Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

1597001334070.png
 
Hujajib swali ....sabab naona izo bati hapo chini n itaharib show km watatumia ayo mabati kuezekea... base on my point of view
vuta subra mzee usiwe mwepesi wa ku-judge what if hayo mabati ni ya kukinga abiria platform?
 
Hujajib swali ....sabab naona izo bati hapo chini n itaharib show km watatumia ayo mabati kuezekea... base on my point of view
Air bridge itakua covered na glass panels Kama unazoziona kwenye jengo la terminal, be patient, hata kule kwenye platform ni lazima pawe secured na panels pia kwa abiria wanao-embark na ku-disemabark ktk trains otherwise watu watakua wanaanguka toka juu ya SGR platform hadi kwenye MGR platform.

Kumbuka SGR trainset ya abiria itakua na coaches 8 means itakua na milango 8, siku ikiwa na coaches 6 milango itakua 6. Ndio maana eneo la platform ni refu kukidhi hayo yote. That is, pale kwenye air bridge ni katikati ya platform, eneo lile itajengewa vizuri kwa ajili ya usalama wa abiria watakao kuwa wakitembea pale juu kutoka au kuelekea milango mbalimbali ya train, lengo ni kuondoa msongamano usio wa lazıma kwa abiria kupanda na kushuka kupitia mlango mmoja tu wa train.
 
Pamoja mkuu[emoji91][emoji91]
 
Sasa mimi nikipakia gunia zangu 50 za dagaa wa kigoma watashuka wapi ?
 
Uko Wrong, Wale Wanaofnya Biashara Kwenye Pavement za waenda Kwa Miguu Wanalipa Kodi Aisee, Wana Vitambulisho vya Ujasiliamali Wale na Kmbuka Wale ni Watanzania Km Ww
Ok sawa barabara pavement zimejengwa kwa ajili ya kuuzia mitumba.!
 
Dar-Moro ilikua imalize Dec 2019.
Sasa ni August 2020
Tupeni lini sisi waluguru tutaanza kuonja uhondo
 
Back
Top Bottom