babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wewe zaidi ya wivu wa kijinga ushawahi type nini kenye akili.Duh! yani debate Kati ya watanzania nikama watoto wa chekechea. Kila mtu anatype kenye akili inamwambia ata uwe upuzi namna gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
SGR ya Tanzania imejengwa bila ya Utafiti wa Sawa sawa.
Hakukua na Majibu ya Masuali Magumu ..kwa nini tunajenga Reli Mpya Ya kisasa.
Imejengwa ili kupata sifa tu. Za kisiasa. Na haikuzingatia Master plans ambazo zilitengenezwa kistadi.
Kutokana na kukurupuka na ukosefu wa maarifa leo
SGR main station ni kituko
Sub Station zote sio tena master of art stations
Umaliziaji wake uko very sub standard.
Na Kubwa kuliko yote Reli jii Haina Faida kwa Bandari ya Dar es salaam... ni reli inayo ishia Stesheni kwa Dar es salaam. Hivo lengo kuu la master plan kujenga reli ili kuongeza ufanisi bandari ya Dar es salaam haupo.
Sasa inakarabatiwa reli ya zamani kutoka kibaha hadi bandarini . Hapa kibaha Jkt wanajenga Dry port ambayo mizigo ya transit ita hifadhiwa hapo na kupakiwa na SGR. Hivo gharama za kutoa mizigo itaongezeka mara mbili.
NI UPOTEVU Mkubwa kwenye SGR ambayo lilo baki ni propaganda tu.
Reli hii itakua muhimu zaidi kwa abiria kuliko Harakati za uchumi na nchi jirani.
Wasicho jua Raanda , Uganda ni kuwaturn round ya kutoa mizigo itakua kubwa zaidi kutoka Bandari - Reli ya zamani- dry dock- SGR
Sent from my iPad using JamiiForums
Hata mimi naona hivyo, kwakuwa wahandisi wa kusanifu na kujenga tuta la reli tunao, tena ujenzi ndiyo fani kongwe na iliyofanikiwa zaidi kuliko fani zote za uhandisi Tanzania.
Uhandisi wa umeme ndiyo fani ya pili iliyoiva Tanzania, haya mambo ya signaling nayo yapo hapo hapo kwenye umeme (mdogo).
Sisi tunaweza - Magu
Jeezus on a muleπ
Hebu rudia tena kusoma ulichoandika ndugu, husomeki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa nini ? Kuwa SGR haitofika bandarini ? Ni kweli haifiki
Sent from my iPad using JamiiForums
watu kama nyie sijue muelezwe vp pitia TRC Reli TV utaona kwamba unaloongea ni kukurupuka! Jaribu kutokuwa mropokaji kama hujui kwa kina kinachofanywa! Kingine uandishi wako unaonyesha level ya elimu na upeo wako!Hujaelewa nini ? Kuwa SGR haitofika bandarini ? Ni kweli haifiki
Sent from my iPad using JamiiForums
Wewe baradhuli. Wivu ni wewe na kizazi chako. Learn to ask your government the hard questions sio ushabiki tu kwenye social mediaWewe zaidi ya wivu wa kijinga ushawahi type nini kenye akili.
unajiabisha test train imeandikwa Yapi Merkezi yet unashinda ukilazimisha ati ndo electrical bullet train wakati inaonekana treni ni diesel engine!
Baradhuli mwenyewe burukenge, stress zako unamletea nani huku,Wewe baradhuli. Wivu ni wewe na kizazi chako. Learn to ask your government the hard questions sio ushabiki tu kwenye social media
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kutumia kichwa kama dispenser ya mate tu. Hii ndio kukurupuka nasema bongolala mko nayo. Gok Kuingizwa mkenge vipi wakati train inatengeneza pesa?. Yenu mbona haijaisha November?Baradhuli mwenyewe burukenge, stress zako unamletea nani huku,
Ingependeza ungeanza kuuliza your corrupt gok hizo hard questions Kwanini wameingizwa mkenge na chinese.
Yes na ikaderail kuonesha jinsi reli yenu ni mbovu [emoji23][emoji23]unajiabisha test train imeandikwa Yapi Merkezi yet unashinda ukilazimisha ati ndo electrical bullet train wakati inaonekana treni ni diesel engine!
Anayetumia kichwa kama dispenser ya mate ni wewe unayelazimisha treni ya mkandarasi kuwa ni ni za GOT.Wacha kutumia kichwa kama dispenser ya mate tu. Hii ndio kukurupuka nasema bongolala mko nayo. Gok Kuingizwa mkenge vipi wakati train inatengeneza pesa?. Yenu mbona haijaisha November?
Ferrying cargo on SGR earns Sh7.54bn
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah desperation!Yes na ikaderail kuonesha jinsi reli yenu ni mbovu [emoji23][emoji23]View attachment 1388941
Sent using Jamii Forums mobile app
mawazo yako ,usione vitu vinatetengenezwa ukafikiri Watu hawakuumiza vichwa, tuliyajua yote hayo tukafanya utafiti ktk Sgr za Kenya, Ethiopia, Morocco, Nigeria kote tumefika Kuona changamoto na wapi wamekosea cc tusirudie makosa, kama mumekula mkavu hayo yenu.nasikia baada ya wachina kufika SUSWA nao WAKASUSA ππSGR ya Tanzania imejengwa bila ya Utafiti wa Sawa sawa.
Hakukua na Majibu ya Masuali Magumu ..kwa nini tunajenga Reli Mpya Ya kisasa.
Imejengwa ili kupata sifa tu. Za kisiasa. Na haikuzingatia Master plans ambazo zilitengenezwa kistadi.
Kutokana na kukurupuka na ukosefu wa maarifa leo
SGR main station ni kituko
Sub Station zote sio tena master of art stations
Umaliziaji wake uko very sub standard.
Na Kubwa kuliko yote Reli jii Haina Faida kwa Bandari ya Dar es salaam... ni reli inayo ishia Stesheni kwa Dar es salaam. Hivo lengo kuu la master plan kujenga reli ili kuongeza ufanisi bandari ya Dar es salaam haupo.
Sasa inakarabatiwa reli ya zamani kutoka kibaha hadi bandarini . Hapa kibaha Jkt wanajenga Dry port ambayo mizigo ya transit ita hifadhiwa hapo na kupakiwa na SGR. Hivo gharama za kutoa mizigo itaongezeka mara mbili.
NI UPOTEVU Mkubwa kwenye SGR ambayo lilo baki ni propaganda tu.
Reli hii itakua muhimu zaidi kwa abiria kuliko Harakati za uchumi na nchi jirani.
Wasicho jua Raanda , Uganda ni kuwaturn round ya kutoa mizigo itakua kubwa zaidi kutoka Bandari - Reli ya zamani- dry dock- SGR
Sent from my iPad using JamiiForums
Ushapigwa bao apa. Sasa umekimbilia kwa nyasi [emoji23][emoji23]. Hii ni part ya slope protection ya class 1 sgr sio Kama hiyo yenu inayongoja kusombwa maji kukinyeshaAnayetumia kichwa kama dispenser ya mate ni wewe unayelazimisha treni ya mkandarasi kuwa ni ni za GOT.
Desperation ni wewe mwenye nchi Haina sgr[emoji23][emoji23]hahah desperation!
Jeezus on a muleπ
Hebu rudia tena kusoma ulichoandika ndugu, husomeki...
Sent using Jamii Forums mobile app