babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Sijui ni kazi za kutosha ndio hawana 😂😂😂Tatizo wanafeli kwny fonts, kuna muandiko mwingine ukiuona unajua kabisa huyu ni fulani huyu sema ID ni nyngne, ss we ngoja saivi tutakuwa tunatajana majina kwa ID ya zamani humu ili wasione km wamefaulu kwa technique hyo [emoji3][emoji3]
Miradi ya Tz inawaumiza sana hawa wajinga.