tz has a bigger population than Kenya and it will be one of the most populous countries in africa by the end of this century. You should be building bigger stations.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naivasha ICD will probably be ready by Feb 2020 looking at the construction pace...
Render of how it will look when complete
Tz stations are bigger if thats what you want to hearKenya stations are not bigger, the only difference with Tz ones is finishing,
If there are big populations in futurethe only solution is to increase the number of trains, Go to Europe and learn.
Soga is a village with less than 10000 inhabitantsSoga is barely 40km from Dar. Thats like us putting a mini station somewhere in Juja or Limuru.
Not unless you guys dont plan on expanding Dar.
Tz has a bigger population than Kenya and it will be one of the most populous countries in africa by the end of this century. You should be building bigger stations.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuesday? Noted! 👆Almost done..word around is inazinduliwa tuesday.
Tuesday? Noted! 👆
Ahahahah didn't I tell you it's Tanesco that will build and pay for the 220kv dedicated transmission line ? Wewe ukabaki ukipinga ulisema eti ABB ndo watajenga!???? Who is bringing evidence now.?..??NAIBU WAZIRI MGALU ALIRIDHISHWA NA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI SGR
- Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema ameridhishwa na ujenzi wa miundombinu ya njia ya kusafirisha umeme wa kV 220 inayoendelea kujengwa katika Reli ya kisasa kutoka jijini Dar es salaam hadi mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu( mwenye kilemba) akiangalia kazi ujenzi wa msingi wa kusimika nguzo kubwa ya umeme wa kV 220 utakaotumika katika reli ya kisasa, unayoendelea katika njia ya kusafirisha umeme.
- Mgalu alieleza hayo Desemba 7,2019 baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ujenzi wa miundombinu hiyo kuanzia Kituo cha Kinyerenzi, Pugu hadi Kisarawe jijini Dar es salaam ambapo asilimia 70 ya kazi hiyo imekamilika.
- Alitumia ziara hiyo kuwathibitishia watanzania kuwa mradi huo wa ujenzi wa njia ya umeme utakamilika kwa wakati kulinga na makubaliano ya mkataba na umeme upo mwingi na wa kutosha kuwezesha reli hiyo kufanya kazi yake wakati wote.
Mafundi wakiendela na kazi ya kumwaga zege chini ardhini ikiwa ni ujenzi wa msingi wa nguzo ya kusafirisha umeme mkubwa utakaotumika katika reli ya kisasa.
- Alifafanua kuwa ujenzi wa miundombinu ya njia ya kusafirisha umeme inatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2020 ili kutoa fursa ya kuanza majaribio ya safari kwa kutumia Treni ya umeme, kabla ya kuanza rasmi kwa safari hizo mwezi Julai, 2020.
- “Niwatoe hofu wale wote wenye mashaka na usafiri wa reli kwa kutumia umeme, umeme upo mwingi na wa kutosha nchini, kwa sasa tunazalisha zaidi ya megawati 1601, tunazotumia ni megawati 1116 tu, pia kazi ya kujenga miradi mikubwa ya kuzalisha umeme mwingi zaidi inaendelea, ukiwemo Mradi wa Julias Nyerere katika bonde la mto Rufiji, Rusumo na Kinyerezi”, alisisitiza Mgalu.
Mafundi wakendelea wakiendelea na kazi ya kusuka nondo kabla ya kumwaga zege, katika ujenzi wa msingi wa nguzo ya kubwa ya kusafirisha umeme wa kV 220, utakaotumika katika reli ya kisasa.
- Pia alikagua ghala za kuhifadhia vifaa mbalimbali vinavyotumika katika ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme lililopo Kibaha mkoani Pwani na kushuhudia uwepo wa vifaa vya kutosha kukamilisha ujenzi wa njia hiyo.
- Aidha aliwataka wasimamizi wa mradi huo kuwalipa vizuri wafanyakazi /vibarua wanaofanya kazi katika mradi huo ili na wao wafurahie na kunufaika kuwepo kwa mradi huo, vilevile aliwataka vibarua hao kufanya kazi kwa bidii, kuwa walinzi wa vifaa hivyo na miundombinu na kuweka mbele maslahi ya taifa.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme mkubwa utakaotumika katika reli ya kisasa baada ya kutembelea na kukagua ghala la kuhifadhia vifaa hivyo lililopo Kibaha, mkoani Pwani.
- Aidha alilipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kazi nzuri ya kusimamia utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya njia ya kusafirisha umeme mkubwa katika reli ya kisasa, na kuwataka kuongeza kasi zaidi ya ujenzi huo ili ikiwezekana ujenzi huo ukamilike kabla ya muda waliopewa.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi/ vibarua katika ghala la kuhifadhi vifaa vya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme mkubwa utakaotumika katika reli ya kisasa, lililopo Kibaha, mkaoani Pwani.
- Kwa upande msimamizi wa mradi huo kutoka Tanesco, Mhandisi Deogratius Msaki alisema kuwa kazi hiyo inaendelea vizuri licha ya changamoto ya kigiografia ya ardhi katika baadhi ya maeneo na hali ya hewa ya mvua.
- Aliweka wazi kuwa mpaka sasa tayari wamesimamisha nguzo zaidi 120 kati ya 456 zitakazotumika kutoka Dar es salaam hadi Morogoro, pia kazi ya kuweka vikombe na kuanza kuvuta nyaya imekwisha anza katika maeneo ambayo tayari usimikwaji wa nguzo umekamilika huku kazi hiyo ikiendelea, matarajio yao ni kuukabidhi mradi huo Tar 28 Februari 2020.
NAIBU WAZIRI MGALU ALIRIDHISHWA NA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI SGR - Matokeo ChanyA+
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema ameridhishwa na ujenzi wa miundombinu ya njia ya kusafmatokeochanya.co.tz
SGR TL is 70% n counting n by Tanesco..
CC: Self denial Kafrican n Edward Wanjala
[emoji23][emoji23][emoji23] kamaliseAhahahah didn't I tell you it's Tanesco that will build and pay for the 220kv dedicated transmission line ? Wewe ukabaki ukipinga ulisema eti ABB ndo watajenga!???? Who is bringing evidence now.?..??
Do you need me to bring that post again so you may remind yourself because you seem to be suffering from memory loss.....
Hebu ambia hao Tanesco watuambie cost ya hio 220kv TL ni pesa ngapi manake cost kamili ya SGR TZ ni pia uongezee hesabu ya treni na mabehewa ambayo, Tanesco TL ujumlishe na uoengeze juu ya pesa za ujenzi wa reli.
The cost of Dar-Moro electrical SGR is $1.2bln including TL!Ahahahah didn't I tell you it's Tanesco that will build and pay for the 220kv dedicated transmission line ? Wewe ukabaki ukipinga ulisema eti ABB ndo watajenga!???? Who is bringing evidence now.?..??
Do you need me to bring that post again so you may remind yourself because you seem to be suffering from memory loss.....
Hebu ambia hao Tanesco watuambie cost ya hio 220kv TL ni pesa ngapi manake cost kamili ya SGR TZ ni pia uongezee hesabu ya treni na mabehewa ambayo, Tanesco TL ujumlishe na uoengeze juu ya pesa za ujenzi wa reli.