Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #8,021
Hivi airbridge itakuwa covered with glasses au?kutoka kweny jengo Dar SGR station to the viaduct kupanda treni
View attachment 1531921
kama unavyoiona!Hivi airbridge itakuwa covered with glasses au?
Hujajib swali ....sabab naona izo bati hapo chini n itaharib show km watatumia ayo mabati kuezekea... base on my point of viewkama unavyoiona!
vuta subra mzee usiwe mwepesi wa ku-judge what if hayo mabati ni ya kukinga abiria platform?Hujajib swali ....sabab naona izo bati hapo chini n itaharib show km watatumia ayo mabati kuezekea... base on my point of view
Pamoja mkuuvuta subra mzee usiwe mwepesi wa ku-judge what if hayo mabati ni ya kukinga abiria platform?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....Unauliza maswali kama mie ni yapi merkezi! 😀 😀 😀
Air bridge itakua covered na glass panels Kama unazoziona kwenye jengo la terminal, be patient, hata kule kwenye platform ni lazima pawe secured na panels pia kwa abiria wanao-embark na ku-disemabark ktk trains otherwise watu watakua wanaanguka toka juu ya SGR platform hadi kwenye MGR platform.Hujajib swali ....sabab naona izo bati hapo chini n itaharib show km watatumia ayo mabati kuezekea... base on my point of view
Pamoja mkuu[emoji91][emoji91]Air bridge itakua covered na glass panels Kama unazoziona kwenye jengo la terminal, be patient, hata kule kwenye platform ni lazima pawe secured na panels pia kwa abiria wanao-embark na ku-disemabark ktk trains otherwise watu watakua wanaanguka toka juu ya SGR platform hadi kwenye MGR platform.
Kumbuka SGR trainset ya abiria itakua na coaches 8 means itakua na milango 8, siku ikiwa na coaches 6 milango itakua 6. Ndio maana eneo la platform ni refu kukidhi hayo yote. That is, pale kwenye air bridge ni katikati ya platform, eneo lile itajengewa vizuri kwa ajili ya usalama wa abiria watakao kuwa wakitembea pale juu kutoka au kuelekea milango mbalimbali ya train, lengo ni kuondoa msongamano usio wa lazıma kwa abiria kupanda na kushuka kupitia mlango mmoja tu wa train.
Kingine kwa wanaoshuka au kuwasili si lazma kuingia mjengoni! Kutakuwa kuna exit nyingine mbili!Pamoja mkuu[emoji91][emoji91]
Naona mambo yatakuwa mubashara sana kwaubunifu ulio fanyika...Kingine kwa wanaoshuka au kuwasili si lazma kuingia mjengoni! Kutakuwa kuna exit nyingine mbili!
who told u we r buying only 6 locomotives?
Sasa mimi nikipakia gunia zangu 50 za dagaa wa kigoma watashuka wapi ?Air bridge itakua covered na glass panels Kama unazoziona kwenye jengo la terminal, be patient, hata kule kwenye platform ni lazima pawe secured na panels pia kwa abiria wanao-embark na ku-disemabark ktk trains otherwise watu watakua wanaanguka toka juu ya SGR platform hadi kwenye MGR platform.
Kumbuka SGR trainset ya abiria itakua na coaches 8 means itakua na milango 8, siku ikiwa na coaches 6 milango itakua 6. Ndio maana eneo la platform ni refu kukidhi hayo yote. That is, pale kwenye air bridge ni katikati ya platform, eneo lile itajengewa vizuri kwa ajili ya usalama wa abiria watakao kuwa wakitembea pale juu kutoka au kuelekea milango mbalimbali ya train, lengo ni kuondoa msongamano usio wa lazıma kwa abiria kupanda na kushuka kupitia mlango mmoja tu wa train.
Wapi hio ?Here is the underpass where SGR route the port will pass underneath!View attachment 1532370
Are you sure ?mbili juu za SGR na several za meter gauge ground floor!
Ok sawa barabara pavement zimejengwa kwa ajili ya kuuzia mitumba.!Uko Wrong, Wale Wanaofnya Biashara Kwenye Pavement za waenda Kwa Miguu Wanalipa Kodi Aisee, Wana Vitambulisho vya Ujasiliamali Wale na Kmbuka Wale ni Watanzania Km Ww