Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unazungumzia pale banda la ngozi, hio ni mojawapo ya branches zinazotoka bandarini kuja kwenye mainline kuna eneo pale treni za mizigo huunganishwa/shunting kabla ya kuanza route za mikoani...
Bado niko kwny puzzle,Hiv kuna ile reli inayopita chini pale wanapaita darajani kuelekea kariakoo distance fupi kutoka njia panda ya chang'ombe,huwa inaenda wapi?!!
 
Ruvu bridges ( a 4 km stretch)!




























 

Attachments

  • Screenshot 2020-04-19 21.19.24.png
    281.2 KB · Views: 1
Unazungumzia pale banda la ngozi, hio ni mojawapo ya branches zinazotoka bandarini kuja kwenye mainline kuna eneo pale treni za mizigo huunganishwa/shunting kabla ya kuanza route za mikoani...
Yap kaka,is that the main channel stretch all the way to and from the port?!!au kuna ingine?!!.Then pale njia panda chang'ombe BRT phase 2 kulikuwa na plan ya interchange naona changamoto kidogo
 
Morogoro SGR terminal, itakuwa na design ya Mt.Uluguru,so lazima iwe kubwa hasa kwenda huu.
 
Na baada ya kukamilisha hiyo 3km viaduct yenu in 6 months na treni nazo zilianza kupita in 6 months pia? Kila mkandarasi ana plan yake man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni Madungu ya aina yake kivyake 😁😁
 
Ila haka kaeneo ka Ruvu ni konki. Hivi ni kwa nini waliamua kuweka madaraja mengi badala ya moja refu kama ile viaduct ya town? Nini tofauti yake kihandisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea na appropriate design na soil structure ya sehemu husika wakati mwingine si lazima kuweka viaduct moja ndefu uimara unakuwa zaidi unapo-mix! BTW kuna MGR pembeni na kunapaswa kuwepo na protective embarkments kuzuia MGR kusombwa! ila inaka kutakuwa na madaraja yasiyopungua urefu wa 3 km!
 


Hivi hiki kijumba ndio mlisema kikubwa kuliko ya Nairobi?
 
Tunnel construction update SGR phase II Morogoro-Dodoma-Makutupora part I






































 

Attachments

  • Screenshot 2020-04-22 07.37.36.png
    384.9 KB · Views: 1
  • Screenshot 2020-04-22 07.39.42.png
    332.7 KB · Views: 1
Tunnel construction update SGR phase II Morogoro-Dodoma-Makutupora part II








 
Breaking news!




MY TAKE

Wakati Inland container depot ya SGR Ruvu ikiendelea kujengwa MGR Kwala inland depot about to kickstart operation on May 1st!
 
Geza Ulole said:
MY TAKE
Wakati Inland container depot ya SGR Ruvu ikiendelea kujengwa MGR Kwala inland depot about to kickstart operation on May 1st!
hio ya ruvu inamilikiwa na nan?

Kwala ICD ipo eneo la Vigwaza/Ruvu mkoani Pwani kwa kifupi it is one and the same facility.
Kwasasa hio ICD imeunganishwa na MGR lna itaanza Kazi first week of May, akini baadaye itaunganishwa na SGR, hilo ni enter amble niko karibu sana na SGR masharling yard ya Ruvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…