Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tatizo wanafeli kwny fonts, kuna muandiko mwingine ukiuona unajua kabisa huyu ni fulani huyu sema ID ni nyngne, ss we ngoja saivi tutakuwa tunatajana majina kwa ID ya zamani humu ili wasione km wamefaulu kwa technique hyo [emoji3][emoji3]
Sijui ni kazi za kutosha ndio hawana 😂😂😂
Miradi ya Tz inawaumiza sana hawa wajinga.
 
Sasa kama ndio hivyo mbona wachina wamepiga pa kubwa na nyasi walizo panda mkataba wake Mungu anajua, hivi waandishi na mafarisayo hawakuwepo? 😁😁
 
Tatizo wanafeli kwny fonts, kuna muandiko mwingine ukiuona unajua kabisa huyu ni fulani huyu sema ID ni nyngne, ss we ngoja saivi tutakuwa tunatajana majina kwa ID ya zamani humu ili wasione km wamefaulu kwa technique hyo [emoji3][emoji3]
wakenya ni wajinga sana,,,,ndiyo maana huwa tunawaita majobless maana kwa kawaida ukiwa na akili timamu na unajielewa hauwezi kufungua acount zisizo na tija ili ujifurahishe nafsi....

wakenya wengi wa humu Jf ni majobless ndiyo maana wana mda wakufanya vitu vidivyo na maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Main Station za Railway ya zamani ni master piece na zina vutia zaidi ya main station ambazo Sgr inajengwa . Haya majengo ni Zaidi ya miaka 120 lakini yanavutia na mazuri na yalilenga miaka mingi ku survive na wakati
Watanzania sio wajinga wote



Sent from my iPad using JamiiForums
 

Attachments

  • IMG_5716.JPG
    41.4 KB · Views: 2
Miaka 45 ilo pita Mwalimu kwa kushirikiana na cabinet yake na ile Ya Zambia ikiongozwa na Kaunda waliamua kujenga Railway inayo unganisha Tanzania na Zambia.
China alitoa Mkopo na ujuzi huku wakiwa katika hali ngumu ya Uchumi lakini Infrastructure za TAZARA zimebaki kuwa za kipekee kote Zambia na Tanzania. Main Station zake zote ni za kipekee zinaenda na wakati.
Ingawa TAZARA imejengwa 45 years ilopita Main staion zake ni bora mara 500 kuliko tunazojengewa sasa na Sgr
Ukweli always utabaki ni white na hauwei kuwa mweusi...na Kwa Ufupi am telling you Watanzania sio Wajinga wanajua na wana elewa kinacho endelea



Sent from my iPad using JamiiForums
 
Sasa kama ndio hivyo mbona wachina wamepiga pa kubwa na nyasi walizo panda mkataba wake Mungu anajua, hivi waandishi na mafarisayo hawakuwepo? [emoji16][emoji16]

Mimi sio Mkenya ni Mtanzania Lakini sifati upepo....


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wakati wapinga maendeleo mkizd kushawishi jamii iwe upande wenu, watu wanapiga kazi tu[emoji116][emoji116]
 
Bora hata ule mjengo alo uacha Mjerumani the old Railway station ! Ulipendeza kwa stule yake
Haya funikeni kioo kuficha the poorest Architecture in town
Bonge moja la gofu yani[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti hyo ndio main station, concrete na mijichuma km wiremesh halafu wanamalizia na vioo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…