Angalia kuanzia dakika ya 23:50 mpaka dakika ya 24 hapo ofisini kwa Kadogoda kuna scaled-down model ya bullet train, hio ni hint tu kwa vijavyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
SGR station Dodoma city
Mimi naamini vipande vya Isaka-Mwanza na hata kufika kagera tutajenga wenyewe. Mradi wa SGR kwetu ni zaidi ya ujenzi wa reli, ujuzi tunaoupata utatosha kujenga wenyewe vipande vya baadae.Hapana ile ni ndefu sana km 700 hawawezi kuzimudu, hio ni zaidi ya mara 3 ya distance ya Malabo to Kampala ambayo ndio inawasumbua kupata finance miaka yote hii.
Kwasasa hawana ujanja wa SGR bila kupita ziwani Port Bell to Mwanza, mpaka siku watakapopata hela ya mafuta ndio wajikamue kujenga either through Isaka au Malabo.
Kwani Tuna mkataba wa kushare Technology na waturuki ?Mimi naamini vipande vya Isaka-Mwanza na hata kufika kagera tutajenga wenyewe. Mradi wa SGR kwetu ni zaidi ya ujenzi wa reli, ujuzi tunaoupata utatosha kujenga wenyewe vipande vya baadae.
Magu amefungua karakana ya mitambo ya vifaa vya jeshi, hii pia ni kujiandaa na sehemu ya ukarabati wa mitambo ya reli, pale tutakapo nunua mitambo yetu wenyewe ya kujengea reli. Hivyo Uganda (baadae) tunaweza kuwajengea reli kutoka kampala mpaka Kagera kama tulivyowajengea reli ya Port Bell. Ila kwa sasa, kama unavyosema, tutatumia meli.
Tuna mkataba wa technology transfer.Kwani Tuna mkataba wa kushare Technology na waturuki ?
Karakana ya Lugalo si ya reli ni ya magari na ni msaada wa wajerumani! Bado hatuna capacity ya kusimamia miradi mikubwa namna hii! Ujenzi wa Barabara tu tena za chini ya 50 km unasumbua! Usijidanganye kwa hili, labda baada ya phase ya Morogoro-Makutupora kuisha tena baada ya kununua vifaa vya kutosha! Na-suggest Mtwara-Mbamba bay Kampuni ya kizawa ndo ijaribiwe! Huu mradi wa SGR Mwanza na SGR Kigali uendelee kujifunza!Mimi naamini vipande vya Isaka-Mwanza na hata kufika kagera tutajenga wenyewe. Mradi wa SGR kwetu ni zaidi ya ujenzi wa reli, ujuzi tunaoupata utatosha kujenga wenyewe vipande vya baadae.
Magu amefungua karakana ya mitambo ya vifaa vya jeshi, hii pia ni kujiandaa na sehemu ya ukarabati wa mitambo ya reli, pale tutakapo nunua mitambo yetu wenyewe ya kujengea reli. Hivyo Uganda (baadae) tunaweza kuwajengea reli kutoka kampala mpaka Kagera kama tulivyowajengea reli ya Port Bell. Ila kwa sasa, kama unavyosema, tutatumia meli.
Sikufahamu kuwa ni msaada.Karakana ya Lugalo si ya reli ni ya magari na ni msaada wa wajerumani!
Ndicho nilichokisema, tutaweza kujenga wenyewe kuanzia Isaka-Mwanza (baada ya kupata uzoefu na kununa vifaa).Usijidanganye kwa hili, labda baada ya phase ya Morogoro-Makutupora kuisha tena baada ya kununua vifaa vya kutosha!
Nina wasiwasi maana kuna umuhimu wa reli kumalizika kwa wakati! Huwezi kuweka mtu mwenye experience ya miaka miwili umpe mradi wa say $1.5 bln SGR halafu utegemee akamilishe kwa wakati! Utakuwa unamuonea! Tunahitaji subira at least 5 years of experience! Kama wewe ni Engineer utanielewa kwa hili! Huu mradi unahitaji ujuzi, mobilization na staying on schedule ya hali ya juu! Yapi Merkezi ni kampuni ya zaidi ya miaka 50 kwenye ujenzi wa madaraja, tunnel na highways wakati kampuni ya reli toka mwaka 1995 na still wameshindwa kumaliza SGR Dar-Morogoro on time!Sikufahamu kuwa ni msaada.
Ndicho nilichokisema, tutaweza kujenga wenyewe kuanzia Isaka-Mwanza (baada ya kupata uzoefu na kununa vifaa).
Ndicho nilichokisema, tutaweza kujenga wenyewe kuanzia Isaka-Mwanza (baada ya kupata uzoefu na kununa vifaa).
Nakuelewa sana.Nina wasiwasi maana kuna umuhimu wa reli kumalizika kwa wakati! Huwezi kuweka mtu mwenye experience ya miaka miwili umpe mradi wa say $1.5 bln SGR halafu utegemee akamilishe kwa wakati! Utakuwa unamuonea! Tunahitaji subira at least 5 years of experience! Kama wewe ni Engineer utanielewa kwa hili! Huu mradi unahitaji ujuzi, mobilization na staying on schedule ya hali ya juu! Yapi Merkezi ni kampuni ya zaidi ya miaka 50 kwenye ujenzi wa madaraja, tunnel na highways wakati kampuni ya reli toka mwaka 1995 na still wameshindwa kumaliza SGR Dar-Morogoro on time!
Kumbe JIWE ana upeo mpana namna hiiTuna mkataba wa technology transfer.
sijui ila utakuwa out of ur mind kufananisha MGR na electrical SGR!Nakuelewa sana.
Hivi vile vipande vya reli ya kati vilivyoongezewa Singida-Manyoni na kule Mpanda ni nani alivijenga?
Hatuna mkataba Bali tunazo akili ,mashine zote zinajulikana zipo madukani tutanunua na kujenga wenyewe pia tunaweza kufanya kama sekta ya afya tuna ajiri wazungu wenye ujuzi tunafanyanao kaziKwani Tuna mkataba wa kushare Technology na waturuki ?
Yena vifaa ni bei chee tu sema waafrika akili hatunaSikufahamu kuwa ni msaada.
Ndicho nilichokisema, tutaweza kujenga wenyewe kuanzia Isaka-Mwanza (baada ya kupata uzoefu na kununa vifaa).
Hata mimi naona hivyo, kwakuwa wahandisi wa kusanifu na kujenga tuta la reli tunao, tena ujenzi ndiyo fani kongwe na iliyofanikiwa zaidi kuliko fani zote za uhandisi Tanzania.Yena vifaa ni bei chee tu sema waafrika akili hatuna
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app