Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ivi nikusaidie tu ili usiendele kujivunjia heshima kwanini usiende kuangalia report ya june alafu ndio uje hapa ....acha izo argument za kitot..aisee shida sana
Nimepita kwenye service road ya Yapi kuanzia Pugu mpaka mbele ya msoga
Bado kuna kazi kubwa sana.
Hizo ripoti hazi elezi kama tupo nyuma miezi 10 ?
Kwani tukikubali tupo nyuma sana ya schedule kuna tatizo ?
 
Tanzanians still wet dreaming about SGR wakati huku Kenya kimekua kitu cha kawaida tu.

mlifurahia Mombasa-Naivasha kuwa compulsory.. leo vip tena? kubreak even si kesho wala kesho kutwa! Kenyatta kauza nchi
IMG_1594280948.861728.jpg

Maana yake mradi unajiendesha kwa hasara na hamkutarajia hilo!
Split it whichever way your little hateful heart desires but it is an inescapable fact that kenya is the only country ukanda huu with a fully functioning SGR.....you can argue with yourself as to why that is the case
 
mlifurahia Mombasa-Naivasha kuwa compulsory.. leo vip tena? kubreak even si kesho wala kesho kutwa! Kenyatta kauza nchi
View attachment 1501648
Serikali ya Kenya ni dhaifu. Haina uwezo wa ku-enforce maamuzi yake yatakayoumiza mabepari wake hata ikiwa ni kwa maslahi ya taifa. Bongo usitegemee lorry kubeba transit cargo kutoka bandarini hadi mpakani post SGR. Hakuna asiyejua namna malori yanachakaza barabara mapema.

Naijui serikali ya bro Magu. Ikijenga ICD ikataka itumike itatumika. Hao jirani zetu watani ndiyo kwanza wako wanaitumia korona kama leverage ya kupata mikopo no wonder eti wame-scrap mwaka wote wa kitaaluma 2020 kuipisha korona. Sasa hapo pana serikali kweli. Hamna kitu pale.
 
Wacha kumuongelea Magufuli kwa kupotosha! Unafuu wa Cost za kusafirisha cargo kati ya trucks na reli ndo utaamua!
 
Back
Top Bottom