Nimepita kwenye service road ya Yapi kuanzia Pugu mpaka mbele ya msogaIvi nikusaidie tu ili usiendele kujivunjia heshima kwanini usiende kuangalia report ya june alafu ndio uje hapa ....acha izo argument za kitot..aisee shida sana
Mturuki si Mzungu!Siwashabikii wazungu ila vitu vyao ni ni next level. Very beautiful. Sipati picha Dom itakuwaje. We shall kill people with these things. View attachment 1498966
Ni wazungu kwa tafsiri ya nchi yao kuwa bara la Ulaya.Mturuki si Mzungu!
Uzungu ni Ethnicity Mturuki caucasian arcadash akikuskia atakuchapa kibao!Ni wazungu kwa tafsiri ya nchi yao kuwa bara la Ulaya.
Siwashabikii wazungu ila vitu vyao ni ni next level. Very beautiful. Sipati picha Dom itakuwaje. We shall kill people with these things. View attachment 1498966
Gosh we don't wetdream for SGR Mtambo wa chang'aa! God forbids...! 🤷♂️Tanzanians still wet dreaming about SGR wakati huku Kenya kimekua kitu cha kawaida tu.
Tanzanians still wet dreaming about SGR wakati huku Kenya kimekua kitu cha kawaida tu.
mlifurahia Mombasa-Naivasha kuwa compulsory.. leo vip tena? kubreak even si kesho wala kesho kutwa! Kenyatta kauza nchi
View attachment 1501648
sasa kama mnajua mbona mnaomba Mchina aongeze muda wa kulipa deni?Since when did governments start to exist for profits?? SGR haikujengwa kuunda faida.
Mind u;. No sgr kenya rather it's an upgraded mgr.Tanzanians still wet dreaming about SGR wakati huku Kenya kimekua kitu cha kawaida tu.
Maana yake mradi unajiendesha kwa hasara na hamkutarajia hilo!Because we will pay. We don't default on our loans like Tanzania.
Split it whichever way your little hateful heart desires but it is an inescapable fact that kenya is the only country ukanda huu with a fully functioning SGR.....you can argue with yourself as to why that is the caseMaana yake mradi unajiendesha kwa hasara na hamkutarajia hilo!
Serikali ya Kenya ni dhaifu. Haina uwezo wa ku-enforce maamuzi yake yatakayoumiza mabepari wake hata ikiwa ni kwa maslahi ya taifa. Bongo usitegemee lorry kubeba transit cargo kutoka bandarini hadi mpakani post SGR. Hakuna asiyejua namna malori yanachakaza barabara mapema.mlifurahia Mombasa-Naivasha kuwa compulsory.. leo vip tena? kubreak even si kesho wala kesho kutwa! Kenyatta kauza nchi
View attachment 1501648
[emoji3][emoji3][emoji3]hapo ukisema tu mtambo wa chang'aa huna haja ya kutaja jirani cz it's open.SGR in Nigeria
MY TAKE
though diesel engines too, Way better compared to Mtambo wa chang'aa kwa jirani!
Hivi Nigeria wanakwamaga wapi nao???SGR in Nigeria
MY TAKE
Though diesel engines too, Way better compared to Mtambo wa chang'aa kwa jirani Kenya alias Kunyaland!
Wacha kumuongelea Magufuli kwa kupotosha! Unafuu wa Cost za kusafirisha cargo kati ya trucks na reli ndo utaamua!Serikali ya Kenya ni dhaifu. Haina uwezo wa ku-enforce maamuzi yake yatakayoumiza mabepari wake hata ikiwa ni kwa maslahi ya taifa. Bongo usitegemee lorry kubeba transit cargo kutoka bandarini hadi mpakani post SGR. Hakuna asiyejua namna malori yanachakaza barabara mapema.
Naijui serikali ya bro Magu. Ikijenga ICD ikataka itumike itatumika. Hao jirani zetu watani ndiyo kwanza wako wanaitumia korona kama leverage ya kupata mikopo no wonder eti wame-scrap mwaka wote wa kitaaluma 2020 kuipisha korona. Sasa hapo pana serikali kweli. Hamna kitu pale.
Ni hao wakenya wameongeza cha juu, ndio maana hata bajeti yao ni uozo maana hela nyingi huishia mifukoni mwa mbwa mwitu. Hawa jamaa ni majanga!