Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Angalia kuanzia dakika ya 23:50 mpaka dakika ya 24 hapo ofisini kwa Kadogoda kuna scaled-down model ya bullet train, hio ni hint tu kwa vijavyo..

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_6697.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapana ile ni ndefu sana km 700 hawawezi kuzimudu, hio ni zaidi ya mara 3 ya distance ya Malabo to Kampala ambayo ndio inawasumbua kupata finance miaka yote hii.

Kwasasa hawana ujanja wa SGR bila kupita ziwani Port Bell to Mwanza, mpaka siku watakapopata hela ya mafuta ndio wajikamue kujenga either through Isaka au Malabo.
Mimi naamini vipande vya Isaka-Mwanza na hata kufika kagera tutajenga wenyewe. Mradi wa SGR kwetu ni zaidi ya ujenzi wa reli, ujuzi tunaoupata utatosha kujenga wenyewe vipande vya baadae.

Magu amefungua karakana ya mitambo ya vifaa vya jeshi, hii pia ni kujiandaa na sehemu ya ukarabati wa mitambo ya reli, pale tutakapo nunua mitambo yetu wenyewe ya kujengea reli. Hivyo Uganda (baadae) tunaweza kuwajengea reli kutoka kampala mpaka Kagera kama tulivyowajengea reli ya Port Bell. Ila kwa sasa, kama unavyosema, tutatumia meli.
 
Kwani Tuna mkataba wa kushare Technology na waturuki ?
 
Karakana ya Lugalo si ya reli ni ya magari na ni msaada wa wajerumani! Bado hatuna capacity ya kusimamia miradi mikubwa namna hii! Ujenzi wa Barabara tu tena za chini ya 50 km unasumbua! Usijidanganye kwa hili, labda baada ya phase ya Morogoro-Makutupora kuisha tena baada ya kununua vifaa vya kutosha! Na-suggest Mtwara-Mbamba bay Kampuni ya kizawa ndo ijaribiwe! Huu mradi wa SGR Mwanza na SGR Kigali uendelee kujifunza!
 
Sikufahamu kuwa ni msaada.

Ndicho nilichokisema, tutaweza kujenga wenyewe kuanzia Isaka-Mwanza (baada ya kupata uzoefu na kununa vifaa).
Nina wasiwasi maana kuna umuhimu wa reli kumalizika kwa wakati! Huwezi kuweka mtu mwenye experience ya miaka miwili umpe mradi wa say $1.5 bln SGR halafu utegemee akamilishe kwa wakati! Utakuwa unamuonea! Tunahitaji subira at least 5 years of experience! Kama wewe ni Engineer utanielewa kwa hili! Huu mradi unahitaji ujuzi, mobilization na staying on schedule ya hali ya juu! Yapi Merkezi ni kampuni ya zaidi ya miaka 50 kwenye ujenzi wa madaraja, tunnel na highways wakati kampuni ya reli toka mwaka 1995 na still wameshindwa kumaliza SGR Dar-Morogoro on time!
 
Hata mi nadhani sisi tuendelee kupata experience ktk mradi huu halafu baadaye tujenge wenyewe ile ya Mtwara - Mbamba bay huko baadaye...
 
Nina wasiwasi maana kuna umuhimu wa reli kumalizika kwa wakati! Huwezi kuweka mtu mwenye experience ya miaka miwili umpe mradi wa say $1.5 bln SGR halafu utegemee akamilishe kwa wakati! Utakuwa unamuonea! Tunahitaji subira at least 5 years of experience! Kama wewe ni Engineer utanielewa kwa hili! Huu mradi unahitaji ujuzi, mobilization na staying on schedule ya hali ya juu! Yapi Merkezi ni kampuni ya zaidi ya miaka 50 kwenye ujenzi wa madaraja, tunnel na highways wakati kampuni ya reli toka mwaka 1995 na still wameshindwa kumaliza SGR Dar-Morogoro on time!
Nakuelewa sana.
Hivi vile vipande vya reli ya kati vilivyoongezewa Singida-Manyoni na kule Mpanda ni nani alivijenga?
 
sijui ila utakuwa out of ur mind kufananisha MGR na electrical SGR!
 
Kwani Tuna mkataba wa kushare Technology na waturuki ?
Hatuna mkataba Bali tunazo akili ,mashine zote zinajulikana zipo madukani tutanunua na kujenga wenyewe pia tunaweza kufanya kama sekta ya afya tuna ajiri wazungu wenye ujuzi tunafanyanao kazi

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Yena vifaa ni bei chee tu sema waafrika akili hatuna

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hata mimi naona hivyo, kwakuwa wahandisi wa kusanifu na kujenga tuta la reli tunao, tena ujenzi ndiyo fani kongwe na iliyofanikiwa zaidi kuliko fani zote za uhandisi Tanzania.

Uhandisi wa umeme ndiyo fani ya pili iliyoiva Tanzania, haya mambo ya signaling nayo yapo hapo hapo kwenye umeme (mdogo).

Hivi vitu vinataka uongozi wa kujiamini tuu, wahandisi wetu wakiaminishwa na kusimamiwa vizuri tutashangaa watakavyo fanya. Mbona mtanzania akiwa nje anafanya makubwa? Hata kwenye utabibu tunafanya vizuri, ni kwasababu ya uongozi thabiti uliopo sasa.

Ila kwakuwa tunaharakisha kushika soko la DRC siyo mbaya kuwapa wenye uzoefu zaidi kupiga vipande vya mwanzo ila pale tutakapojenga SGR ya kusini na kaskazini na mitandao ya kati, tunaweza kabisa kutumia watu wetu.

Sisi tunaweza - Magu
 
Back
Top Bottom