The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
[emoji3][emoji3][emoji3] huyu Magu anawaumiza kichwa sn wapinzani wake hasa marais wa EA pia hata viongozi waliostaafu hapa Tz, anawezaje ku maintain miradi yote hii kwa wakati mmojaMradi wa commuter train ya jiji la dodoma ( yaani treni za mjini) wa kilometer 100 upo hatua za mwisho za usanifu.
Reli hiyo ya mjini itaunganisha Airport itakayojengwa ya msalato, mji wa serikali kula mtumba, stendi ya mabasi ambako pia kuna soko la ndugai pamoja na stendi ya SGR kule ihumwa kuingia na kupitia mjini.
Majirani mjiandae tu kisaikolojia.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3] huyu Magu anawaumiza kichwa sn wapinzani wake hasa marais wa EA pia hata viongozi waliostaafu hapa Tz, anawezaje ku maintain miradi yote hii kwa wakati mmoja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahah...tunapoelekea watamuita freemason[emoji1][emoji1]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimependa namna Dom inavyojengwa. Magu hataki kabisa makosa yaliyofanyika Dar. Mfano, ile ring road itayojengwa ina-accommodate nafasi ya BRT/Tram, mabomba ya gesi, maji, nk. Hivyo hakuna kuja kubomoa bomoa baadae ili sijui kuweka nini.Mradi wa commuter train ya jiji la dodoma ( yaani treni za mjini) wa kilometer 100 upo hatua za mwisho za usanifu.
Reli hiyo ya mjini itaunganisha Airport itakayojengwa ya msalato, mji wa serikali kula mtumba, stendi ya mabasi ambako pia kuna soko la ndugai pamoja na stendi ya SGR kule ihumwa kuingia na kupitia mjini.
Majirani mjiandae tu kisaikolojia.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hili jiji litawaonesha wapuuzi fulani fulani in EA kwmb planned city maana yake nini.Nimependa namna Dom inavyojengwa. Magu hataki kabisa makosa yaliyofanyika Dar. Mfano, ile ring road itayojengwa ina-accommodate nafasi ya BRT/Tram, mabomba ya gesi, maji, nk. Hivyo hakuna kuja kubomoa bomoa baadae ili sijui kuweka nini.
Mpaka Magu anatoka 2025 Dom itakuwa classic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani wanapaswa kuchukua tahadhari mapema mana tumedhamiria kweli kweli, daah ila covid-19 inatuharibia mipango yetu.Dar-Isaka MRG rehabilitation
Ni kweli mzee itaharibu mahesabu maana ukusanyaji kodi lazima upungue! SGR Phase III launch is in jeopardy!!Jirani wanapaswa kuchukua tahadhari mapema mana tumedhamiria kweli kweli, daah ila covid-19 inatuharibia mipango yetu.
Mbunge wa Nkasi, Ally Keissy alishaliongelea hili bungeni la kuwa na kiwanja kabla ya Magu kutamkaAir Tanzania naunga mkono ili mradi JPM aache kuleta Siasa kwenye uendeshaji wake. ATCL itakuwa na mchango mkubwa kiuchumi hasa ikiongeza safari nyingi za kimataifa.
Mfano, bila ya kufanya utafiti wowote JPM alipokuwa Katavi akaropoka Air Tanzania ianze kwenda Mpanda. Mtindo huu ni jeneza kwa ATCL.
Ukarabati unakikomo chake, je, unaweza kuziba matobo yaliyojaa kwenye nguo (kuu kuu)? Si ni bora ununue nguo mpya?Tunahitaji ndiyo maana nikasema kukarabati MGR peke yake ingekuwa suluhu kwa miaka mingi ijayo.
Hadi ifike Mwanza SGR uwe na zaidi ya TZS trillioni 20+, pesa hizi zitatoka wapi?
Kukarabati MGR hata TZS trillioni 1 haifiki.
Hili lilikuwa ni suala la viongozi wa shirika kukosa ubunifu.Tungejiuliza kwa nini tumefeli kwenye MGR na TAZARA kabla ya kuwa na ndoto kubwa zisizo na uhalisia.
Pia baada ya sanctions zilizokuwa SA dhidi ya Zambia! Dar port haikujiandaa kushindana na major ports SA!Mbunge wa Nkasi, Ally Keissy alishaliongelea hili bungeni la kuwa na kiwanja.
Ukarabati unakikomo chake, je, unaweza kuziba matobo yaliyojaa kwenye nguo (kuu kuu) yote? Si nibora ununue mpya?
