Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Unazungumzia pale banda la ngozi, hio ni mojawapo ya branches zinazotoka bandarini kuja kwenye mainline kuna eneo pale treni za mizigo huunganishwa/shunting kabla ya kuanza route za mikoani...
Bado niko kwny puzzle,Hiv kuna ile reli inayopita chini pale wanapaita darajani kuelekea kariakoo distance fupi kutoka njia panda ya chang'ombe,huwa inaenda wapi?!!