Mbunge wa Nkasi, Ally Keissy alishaliongelea hili bungeni la kuwa na kiwanja.
Ukarabati unakikomo chake, je, unaweza kuziba matobo yaliyojaa kwenye nguo (kuu kuu) yote? Si nibora ununue mpya?
Hiyo reli ilijengwa mwaka 1905, ilibuniwa kwenda kwa mwendokasi mdogo na kuhimili uzito mdogo kutokana na tekinolojia na mahitaji ya wakati ule. Sasa mahitaji yameongezeka, na huwezi kuiboresha kwenda mwendo wa 120km/hr, itabidi ufumue kona kona zote na kuzinyoosha ili treni isije anguka. Kufanya hivyo ni gharama kubwa kitu ambacho hakina tija.
Hili lilikuwa ni suala la viongozi wa shirika kukosa ubunifu.