Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mkuu treni ya kenya inaweza vuta 4,000 tonnes only, ya Tanzania ni 10,000 tonnes kama ulikuwa hujui hili.
Masomo kidogo, na uvivu inawasumbua ! Hii ni information unaweza kupata online bila shida.
i) Tanzania sgr projected maximum cargo per year 16 million tonnes.
ii) Kenya sgr maximum cargo per year 25 million tonnes on current design. Future double track will increase to 50 million tonnes a year

Kwanza hiyo phase 1yenyu, imeisha ama bado munalaumu mvua na mamba?
 
china
IMG_1593419795.585214.jpg
IMG_1593419803.704481.jpg

kenya
IMG_1593419815.576505.jpg
 
Masomo kidogo, na uvivu inawasumbua ! Hii ni information unaweza kupata online bila shida.
i) Tanzania sgr projected maximum cargo per year 16 million tonnes.
ii) Kenya sgr maximum cargo per year 25 million tonnes on current design. Future double track will increase to 50 million tonnes a year

Kwanza hiyo phase 1yenyu, imeisha ama bado munalaumu mvua na mamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani Contractor 21st century analaumu mvua na mamba wakati Kenya walijenga SGR juu ya bahari 2017 na tena on time... sasa mto Ruvu ndo nini??
Maajabu ya ubongolala haya
images%20(10).jpg
 
Ukumbuke pia hiyo ya umeme hitaweza kushinda ya kenya kwa kubeba mizigo. Yenyu itaweza kubeba only 16 million tonnes kwa mwaka wakati yetu inabeba 22 million tonnes kwa mwaka. Ni vile reli yenyu itakuwa hafifu, haitaweza kustahimili uzito wa cargo kama ya kenya.
Kwa kifupi, Treni moja ya mizigo ya kenya ikileta cargo Tanzania, hapo kwa border itabidi Tanzania ilete treni mbili ibebe mizigo yenye treni moja ya kenya inabeba au treni 4 za mgr.
Wajinga nyinyi by King kaka

Exel load ya treni yetu ni tani35 wakati yenu ni tani20
Pia usia au yetu inaunganisha nchi4 Uganda Congo Burundi na Rwanda
So howcome mtungi wenu ukazidi mizigo ya esgr?
Shule mlienda kusomea Ujinga?
 
The SGR Ngong tunnel is the longest railway tunnel in East Africa and second in Africa.
It stretches for 7.41km which is second to the Hex River Tunnels in South Africa which stands at 13.6km.
images%20(15).jpg
 
Back
Top Bottom