Hiyo reli ilijengwa mwaka 1905, ilibuniwa kwenda kwa mwendokasi mdogo na kuhimili uzito mdogo kutokana na tekinolojia na mahitaji ya wakati ule. Sasa mahitaji yameongezeka, na huwezi kuiboresha kwenda mwendo wa 120km/hr, itabidi ufumue kona kona zote na kuzinyoosha ili treni isije anguka. Kufanya hivyo ni gharama kubwa kitu ambacho hakina tija.
Hili lilikuwa ni suala la viongozi wa shirika kukosa ubunifu.
No contractor ako slow kishenzi yaani mradi unaenda kufika miaka tatu na bado kuna sehemu nyingi Sana sasa ivi anafanya earthworks na piling ? viaduct ya dar miaka mbili tangu aanze bado hajamaliza mchina kapiga ya km 3 ya Nairobi national park kwa miezi sita........mkiendelea kujenga na "pesa yetu" phase one itaisha 2022.....SGR Dar-Morogoro update for month March
MY TAKE
Ni kama Coronavirus imepunguza vile tours zilizokuwa zina-distract wajenzi!
Tulieni tu si mlisema tuwaonyeshe hata mita moja,mnawashwa washwa eeh?!!No contractor ako slow kishenzi yaani mradi unaenda kufika miaka tatu na bado kuna sehemu nyingi Sana sasa ivi anafanya earthworks na piling ? viaduct ya dar miaka mbili tangu aanze bado hajamaliza mchina kapiga ya km 3 ya Nairobi national park kwa miezi sita........mkiendelea kujenga na "pesa yetu" phase one itaisha 2022.....
Sent using Jamii Forums mobile app
miaka mbili ndo nn? Fool Sikuelewi ! Ni ukunya wa hali ya juu uliokuwa-infected na cholera kufananisha ujenzi wa viaduct ya mtambo wa chang'aa na ile ya electrical train!No contractor ako slow kishenzi yaani mradi unaenda kufika miaka tatu na bado kuna sehemu nyingi Sana sasa ivi anafanya earthworks na piling ? viaduct ya dar miaka mbili tangu aanze bado hajamaliza mchina kapiga ya km 3 ya Nairobi national park kwa miezi sita........mkiendelea kujenga na "pesa yetu" phase one itaisha 2022.....
Sent using Jamii Forums mobile app
No contractor ako slow kishenzi yaani mradi unaenda kufika miaka tatu na bado kuna sehemu nyingi Sana sasa ivi anafanya earthworks na piling ? viaduct ya dar miaka mbili tangu aanze bado hajamaliza mchina kapiga ya km 3 ya Nairobi national park kwa miezi sita........mkiendelea kujenga na "pesa yetu" phase one itaisha 2022.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado niko kwny puzzle,Hiv kuna ile reli inayopita chini pale wanapaita darajani kuelekea kariakoo distance fupi kutoka njia panda ya chang'ombe,huwa inaenda wapi?!!In my opinion here is where the SGR to the port will branch out and heading to Kurasini BP/Gerezani area! That open space after Kawawa road is to allow SGR cargo line to go underpass!
These wide pillars for an overpass suggest of 2 lines aside SGR changing position n start being on the left side of MGR!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
kuelekea Kariakoo au Keko mpaka mitaa ya nyuma ya quarters za Reli club ama pale penye Tanzania boxing association! Ndo hiyo inaenda Bandarini na ndo njia hiyo SGR line ya Bandarini itapita naamimini patapanuliwa ndo maana ile njia ya PB kuelekea Kurasini kunajengwa njia overpass!Bado niko kwny puzzle,Hiv kuna ile reli inayopita chini pale wanapaita darajani kuelekea kariakoo distance fupi kutoka njia panda ya chang'ombe,huwa inaenda wapi?!!
hahah babu ina maana Reli itabidi igawe ardhi yake na siku wakitaka kujenga line ya pili inakuwaje? hapo ilipo kuna sehemu ni nyembamba kinoma chini ya 30 m (mitaa ya Buguruni)! Hilo babu kwa mustakabali ujao wa reli yetu siafiki! Believe me itafika wakati tutahitaji line ya pili kuhepusha muda wa treni kusubiria kupishana!hiv hio njia ya mda anayotumia mkandaras kupitisha magari na vifaa vyake.. serikali ikijenga rami ya njia mbili kutoka dar mpk SGR inapoishia itakuwa inapoteza hela?
if not, waijenge then hio barabara iwe na speed limit ya at most 60km/h ili watu wasishindane kukimbiza reli