Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ushapigwa bao apa. Sasa umekimbilia kwa nyasi [emoji23][emoji23]. Hii ni part ya slope protection ya class 1 sgr sio Kama hiyo yenu inayongoja kusombwa maji kukinyesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua kubwa zinanyeesha na hakuna sgr yetu iliyosombwa,
Ndivyo mlivyodanganywa kuwa ni class one ili mpigwe maana huwa hamna akili.
 
Wacha uongo.... Project ya Kenya iko na skills/technology transfer

Kila
Kati ya deal ambayo Kenya ilipiga na mchina, Kila mwaka kwa miaka mitano ya Kwanza Kenya itatuma engineers 30 kusomea masters kule China bure ambapo wamelipiwa kila kitu na contractor! Tofauti na huko kwenu ambako mnagaramia kando, kupeleka wanafunzi huko nje

Mbali na hapo, contractor atatumia $100m kujenga kituo cha mafunzo hapa Kenya, tofauti na nyinyi huko ambapo mafunzo spesheli yote mnaenda kusomea nje, kumaanisha huko mbeleni mtakua hamna local capacity ya kufunza wengine, itawabidi mrudi huko nje..


Train Simulator inayotumika pale Railways Training Institute Nairobi kufundisha wakenya...


Mipango iliopangwa ni kwamba tuwe tumefika 96% localization mwaka huu NA IKIFIKA 2022 TUWE TUMEFIKA 99%



Kwasasa tuko oncourse for 100% localization, transfer of skills inaendelea kwa kila sector, kutoka kwa ma engineer hadi senior management.

Kwa mfano hii hapa ni skills competition iliofanyika wiki hii iliopita ambao wale walioshinda ndo watakua wakwanza kufanywa wasimamizi wa hao wengine..





 
Mvua kubwa zinanyeesha na hakuna sgr yetu iliyosombwa,
Ndivyo mlivyodanganywa kuwa ni class one ili mpigwe maana huwa hamna akili.
SGR yenu iko 8 months behind schedule sababu mvua! kila kikinyesha kidogo mnakusanya virago vyote na kungojea hadi msimu wa mvua uishe, tofauti na mchina ambaye hakuwahi kupumzika hata simu moja, ndi posa hio siku maji yakasomba tuta la SGR ambalo lilikua bado halijaekewa slop protection... Ndio maana ujenzi wa SGR Kenya ulimalizwa 6 months ahead of schedule!!
 
Mjinga mwenzako anaongelea kuhusu kubomoka kwa reli yetu na sio mambo ya reli kuchelewa kutokana na mvua zinazonyeesha,
Kingine mnatakiwa kutofautisha ujenzi wa mitungi ya changaa na ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme.
 
Hao nyang'au wakitoka hapo wanaenda kucharazwa viboko na wachina, duh.
 

Tupe picha na michoro...
Usichanganye na upanuzi wa Mwendokasi ya Kilwa road.
Nina michoro Ya SGR hakuna unao ishia bandarini
Pia ni Environmental Impact report yote hakuna ya hicho kipande unacho sema.
Kama ile kazi pale sio mwendo kasi basi itakua ni kiraka kilicho buniwa baada ya kukurupuka .
Nimepita pale kilimani gerezani wanao jenga pale sio YAPI Merkez !
Leta picha na michoro


Sent from my iPad using JamiiForums
 
watu kama nyie sijue muelezwe vp pitia TRC Reli TV utaona kwamba unaloongea ni kukurupuka! Jaribu kutokuwa mropokaji kama hujui kwa kina kinachofanywa! Kingine uandishi wako unaonyesha level ya elimu na upeo wako!

Yapi hawahusiki kuifikisha Reli Bandarini
Mambo ya TV ni propaganda . Kama kitu kilikosewa kimekosewa tu huwezi kurekebisha kwa Tv


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Maneno mengi haya saidii wekeni michoro inayo onesha Yapi watafika Bandarini.
Hili lilikua overlooked kama mnabisha leteni ushahidi.



Sent from my iPad using JamiiForums
 
Punguza ujuaji, yaani unafikiri kwamba ni wewe peke yako unaejua umuhimu wa SGR kufika Bandarini kuliko watu wote ...duh!

Implementation ya SGR yetu inafuata philosophy ya design and build, ikifika wakati wa kujenga hio branch ya bandarini utaiona hio michoro.

Na si lazima hako kakipande ka-less than 5km wajenge Yapi...


Tupe picha na michoro...
Nimepita pale kilimani gerezani wanao jenga pale sio YAPI Merkez !
Leta picha na michoro
 
Yapi hawahusiki kuifikisha Reli Bandarini
Mambo ya TV ni propaganda . Kama kitu kilikosewa kimekosewa tu huwezi kurekebisha kwa Tv


Sent from my iPad using JamiiForums
tafuta level yako kushindana nao!
 

Tunasema Walisahau kwani kuna kukurupuka. Baada ya baadhi ya wataalam kuonesha kuwa SGR ni bomu na haitasaidia uchumi wa bandari.
Ukiwa na mchoro huo tuwekee hata mie wewe sio size yako .


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Duu mara kina jengwa kurasini mara philosphy gani sijui.
Umeona wapi wewe project kubwa kama hii kipande muhimu zaidi asipewe main contractor ?
Kwa hio itatolewa tender nyengine kujenga section ya Bandarini ?
Kuna tatizo kwenye mradi period


Sent from my iPad using JamiiForums
 

ukibisha na hapa nitakuona wewe ni hamnazo!
 
ukibisha na hapa nitakuona wewe ni hamnazo!
Lazma abishe kuna watu wako hivyo wameumbwa kupotosha! Kazi inaendelea under DMGP project berth 1-7 inapanuliwa through CCECC n almost finished then DART project phase II is ongoing then soon SGR to Dar port from Ilala Shaurimoyo through Shaurimoyo/Keko/Chang'ombe junction (another interchange with an SGR at the intersection) n Kurasini BP flyover will commence !
 
Umeshawahi kuwa kwny mradi wowote mkubwa wa kiserikali au kufuatilia kwa karibu project yoyote,ukaona inavyokuwa executed?!!!.Yaani wewe unayetoka huko na akili yako ya usiku utakuwa na mambo mengi sana ya kujifunza.Kosa kama hilo unalolifikiria halipo,yaani uwepo wake ni zero kbs.
 

We bwana hataukibisha au ukatae SGR yetu will remain modern and best in the region


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…