Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Masomo kidogo, na uvivu inawasumbua ! Hii ni information unaweza kupata online bila shida.Mkuu treni ya kenya inaweza vuta 4,000 tonnes only, ya Tanzania ni 10,000 tonnes kama ulikuwa hujui hili.
Vipi! Mamba na mvua bado zimewazuia wahandisi kumaliza phase 1?
kweli bana [emoji23][emoji23] mwenye account is the same guy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani Contractor 21st century analaumu mvua na mamba wakati Kenya walijenga SGR juu ya bahari 2017 na tena on time... sasa mto Ruvu ndo nini??Masomo kidogo, na uvivu inawasumbua ! Hii ni information unaweza kupata online bila shida.
i) Tanzania sgr projected maximum cargo per year 16 million tonnes.
ii) Kenya sgr maximum cargo per year 25 million tonnes on current design. Future double track will increase to 50 million tonnes a year
Kwanza hiyo phase 1yenyu, imeisha ama bado munalaumu mvua na mamba?
The line hasn`t even lasted for a month but it looks like something that was built in 1780.Looks cheapView attachment 1491570
Chinese Class 1 building standardView attachment 1492079
Slope protection View attachment 1492086
No flooding from increasing High Sea LevelsView attachment 1492087
[emoji23][emoji23][emoji23]The line hasn`t even lasted for a month but it looks like something that was built in 1780.
Wajinga nyinyi by King kakaUkumbuke pia hiyo ya umeme hitaweza kushinda ya kenya kwa kubeba mizigo. Yenyu itaweza kubeba only 16 million tonnes kwa mwaka wakati yetu inabeba 22 million tonnes kwa mwaka. Ni vile reli yenyu itakuwa hafifu, haitaweza kustahimili uzito wa cargo kama ya kenya.
Kwa kifupi, Treni moja ya mizigo ya kenya ikileta cargo Tanzania, hapo kwa border itabidi Tanzania ilete treni mbili ibebe mizigo yenye treni moja ya kenya inabeba au treni 4 za mgr.