Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #6,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga mwenzako anaongelea kuhusu kubomoka kwa reli yetu na sio mambo ya reli kuchelewa kutokana na mvua zinazonyeesha,
Kingine mnatakiwa kutofautisha ujenzi wa mitungi ya changaa na ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme.
hahah wacha uongo hawaongei kiingereza! sasa wanawasiliana vp?HAo ndo instructors waliokua kwa hayo mashindano, kila moja anaandika points kivyake alafu baadae wanajumlisha ulichopata, yani moja wao akikupa 50%, mwengine alikupa 60%......etc kwahivyo hakuna chance ya kupewa marks za uongo kabisa, hata kama kuna instructor mmoja alikupendelea si guarantee kwamba utashinda!!!
Shida yako kubwa ni kudandia treni kwa mbele,Hebu soma tena na roundii hii ujaribu kufikiria
---------------
SGR yenu iko 8 months behind schedule sababu mvua! kila kikinyesha kidogo mnakusanya virago vyote na kungojea hadi msimu wa mvua uishe, tofauti na mchina ambaye hakuwahi kupumzika hata simu moja, ndi posa hio siku maji yakasomba tuta la SGR ambalo lilikua bado halijaekewa slop protection... Ndio maana ujenzi wa SGR Kenya ulimalizwa 6 months ahead of schedule!!
------------------
KAma una avoid mvua kwa kuondoa kila kitu kwenye contruction site kuna vitu vitawahi kusomwa na maji kweli?????
Hio picha ya Kenya ulioeka hapo ilifanyika 2016 wakati wa ujenzi na walikua hawajamaliza kujenga, tena isitoshe, kesho yake wakati mvua inanyesha hao jamaa walikua wanaendelea kuchapa kazi, tofauti na huko Tz!!!
Kuna watu hamnazo kweli. Yaani akichelewa kuona implementation ya kitu basi anajua hakikuwa planned prior! Watu kama hao ni kuwaacha waendelee kudhani watakavyo. Bure kabisa huyu jamaa.
ukibisha na hapa nitakuona wewe ni hamnazo!
Kuna watu hamnazo kweli. Yaani akichelewa kuona implementation ya kitu basi anajua hakikuwa planned prior! Watu kama hao ni kuwaacha waendelee kudhani watakavyo. Bure kabisa huyu jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa sababu wali over look kutokana na kukurupuka basi hicho kipande bado kinatafutiwa wapi kiungwe.
Kwani tukikubali tumekosea tutakufa ?
Tangu mwanzo hakuna mchoro wowote wala usanifu yakinifu wa hicho kipande chenu.
YAPI’s environmental impact assessment report haigusii kabisa hicho kipande chenu cha dhahabu.
I challenge you kutoa njia , michoro na vipi kitaunganishwa na main Tracks kutoka Main station.
Ninafahamu pale Kwala kibaha inajengwa Inland port na mizigo yote kutoka bandarini itapelekwa hapo kwa reli ya zamani inayo fanyiwa ukarabati.
Transit cargo kwenda Uganda na mizigo ya Moro , Dodoma, na Maanza ! Ndio itapakiwa kwa SGR kuanzia hapo.
Na ile ya Rwanda , DRC , Zambia na Burundi itapakiwa hapo na Magari kama kawaida.
Kawailizeni tena TRC kama haya sio kweli .
SGR haitopita Bandari kwa kusahau na pia kwa sasa sio muhimu kwani nchi zinazotumia sana Bandari yetu ni
Zambia
DRC
Rwanda
Malawi
Huko Uganda cargo yao inayopitia Dar ni michache sana. Na hatutarajii kama watabadilisha mjia kutoka Mombasa ambako njia ni fipi zaidi na efficient ya MSA port ni bora zaidi.
Kwa sasa ujenzi kulekea Rwanda utachukua may another 10years kwani Rwanda wenyewe hawako tayari kuwekeza gharama kubwa labda tuwapekee mpaka mlangoni.
Miradi hii ni mizuri na mawazo yalikua mazuri lakini yamefanyika kwa ego ya kisiasa.
Sent from my iPad using JamiiForums

Hauko serious we ulidhani wanakurupuka kama post yako ilivokurupukaa
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23] mtanzania kutoka wapi huyu anatema tu ukweliNipo serious kabisa.
Show us wapi itapita njia ya SGR Kutoka bandarini na itaungana wapi ? Buguruni ? Pugu? Soga?
Tangu juzi nime kupeni challange wapi kipande hicho kitakua joined hamna jawabu.
Au ndio philosophy ya mradi kuacha kitendawili tega
Hamko serious
Hata kuipeleka SGr mwanza ni umimi tu nyumbani kwanza but sio sababu za kiuchumi haswa.
Mtaelewa tu
Sent from my iPad using JamiiForums